NIPASHE

Ramadhani Kailima.

14Jan 2017
Beatrice Shayo
Nipashe
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Ramadhani Kailima, alisema hayo jana wakati akizungumza na waandishi wa habari kuwa vyama vyenye wagombea wa ubunge katika uchaguzi mdogo...
14Jan 2017
Beatrice Shayo
Nipashe
Jeshi hilo limesema yeyote atakayekamatwa akifanya biashara hiyo hadharani atachukuliwa hatua kali kwa mujibu wa sheria. Aidha, jeshi hilo limesema katika kipindi cha siku saba kuanzia Januari 5...

Tundu Lissu.

13Jan 2017
Halima Kambi
Nipashe
Mbunge huyo wa Chadema yuko mahabusu katika gereza hilo kwa zaidi ya miezi miwili tangu alipofikishwa mahakamani kwa mara ya kwanza na kunyimwa dhamana Novemba 8, mwaka jana.Anakabiliwa na kesi ya...
13Jan 2017
Marco Maduhu
Nipashe
Mvua hiyo iliyonyesha saa 4:00 usiku kwa kipindi kifupi, pia ilisababisha nyumba 40 kuezuliwa paa na nyingine kuanguka. Kamanda wa Polisi mkoani humu, Jumanne Murilo, alithibitisha kutokea kwa...
13Jan 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Amesema kutokana na upepo wa mabadiliko katika mataifa mbalimbali, ikiwamo Ghana na Gambia, CCM inapata wasiwasi ndiyo maana serikali yake imekuwa ikifanya kila njama kukandamiza demokrasia kwa...
13Jan 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kutokana na changamoto hiyo, baadhi ya madereva wasio na uzoefu wa kuendesha malori ya mizigo, wakiwamo madereva wa daladala hasa za Dar es Salaam, wanadaiwa 'kulamba' ajira hizo na kuzua hofu ya...
13Jan 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kukamilika kwa mchakato huo, kutafanya jumla ya wafanyakazi waliopunguzwa idadi yao kufikia 118, ambao ni sawa na wastani wa asilimia tatu ya wafanyakazi wote. Hiyo ni sehemu ya mkakati wake wa...
13Jan 2017
Peter Orwa
Nipashe
Ni mjadala mgumu! Ni vyema cha kwanza kujiuliza PSRC ni nini na mashirika ya umma? PSRC ilikuwa chombo cha umma ambacho kilidumu kwa mkataba maalumu, likiwa na jukumu la kusimamia kwa niaba ya...
13Jan 2017
Denis Maringo
Nipashe
Kwa Tanzania, Sheria inayohusika zaidi na jambo hili ni Sheria ya Bima ya mwaka 2009 (Sheria namba 10). Tutakuwa tukiichambua sheria hii kwa kadri tupatapo nafasi ya kufanya hivyo. Maana ya Bima...
13Jan 2017
Raphael Kibiriti
Nipashe
Nikumbushe tu kwamba tulianza kuangalia changamoto zinazowakabili wafanyabiashara ambao wana ajira nyingine, yaani wanaweza kuwa wameajiriwa kwenye utumishi wa umma ama kwenye sekta binafsi. Kama...
13Jan 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Licha ya kupanda na kung’ara sana katika soko la dunia, lakini wakati inatangaza kuuzwa, ilikuwa imebakiwa na hisa katika soko la simu za mkononi ya asilimia tatu tu, ilhali mwaka 2007, ilishika...
13Jan 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mohamed ambaye ni mtoto wa bondia nyota wa zamani wa Tanzania, Rashid 'Snake Man' Matumla alisema kuwa yeye ni mfalme wa Temeke na hivyo hana sababu ya kupoteza pambano hilo la kwanza la ubingwa wa '...
13Jan 2017
Woinde Shizza
Nipashe
Viongozi hao wapya watakaa madarakani kwa kipindi cha miaka minne mpaka mwaka 2021. Katika uchaguzi huo, Peter Temu amechaguliwa kuwa Mwenyekiti mpya wa ARFA akimshinda Omary Walii kwa kura 13 kwa...
13Jan 2017
Mahmoud Zubeiry
Nipashe
Akizungumza kwenye mahojiano na gazeti hili jana, Ngasa, alisema kuwa Yanga inahitaji wachezaji wenye uwezo mkubwa wa kuuchezea mpira na kutoa pasi za mwisho. “Ukiangalia Yanga wanavyocheza...
13Jan 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mayanja aliyekuwa anazungumza kwa niaba ya bosi wake, kocha Mkuu Joseph Omog, alisema kwamba mchezo wa leo dhidi ya Azam utakuwa mgumu, lakini watajitahidi kuumaliza mapema. Baada ya kuwatoa...
13Jan 2017
Mhariri
Nipashe
Kwa mujibu wa Waziri wa Kazi, Uwezeshaji, Wazee, Vijana, Wanawake na Watoto, Moudline Cyrus Castico, Zanzibar ina waathirika wa dawa za kulevya 19,000. Kati ya hao, Waziri ameiambia Nipashe, 14,000...
13Jan 2017
Sabato Kasika
Nipashe
Katika mazingira hayo, Watanzania hawapaswi kubweteka kuwa mafanikio ya kupungua kasi yake yaliyopatikana katika mapambano dhidi ya ugonjwa huo hatari unaoendelea kuangamiza maisha ya mamilioni ya...
13Jan 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mwalimu Mkuu wa shule hiyo, Angelina Rweyemera, alisema kwa sasa ina wanafunzi zaidi ya 2,060, idadi iliyovuka idadi ya wananfuzi wa wanaotakiwa kuwapo katika shule moja. Rweyemera alisema kwa...

Mhandisi Edwin Ngonyani.

13Jan 2017
Elizaberth Zaya
Nipashe
Kituo hicho kina uwezo wa kutunza kumbukumbu ndani ya nchi, Afrika Mashariki na Kati. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam juzi, Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano...
13Jan 2017
Daniel Limbe
Nipashe
Rais Magufuli alitoa ahadi hiyo Jumatatu wiki hii, baada ya kufika shuleni hapo na kugonga kengele na wanafunzi walisanyika na kuzungumza naye kabla ya kuahidi kusaidia ujenzi huo. Baada ya ahadi...

Pages