NIPASHE

05Aug 2017
Faustine Feliciane
Nipashe
Kwa mujibu wa Afisa habari wa TFF, Alfred Lucas kiasi cha dola milioni 10 ambazo ni sawa na Shilingi milioni 22 zitagawanywa sawa kwa wachezaji na benchi la ufundi la timu hiyo. Taifa Stars...
05Aug 2017
Mary Geofrey
Nipashe
Kubenea amesema ameamua kupinga bomoabomoa hiyo baada ya kuona ubaguzi kwa baadhi ya watu wa kulipwa fidia na wengine kutolipwa. Kubenea alitangaza msimamo huo juzi, wakati akizungumza na wananchi...

Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Simba, Haji Manara.

05Aug 2017
Somoe Ng'itu
Nipashe
***Aahidi yuko tayari kucheza dakika 90 dhidi ya Rayon Jumanne kama atapangwa...
Niyonzima alichelewa kujiunga kwenye kambi ya Simba kutokana na kushiriki kozi ya ukocha leseni C inayotambuliwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF) iliyomalizika Jumapili iliyopita. Akizungumza na...
05Aug 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
*Ni endapo kitaeleweka madai trilioni 420/- za TRA, *Dua zote kwa kina Prof. Kabudi mjadala na Barrick
imebainika kuwa kiasi hicho cha fedha ni kikubwa na kinaweza kufanya mambo ya manufaa kwa wakati mmoja. Jumatatu iliyopita, Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu ilitoa taarifa juu ya kuanza...
04Aug 2017
Anceth Nyahore
Nipashe
Uchuguzi uliofanywa na Nipashe, mapema wiki hii umebaini kushuka kwa mazao ya nafaka na yale ya jamii ya mikunde kwa zaidi ya asilimia 40 ya bei iliyokuwepo mwezi juni na julai,mwaka huu. Hivi...
04Aug 2017
Margaret Malisa
Nipashe
Kamanda wa Polisi mkoani Pwani Jonathan Shana alisema tukio hilo lilitokea jana majira ya saa 3 asubuhi maeneo ya Picha ya Ndege barabara ya kwenda magereza wilaya ya kibaha Mkoa wa Pwani ambapo...
04Aug 2017
Margaret Malisa
Nipashe
Kaimu meneja wa Tanroad mkoa wa Pwani Mhandisi Zuhura Amani alisema zoezi hilo la siku nne lililoanza jana wanaliendesha kwa kushirikiana na jeshi la polisi Mkoa wa Pwani, kamati ya usalama...
04Aug 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kupitia Idara yake ya Uhamiaji imesema hatua kali za kisheria zitachuliwa dhidi ya raia wote wa kigeni wanaoingia nchini kinyume cha Sheria za Uhamiaji na nchi...

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani Jonathan Shana.

04Aug 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Shana alisema hayo baada ya mtu mmoja mkazi wa Mlandizi Abdala Chakame (25) kushambuliwa na wananchi wenye hasira waliokusanyika kituo cha dala dala kongowe baada ya kubaini mtu huyo ni mwizi. Mtu...
04Aug 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mbunge wa Jimbo la Serengeti Marwa Ryoba amethibitisha kukamatwa kwa Mbunge Heche na kusema kuwa polisi wamemkamata kutokana na kauli zake ikiwepo kauli ya kutaka kilimo cha bangi kihalalishwe pamoja...
04Aug 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Hali hiyo imebainishwa juzi na Ofisa Elimu wa Mkoa wa Geita, Rehema Mbwiro, wakati akitoa taarifa ya maendeleo ya elimu ya Mkoa wa Geita kwa mgeni Kaimu Mkuu wa mkoa huo, Mwalimu Kapufi....
04Aug 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Akizungumza na waandishi wa habari baada ya kukamilisha msako wa kuwabaini wafanyabiashara wa bangi na watu wanaojihusisha na kilimo cha zao hilo, Mratibu wa Tume hiyo, Luteni Kanali Frederick...
04Aug 2017
Christina Haule
Nipashe
Akizungumza wakati akifunga vituo vitatu vya mafuta vya kampuni ya Lake Oil mjini hapa, Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Dk. Steven Kebwe, alisema amelazimika kuchukua uamuzi huo kutokana na kukiuka agizo...

Mbunge wa Kawe (Chadema), Halima Mdee akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana kuhusu hali ya uchumi wa nchi kwa sasa.

04Aug 2017
Elizaberth Zaya
Nipashe
Mdee ambaye pia ni Mbunge wa Kawe kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), pia ameiomba serikali kujibu hoja zilizotolewa na Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, kuhusiana na hali...
04Aug 2017
Mhariri
Nipashe
Tukio la kuwekwa jiwe la msingi la mradi huo mkubwa na wenye maslahi mapana kwa nchi yetu, linaashiria kuwa ndoto ya kuupata na kutekelezwa nchini imetimia. Tunasema hivyo kutokana na ushindani...

Mkurugenzi wa klabu hiyo, Sanga Festo.

04Aug 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mkataba huo ulisainiwa jana jijini Dar es Salaam katika hafla iliyohudhuriwa na viongozi wa klabu hiyo . Akizungumza na waandishi wa habari muda mfupi baada ya kutiliana saini mkataba huo,...

Mjumbe wa Bodi KEPSA, George Owuor akizungumza katika ufunguzi wa majadiliano baina ya TPSF, yaliyofanyika jijini Dar es Salaam jana. Kulia ni Mwenyekiti wa TPSF, Dk. Reginald Mengi. PICHA: JOHN BADI

04Aug 2017
Romana Mallya
Nipashe
Mkutano huo ulihusisha Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) na Umoja wa Sekta Binafsi Kenya (KEPSA), ambapo walijadiliana namna ya kuondoa vikwazo hivyo na kuimarisha uhusiano wa kibiashara....
04Aug 2017
Hellen Mwango
Nipashe
Aidha, Jamhuri imedai unafahamu kuwapo kwa amri ya mahakama hiyo ya kutaka Sethi akatibiwe Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, lakini hakuna ushahidi unaothibitisha kwamba Hospitali ya Amana imeshindwa...
04Aug 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Haonga aliliambia gazeti hili kwa njia ya simu jana kuwa alikataa kutoa maelezo kwenye kituo cha polisi na kuwataka wampeleke mahakamani. "Sheria inaruhusu kutoa maelezo polisi au mahakamani,"...

waziri wa elimu profesa joyce ndalichako.

04Aug 2017
Gurian Adolf
Nipashe
Ugonjwa huo wa ajabu unawafanya wapatwe na kwikwi, kushindwa kuongea, kutetemeka na kuishiwa nguvu.  Ugonjwa huo umekuwa ukiwapata wanafunzi wa kike ambao wanasoma kidato cha tano na sita katika...

Pages