NIPASHE

Msemaji wa Simba, Haji Manara.

07Apr 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), mwanzoni mwa wiki hii ilizishuda daraja timu zinazodaiwa kupanga matokeo. Sambamba na uamuzi huo, pia TFF iliwafungia baadhi ya viongozi, wachezaji na waamuzi kwa...
07Apr 2016
Christina Mwakangale
Nipashe
Iwapo ni mzigo wa chakula iwe ni nafaka, nishati ya mkaa uliopimwa kwa usahihi katika gunia la kilo 100, hata gari la mzigo iwe lori au vinginevyo hubeba mzigo huo kutegemeana na uwezo wake. Kwa...
07Apr 2016
Theonest Bingora
Nipashe
Mashuhuda wa tukio hilo walisema walisikia kishindo kikubwa kisha kelele za watu wakiomba msaada. Walipofika eneo la tukio walikuta upande mmoja wa nyumba umefukiwa na kifusi.
Tukio hilo lilitokea jana majira ya saa 12 alfajiri katika mtaa wa Kawe Ukwamani, Bondeni kwa Ndobe. Wakizungumza na Nipashe kwa nyakati tofauti, mashuhuda wa tukio hilo walisema walisikia...

ujenzi wa reli.

07Apr 2016
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Katika utekelezaji wa mpango huo, serikali imetenga Sh. bilioni 293.14 ili kuongeza ufanisi wa usafirishaji wa mizigo na abiria. Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango, aliyasema hayo jana...

Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango, akiwasilisha mapendekezo ya kiwango cha ukomo wa bajeti ya serikali kwa mwaka 2016/17, katika mkutano wa wabunge wote uliofanyika jijini Dar es Salaam jana.
PICHA: HALIMA KAMBI

07Apr 2016
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango, alitaja hatua hizo wakati akitoa taarifa kwa wabunge ya ukomo wa bajeti kuu ya serikali kwa mwaka wa fedha 2016/17, jijini Dar es Salaam jana....

Waziri wa Viwanda,Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage.

07Apr 2016
Christina Mwakangale
Nipashe
Mkutano huo unaofanyika kila mwaka, umezifanyia tathmini bidhaa za sukari, maji, chumvi na unga wa ngano na mahindi ili kuangalia viwango hivyo. Mkurugenzi wa Huduma za Upimaji, Ugezi na...

Rais wa tff ,Jamal Malinzi.

07Apr 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Lakini wakati timu hizo zikijiandaa kuchukua hatua hiyo, habari kutoka ndani ya shirikisho hilo, zinadai kuwa hali mbaya ndani ya taasisi hiyo ya kusimamia soka ni ‘udhaifu’ wa kiushauri anaopewa...
07Apr 2016
Na Waandishi Wetu
Nipashe
NUKUU: “Faida nyingine ni ajira zitaongezeka, kwa sababu viwanda vitahitaji watu wengi ili vizalishe bidhaa nyingi...”, Faida ziko nyingi, lakini kubwa kuliko yote ni kushuka kwa bei ya bidhaa kutakakosababishwa na kupungua kwa gharama za uendeshaji wa viwanda...
Aprili 2, mwaka huu, Mamlaka ya Udhibiti ya Huduma za Nishati na Maji (Ewura), ilipunguza bei ya umeme baada ya kupokea ombi la Shirika la Umeme nchini (Tanesco). Katika maombi yake, Tanesco...
07Apr 2016
Mhariri
Nipashe
Hayo yalibainishwa jana na Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango, alipowasilisha Kiwango na Ukomo wa Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka 2016/17 kwa Wabunge wote, akisema kuwa kati ya fedha hizo...

rais wa zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein akipiga kura baada ya kurudiwa kwa uchaguzi.

07Apr 2016
Mwinyi Sadallah
Nipashe
Mtazamo huo umetolewa na wananchi mbalimbali katika Manispaa ya Mji wa Zanzibar, walipohojiwa na Nipashe kwa nyakati tofauti, siku mbili tangu kufanyika kwa uteuzi huo. Viongozi waliteuliwa kuwa...

barabara mbovu.

07Apr 2016
Sanula Athanas
Nipashe
Akiwasilisha mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa mwaka wa fedha 2016/17, katika mkutano wa wabunge wote jijini Dar es Salaam jana, Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango, alisema...

wahudumu wa mochuari Tumbi, Andrew Iswalala.

07Apr 2016
Margaret Malisa
Nipashe
Andrew Iswalala, anayehudumia chumba cha kuhifadhi maiti katika Hospitali Teule ya Rufaa ya Mkoa wa Pwani - Tumbi, ana mengi kuhusu kazi yake tangu alipoingia hadi hatua aliyofikia sasa, akiwa...

Nape Nnauye.

07Apr 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe
Nape alisema hao juzi akiwa mkoani Kigoma na kueleza kwamba hali hiyo inawafanya viongozi hao kushindwa kuwatumikia vyema wananchi waliowachagua kwa sababu ya kutokuwa nao karibu. Alisema kiongozi...

Ofisa Mfawidhi wa Sumatra mkoa wa Tanga, Dk. Walukani Luhamba.

07Apr 2016
Lulu George
Nipashe
Madereva hao wanatarajiwa kulipa faini ya papo kwa papo ya Sh. 300,000 hadi Sh. 500,000 au kufikishwa mahakamani. Miongoni mwa magari hayo ni yale yanayosajiliwa kufanya safari za Donge kwenda...

Joel Makwaiya.

06Apr 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Pamoja nao UVCCM imemsimamisha Kamanda wa Vijana kata ya Bondeni na wanachama wawili wamefukuzwa uanachama kwa madai ya usaliti. Hayo yalibainishwa jana na Katibu wa UVCCM Wilaya ya Moshi, Joel...

viroba vilivyokamatwa na bangi.

06Apr 2016
Mary Mosha
Nipashe
Akizungunza na Nipashe Mkuu wa Wilaya Rombo Lembrace Kipuyo, alisema vijana wengi wameathirika na bangi inayolimwa wilayani humo na mirungi inayoingizwa wilayani humo kutoka Kenya. Dawa hizo hupitia...

mbunge wa Vunjo (NCCR-Mageuzi), James Mbatia.

06Apr 2016
Godfrey Mushi
Nipashe
Akiongea na wanahabari mjini Moshi Mbatia, ambaye ni Mwenyekiti wa Taifa wa NCCCR-Mageuzi, alisema ni vema Rais John Magufuli, akaachana na masuala ya utumbuaji wa majipu na kuipa katiba umuhimu wa...

Kamanda wa Polisi mkoa wa Tanga, Leornad Paulo

06Apr 2016
Lulu George
Nipashe
Watoto waliopoteza maisha ni Juma (9)na Ayub Hamad (12) waliokuwa wanafunzi wa Shule ya Msingi Shangazi kijijini hapo. Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi mkoa wa Tanga, Leornad Paulo, tuki hilo...
06Apr 2016
Lulu George
Nipashe
Ofisi hizo pamoja na kulalamikiwa , zimeripotiwa kwenye Tasisis ya ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru ) mkoa wa Tanga kwa kukithiri kwa vitendo vya Rushwa. Idara nyingine ni pamoja na...

rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Shein.

06Apr 2016
Rahma Suleiman
Nipashe
Katika uteuzi huo alioufanya jana, Dk. Shein amemteua aliyekuwa mgombea urais kwa tiketi ya chama cha ADC, Hamad Rashid Mohammed, mgombea urais kupitia AFP, Said Soud Said na aliyekuwa mgombea urais...

Pages