NIPASHE

06Mar 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mchezo huo wa Ligi Daraja la Kwanza ulichezwa kwenye Uwanja wa Luminus Arena. Samatta alifunga mabao hayo katika dakika ya tano na 42 huku yote akifunga baada ya kupokea pasi za kiungo...
06Mar 2017
Faustine Feliciane
Nipashe
Mkude, alisema anafahamu matokeo hayo hayajawafurahisha mashabiki hasa baada ya kupata ushindi wa bao 2-1 dhidi ya Yanga. “Mchezo ulikuwa mgumu sana, na kweli hatukucheza kwenye kiwango chetu cha...
06Mar 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
***Ni kupaisha penalti ambayo ingewaweka Yanga kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu na kuishusha Simba…
Penalti hiyo ilitolewa katika dakika ya 38 baada ya beki wa Mtibwa Sugar, Ally Lundenga kuunawa mpira kwenye eneo la hatari. Msuva, ambaye anaongoza kwenye orodha ya ufungaji akiwa na mabao 12 moja...
06Mar 2017
Adam Fungamwango
Nipashe
Jumatano iliyopita, Machi Mosi, Yanga iliichapa Ruvu Shooting yenye maskani yake Mlandizi mkoani Pwani mabao 2-0 kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Ilikuwa ni mechi ya kwanza Yanga...
06Mar 2017
Adam Fungamwango
Nipashe
Simba imefunga magoli matatu dhidi ya Yanga katika mechi mbili za msimu huu wa ligi kuu ya Bara baada ya timu hizo kutoka sare ya 1-1 Oktoba mosi na Wekundu wa Msimbazi kuibuka na ushindi wa 2-1...

Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema akizungumza na waandishi wa habari baada ya kuachiwa huru.

04Mar 2017
John Ngunge
Nipashe
Mamia ya wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) walifurika kwenye viunga vya mahakama na baadhi yao kujikuta wakipokea virungu vya polisi katika kile kilichoonekana kuwa ni jitihada...
04Mar 2017
Romana Mallya
Nipashe
Jana, taarifa zilisambaa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii kuelezea kuwa mchungaji huyo anashikiliwa tena na polisi na kwamba, alikwenda kupekuliwa nyumbani kwake, eneo la Salasala jijini Dar es...
04Mar 2017
Faustine Feliciane
Nipashe
*** Yaelezwa hali mbaya ya pesa ndani ya klabu hiyo ndio sababu kubwa...
Taarifa kutoka ndani ya klabu hiyo zimeeleza uongozi umefikia hatua hiyo kutokana na hali mbaya ya fedha inayowakabili kwa sasa. Akizungumza na gazeti hili jana, Pluijm, alikili kupewa taarifa ya...
04Mar 2017
Nkwazi Mhango
Nipashe
Licha ya kuwa moyo wa upendo wa kweli kwa walevi hasa wanyonge, rahis amewasuta wasaidizi wake na vigogo wengine wa kila ngazi. Hakuna waliogemwa kama munene wa mukowa wa Mara kuanzia wakubwa ,...
04Mar 2017
Beatrice Bandawe
Nipashe
Ukombozi wa mwanamke Tanzania kushiriki katika shughuli za maendeleo ya kiuchumi unahusishwa na uzazi wa mpango. Uzazi wa mpango pia humkomboa mtoto wa kike kupata mimba zisizotarajiwa na...
04Mar 2017
Gaudensia Mngumi
Nipashe
Mwandishi GAUDENSIA MNGUMI, anachambua zaidi jinsi ukosefu wa huduma hiyo unavyoweka reheni maisha ya wanawake. Anaangazia masuala kama kuuawa na wanyama kama fisi na mamba pia kupata vilema kwa...
04Mar 2017
Beatrice Shayo
Nipashe
Akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam, Meneja Masoko na Mawasiliano, James Mlowe, alisema lengo la kufanyika mkutano huo ni kutoa fursa kwa wadau kuchangia maoni ili...

Mwenyekiti wa shirika la Afya na Elimu ya Tiba Tanzania (Tahmef), Juliana Busasi.

04Mar 2017
Beatrice Shayo
Nipashe
Wanawake watakaonufaika na mpango huo ni kutoka mikoa ya Mwanza, Simiyu, Kilimanjaro, Kigoma na Singida ambayo kila mkoa utapata Shilingi milioni 100. Akizungumza na waandishi wa habari jana...
04Mar 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho Zanzibar, Vuai Ali Vuai, alionya wakati akizungumza na viogozi, watendaji na wafuasi wa CCM wa jimbo la Malindi alipokuwa katika ziara ya kuimarisha chama....
04Mar 2017
Rahma Suleiman
Nipashe
Akizungumza na waandishi wa habari Mkuu wa mkoa huo, Ayoub Mohammed, alisema mashoga hao waliokamatwa walipelekwa hospitali kwa ajili ya kufanyiwa uchunguzi wa kiafya na kubaini iwapo wanafanyiwa...
04Mar 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mbegu hizo ni za muhogo zilizotoka Magereza Kiabakari zenye thamani ya Sh milioni saba na magunia 10 ya mbegu za mtama yenye thamani ya Sh milioni 1.2 na kwamba Halmashauri ya Musoma Vijijini...
04Mar 2017
Daniel Mkate
Nipashe
Baraza la Wakuu wa Nchi za Umoja wa Afrika (AU), lililokutana Juni 2014, katika mkutano uliofanyika Malabo, lilipitisha Itifaki ya Marekebisho ya Itifaki ya Mkataba wa Mahakama ya Haki za Binadamu na...
04Mar 2017
Barnabas Maro
Nipashe
Winga wa kushoto wa Simba, Shiza Ramadhani Kichuya amethibitisha kuwa mkombozi wa Simba. Aliiokoa kufungwa na Yanga kwenye mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu ya Bara mwaka jana. Aliisawazishia Simba...
04Mar 2017
Mhariri
Nipashe
Hapa nyumbani kumekuwa na malalamiko kuli kukicha juu ya waamuzi wetu wanaochezesha Ligi Kuu Tanzania bara ambapo wengi wao wamekuwa wakilalamikiwa kuchezesha vibaya na kupelekea timu fulani...
04Mar 2017
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Mbali na hilo, amesema kampuni zinazouza na kuzalisha pombe hizo, zimebainika kukwepa kodi. Akizungumza jana, katika kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika ukumbi wa Hazina mjini Dodoma,...

Pages