NIPASHE

Mkurugenzi Mkuu wa EWURA, Felix Ngamlagosi

12Jul 2016
Frank Monyo
Nipashe
Mkurugenzi Mkuu wa EWURA, Felix Ngamlagosi, alisemwa hayo jijini Dar es Salaam jana katika mkutano na wadau wa sekta ya mafuta nchini wa kupokea maoni juu ya mfumo wa uingizaji wa mafuta nchini....
12Jul 2016
Christina Haule
Nipashe
Mtuhuhumiwa huyo ambaye aligunduliwa na mmoja wa wagonjwa waliolazwa katika wodi ya wagonjwa mahututi hospitalini hapo, baada ya kukamatwa alidai yeye ni mwanajeshi, askari mstaafu, polisi na pia...
12Jul 2016
Rahma Suleiman
Nipashe
Akizungumza na waandishi wa habari mjini hapa jana, Kaimu Mkuu wa Takwimu kutoka Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali, Salma Saleh Ali, alisema ongezeko hilo limetokana na kupanda bei kwa baadhi ya...
12Jul 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Hayo yalisemwa na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), Prof. Godius Kahyarara, wakati akitoa taarifa ya mapato yaliyopatikana kwenye daraja hilo tangu lilipofunguliwa rasmi Mei 14,...

Harry Kitilya (mwenye miwani), akiwa na wenzake Shose Sinare na mwanasheria wa Benki ya Stanbic, Sioi Solomon.

12Jul 2016
Hellen Mwango
Nipashe
Kitilya na wenzake wanakabiliwa na mashtaka saba ikiwamo kujipatia Dola za Marekani Milioni sita (sawa na Sh. bilioni 13) kinyume cha sheria. Mbali na Kitilya, washitakiwa wengine katika kesi hiyo...

Josephat Gwajima

12Jul 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Aliingiaje kwenye 'hatua 18' za Polisi? Baada ya kusakwa na polisi kwa siku 25, Askofu Gwajima amekamatwa na kikosi cha polisi cha viwanja vya ndege, alipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa...
11Jul 2016
Faustine Feliciane
Nipashe
Juhudi za wachezaji zilifanikisha hilo huko Kocha mkuu Hans van de Pluijm akiwa na mchango mkubwa kwenye mafanikio ya timu hiyo. Juzi Shirikisho la soka nchini lilitoa orodha ya wachezaji...
11Jul 2016
Mhariri
Nipashe
Safari hiyo si ya mchezo kwa kuwa ni lazima klabu zijipange na kufanya maandalizi ya nguvu na ya muda mrefu. Tayari zipo klabu ambazo zimeanza mazoezi kuelekea kwenye msimu mpya wa ligi na kwa...
11Jul 2016
Romana Mallya
Nipashe
Mkurugenzi Mtendaji wa Udart, David Mgwassa, akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, alisema watakaoendelea kutumia tiketi ni wanafunzi peke yao. Alisema abiria wengine...
11Jul 2016
Peter Mkwavila
Nipashe
Aidha, jeshi la Polisi mkoani hapa limetoa onyo kali kwa yeyote atakayefika au aliye kwenye mkoa huo kwa lengo la kuvuruga mkutano mkuu maalumu wa Chama cha Mapinduzi(CCM), utakaofanyika Julai 23,...
11Jul 2016
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Aidha, nchi hizo mbili zimeazimia kushirikiana katika Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama) ili kuimarisha usalama wa nchi na ukusanyaji wa mapato ya serikali. Rais John Magufuli alisema...

Obren Curkovic-Azam FC

11Jul 2016
Adam Fungamwango
Nipashe
Klabu nyingi zinapenda kusajili makipa hodari, zikijua muhimu wa nafasi hiyo uwanjani. Tanzania imejaliwa kuwa na makipa wengi hodari, lakini hiyo haijazizuia klabu nchini kusajili makipa wa kigeni,...
11Jul 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Baadhi ya wachezaji wa kigeni walicheza kwa mafanikio makubwa klabu hiyo ya Msimbazi, hata hivyo baadhi ya usajili wa kigeni haukuinufaisha Simba, badala yake uliwaingiza mkenge kama mwandishi...
11Jul 2016
Adam Fungamwango
Nipashe
Baadhi ya klabu zinasajili wachezaji wapya wa kigeni kutoka nje ya nchi. Zipo zinazowasajili wachezaji wa Bongo ambao hawajaonekana wala kucheza Ligi Kuu. Kuna zingine zimewasajili wachezaji...
11Jul 2016
Adam Fungamwango
Nipashe
Wakati uwanja huo ukiwa na mvua ya magoli, Uwanja wa Jamhuri Morogoro wenyewe umeweka rekodi ya kufungwa magoli machache kwa kufungwa magoli matatu tu katika msimu huo uliomalizika. Jumla ya...

nyazo za zamadamu

11Jul 2016
John Ngunge
Nipashe
Ugunduzi huu ni wa pili mkubwa kufanyika baada ya ule wa Dk. Mary Leaky na wenzake uliofanywa mwaka 1978 katika eneo hilo. Akitoa taarifa rasmi, Waziri wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne...
11Jul 2016
John Ngunge
Nipashe
“Uwindaji endelevu ni muhimu kwa uhifadhi wa wanyamapori,” alisema Nicolas Negre, mmiliki wa kampuni ya EBN Hunting Safari Ltd wakati akizungumza na Nipashe mwishoni mwa juma. Negre alisema...

kahawa

11Jul 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kaimu Meneja wa kiwanda hicho, Bariki Swai alisema Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi ndiyo iliyotoa agizo hilo baada ya kikundi hicho kudai malipo hayo kwa muda mrefu. "Tumepokea maelekezo ya...
11Jul 2016
Godfrey Mushi
Nipashe
Akizungumza na Nipashe jana, Michael alisema anataka kuishawishi serikali kuvirudisha katika miliki yake viwanda hivyo vilivyobinafsishwa kwa wawekezaji wa ndani na nje, lakini wakashindwa...
11Jul 2016
Marco Maduhu
Nipashe
Rais Magufuli anatarajiwa kukabidhiwa ‘kijiti’ Julai 23, mwaka huu, kutoka kwa mwenyekiti wa sasa, Rais mstaafu wa serikali ya awamu ya nne, Jakaya Kikwete, lakini kumekuwapo na ‘maneno’ ya chini kwa...

Pages