NIPASHE

12Jan 2017
Faustine Feliciane
Nipashe
*** Asema kuna matumaini makubwa Ligi Kuu Bara kwani amepania...
Akizungumza na Nipashe jana muda mfupi baada ya kuwasili jijini Dar es Salaam, Lwandamina, alisema amekubali matokeo aliyoyapata kwenye mchezo wa nusu fainali dhidi ya Simba kwa kuwa wapinzani wao...
12Jan 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Amesema ushindi huo ni salamu kwa Wanajangwani hao kuelekea kwenye mchezo wao wa mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Bara utakaochezwa Februari 18, mwaka huu, lakini kwa sasa wanaipigia hesabu Azam kwanza...
12Jan 2017
Rahma Suleiman
Nipashe
Rungwe ambaye aliwania nafasi ya Urais katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015, aliyasema hayo jana katika mkutano wa hadhara wa uzinduzi wa kampeni za uchaguzi mdogo wa Jimbo la Dimani; kwenye Viwanja...
11Jan 2017
Ahmed Makongo
Nipashe
Mtoto huyo ambaye ni mwanafunzi wa darasa la tatu katika Shule ya Msingi Mihingo wilayani humu, kwa sasa anajisaidia haja ndogo kwa shida huku akipata maumivu makali. Mtuhumiwa huyo anashtakiwa...

Dk. Valentino Mokiwa.

11Jan 2017
Elizaberth Zaya
Nipashe
Dk. Mokiwa, ambaye alikuwa Askofu Mkuu wa Kanisa hilo kwa miaka mitano kuanzia 2008, alisema hayo jana ikiwa mara ya kwanza tangu kuibuka kwa taarifa Jumamosi iliyopita kuwa ameondolewa katika nafasi...
11Jan 2017
Mary Geofrey
Nipashe
Akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam, Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi, Julius Mtatiro, alisema fedha hizo zilitoka Hazina zilichotwa kutoka akaunti ya moja ya benki ya...

Mwenyekiti wa UVCCM, Sadifa Juma Khamis.

11Jan 2017
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Mwenyekiti wa Umoja huo, Sadifa Juma Khamis, alisema hayo jana wakati wa kilele cha matembezi ya maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi ya Zanzibar. Sadifa alitoa madai hayo mbele ya mgeni rasmi...
11Jan 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Yapo matukio mengi ya kisiasa ya kukumbukwa mwaka jana lakini kwenye makala hii tutaangazia sinema ya ‘Mwenyekiti wa CUF’, Profesa Ibharim Lipumba tu. Mwanasiasa huyu alisababisha mtikisiko wa...
11Jan 2017
Ani Jozen
Nipashe
Rais Yahya Jammeh kwanza alikiri kuwa upinzani ulikuwa umeshinda uchaguzi, lakini kwa kuwa amekuwa Amiri Jeshi Mkuu kwa miaka 22, anaamini kuwa majeshi ya nchi hiyo yako nyuma yake na hayataki...

KOCHA wa zamani wa Simba raia wa Croatia Zdravko Logarusic.

11Jan 2017
Faustine Feliciane
Nipashe
Logarusic, kwa siku za karibuni alikuwa akiwaniwa na mabingwa wa Afrika Mashariki na Kati, Azam FC ambao wamemtimua kocha wao Zeben Hernandez. Taarifa iliyochapishwa kwenye mtandao wa klabu hiyo...
11Jan 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Winga wa zamani wa Mtibwa Sugar, Uhuru Selemani, anayecheza soka la kulipwa nchini Afrika Kusini katika klabu ya Royal Eagles, ametaja kikosi chake bora cha muda wote cha Mtibwa akimjumuisha winga wa...
11Jan 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kauli hiyo ya Infantino imekuja baada ya mpango wake wa kuongeza timu hadi kufikia 48 kutoka 32 za awali, kupitishwa jana. Ukanda wa Ulaya (Uefa), ambao umekuwa ukipeleka timu 13 sasa zitaongezwa...
11Jan 2017
Faustine Feliciane
Nipashe
Kauli hiyo inaelekea kutimia baada jana jioni kutinga fainali kwa mara ya tatu katika michuano hiyo kufuatia kuifunga Taifa Jang’ombe bao 1-0 kwenye mchezo wa nusu fainali uliochezwa Uwanja wa Amaan...
11Jan 2017
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Aidha, baba mdogo wa watoto hao watano, aliyejitambulisha kwa jina moja la Ambialo, mkazi wa Pemba, alizinduka akiwa kwenye Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga, Bombo, saa chache baada kufikishwa...
11Jan 2017
Sabato Kasika
Nipashe
Shibuda amechua nafasi hiyo huku kukiwa na tuhuma kutoka baadhi ya vyama vya upinzani kwamba ni pandikizi na kwamba alitoswa kwa makusudi na CCM ili ahamie upinzani kwa lengo la kuusambaratisha....
11Jan 2017
Joseph Mwendapole
Nipashe
Kuondoka kwake madarakani si kwa heri, kunatokana na kushindwa kwa jaribio hilo la kutaka kusalia madarakani kwa muhula wa tatu. Kabila ambaye mwaka huu anatimiza miaka (46), alijipanga vilivyo...
11Jan 2017
Cynthia Mwilolezi
Nipashe
Amesema hali hiyo inaweza kuwanyima ushindi wagombea wa vyama hivyo dhidi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Vyama vilivyomo ndani ya Ukawa vilivyosimamisha wagombea katika uchaguzi huo ni Chadema, CUF...
11Jan 2017
Cynthia Mwilolezi
Nipashe
Wanafunzi hao ni kati ya 26,984 waliofaulu mitihani yao ya darasa la saba mwaka 2016 na kuchaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza mwaka huu. Akizungumza kwenye mkutano wa wadau wa elimu mkoa wa...
11Jan 2017
Ashton Balaigwa
Nipashe
Hofu hiyo ya wafugaji hao kukamatwa katika mnada huo inatokana na wiki iliyopita wenzao katika mnada wa Dumila kukamatwa na kushikiliwa na polisi wakihusishwa na matukio ya kujeruhi kwa sime na...
11Jan 2017
Christina Haule
Nipashe
Akizungumza kwenye mkutano wa wadau wa kodi na uongozi wa TRA mjini hapa juzi, Naibu Kamishna Mkuu TRA makao makuu, Charles Kichere, alisema mkoa wa Morogoro umekuwa wa pili kati ya mikoa ya kikodi...

Pages