NIPASHE

03Aug 2017
Somoe Ng'itu
Nipashe
Akizungumza na gazeti hili jana, Msuva, alisema kuwa anaamini La Liga ndiyo ligi bora duniani na ndoto yake inaweza kutimia kutokana na juhudi ambazo amejipanga kuzionyesha. Msuva alisema kuwa...

Masogange.

03Aug 2017
Hellen Mwango
Nipashe
Mulima ambaye pia ni Meneja wa maabara ya Mkemia Mkuu na shahidi wa kwanza katika kesi hiyo, alidai kuwa alibaini chembechembe hizo baada ya kupima sampuli ya mkojo wa mshtakiwa. Ushahidi huo...

Wabunge wa viti maalum CUF, wakiwa katika chumba cha Mahakama Kuu jijini Dar es Salaaam jana. PICHA: HALIMA KAMBI

03Aug 2017
Hellen Mwango
Nipashe
Jana mahakama hiyo iliyoketi chini ya Jaji Lugano Mwandambo, ilipokea pingamizi la awali la upande wa walalamikiwa lililowasilishwa na Wakili wa Serikali Mkuu, Gabriel Malata. Upande wa...
03Aug 2017
Salome Kitomari
Nipashe
Gharama za mtu mmoja kupata matibabu ya moyo nje ya nchi ni wastani wa Sh. milioni 27 huku nchini upasuaji wa kufungua kifua ni Sh. milioni 15, na matibabu mengine yakianzia Sh. 300,000 kutegemea na...

Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo, Masanja Kadogosa.

03Aug 2017
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Fedha hizo ni makato ya mishahara waliyokuwa wanakatwa wafanyakazi wa TRL na wastaafu kwa miezi 10 na kutoingizwa katika Ushirika huo. Wamemwomba Rais John Magufuli na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa...
03Aug 2017
Raphael Kibiriti
Nipashe
Hii inafuatia Azimio la Innocent nchini Italia, lililosisitiza umuhimu wa kulinda, kuendeleza na kusaidia unyonyeshaji na ulishaji wa watoto. Akizungumza kwenye ufunguzi wa kitaifa wa maadhimisho...
03Aug 2017
Mhariri
Nipashe
Mafanikio hayo yametokana na kutumika kwa sheria mpya ya madini. Safari hii, serikali imepata Sh. milioni 334 za mrabaha kwa kipindi cha mwezi mmoja kupitia mgodi wa kuchenjua dhahabu wa Sunshine...
03Aug 2017
Christina Mwakangale
Nipashe
Aidha majiji makubwa ikiwamo Dar es Salaam, Mbeya, Arusha na Mwanza yanaongoza kwa matukio ya moto hususan katika makazi ya watu. Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji nchini, Thobias...

Mkurugenzi Mtendaji wa DTB, Viju Cherian.

03Aug 2017
Beatrice Shayo
Nipashe
Hayo yalisemwa jana jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi Mtendaji wa DTB, Viju Cherian, wakati wa uzinduzi wa tawi jipya la benki hiyo la Barabara ya Uhuru, katika eneo la Kariakoo, Manispaa ya Ilala...
03Aug 2017
Elizaberth Zaya
Nipashe
Aidha, asasi hiyo imeitaka serikali itekeleze kikamilifu nia yake ya kuziimarisha kiutawala, kifedha na kisiasa halmashauri ili ziwe huru kimapato na kimaamuzi. Akizungumza na waandishi wa habari...

WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Prof. Jumanne Maghembe.

03Aug 2017
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Prof. Maghembe aliyasema hayo jana kwenye ufunguzi wa Maonyesho ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi na sherehe za Nanenane Kanda ya Mashariki kwenye viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere mjini hapa. ...
03Aug 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Wanaongoza kwa rekodi mbaya duniani
Inatajwa kuwa asilimia 0.5 pekee ya kinamama hao, ndio wanaonyonyesha katika kiwango kinachotakiwa cha miaka miwili, kwani waliobaki asilimia 99, wanawaachisha ziwa watoto wao chini ya umri wa mwaka...

MBUNGE wa Momba kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Pascal Haonga.

03Aug 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kwa mujibu wa msaidizi wa Haonga, Mwalusanya Wilfred, mbunge huyo alikamatwa jana mchana na kisha kuhojiwa kwa muda kabla ya kuwekwa kwenye mahabusu hiyo. Alisema Mbunge huyo anashutumiwa na Jeshi...

WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi.

03Aug 2017
Elizaberth Zaya
Nipashe
Aliyasema hayo jana wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam katika mwendelezo wa kusikiliza mashauri mbalimbali ya migogoro ya ardhi, kutoka kwa wananchi wa Ilala, Temeke na...
03Aug 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
***Amchambua Okwi ndani nje na kubaini anapojikwaa kisha asema...
Akizungumza na gazeti hili jana kwa njia ya simu kutoka Sauzi, Omog alisema kuwa muda uliobakia kabla ya kuanza kwa ligi unamtosha kuboresha wachezaji wake ambao wameripoti kwa muda tofauti kwenye...

Makamu Mwenyekiti wa Sunshine hapa nchini, Betty Mkwasa.

03Aug 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Ujenzi wa mtambo huo wa aina yake, pia unatarajiwa kunufaisha maelfu ya Watanzania kwa ajira zisizo za moja kwa moja kwenye fani mbalimbali, wakiwamo pia vibarua, madereva, mamalishe na walinzi...

Mkuu wa Mkoa wa Singida, Dkt Rehema Nchimbi.

02Aug 2017
Frank Monyo
Nipashe
Dkt Nchimbi ametoa agizo hilo katika baraza maalumu la madiwani la kujadili hoja za mkaguzi na mdhibiti wa hesabu za serikali ambapo kulikuwa na hoja ya watendaji wa vijiji 30 waliokusanya kwa...
02Aug 2017
Frank Monyo
Nipashe
Mgodi wa GGM ulianza uzalishaji mwaka 2000 na kuingia makubaliano na Wizara ya Nishati na Madini ya kulipa dola 200,000 kwa halmashauri kila mwaka, lakini inadaiwa haikulipa tangu 2004 kwa madai kuwa...

Katibu Mkuu wa wizara ya Maji na Umwagiliaji, Profesa Kitila Mkumbo katikati, na Afisa Mtendaji Mkuu wa Dawasco Mhandisi Cyprian Luhemeja wakiwa na watendaji wengine wakiimba wimbo wa taifa.

02Aug 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Profesa Kitila ameitoa kauli hiyo jana wakati akizungumza na watendaji na mameneja wa Shirika la Maji Safi na Taka Dar es Salaam (Dawasco) kwenye ofisi za makao makuu ya shirika hilo jijini Dar es...

Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Ashatu Kijaji.

02Aug 2017
Renatha Msungu
Nipashe
Kauli hiyo imetolewa na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Ashatu Kijaji katika ziara yake ya kutembelea watu wanaokopeshwa na Mfuko wa Self mjini Dodoma. "Serikali itashughulikia changamoto ya...

Pages