NIPASHE

katibu mkuu wa cuf, maalim seif.

13Jul 2016
Rahma Suleiman
Nipashe
Hiyo ni kauli ya Maalim Seif Sharif Hamad, Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), aliyoitoa wakati akizungumza na wafuasi wa chama hicho kwenye baraza la Iddi lililoandaliwa na chama hicho,...

mkuu wa jeshi la polisi nchini erinest mangu

13Jul 2016
Hekima Akilimali
Nipashe
Pia aliwataka waonyeshe bidii ya kazi katika kushughulikia matukio ya uhalifu. Wakati Rais anatoa rai yake, Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Baraza la Wawakilishi yalikuwa kwenye vikao...

rais john magufuli

13Jul 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Wasiwasi ulianza na kitendo cha Serikali kupiga marufuku matangazo ya moja kwa moja ya Bunge kupitia runinga yaani matangazo ya Bunge “Live”, baadaye ikafuatiwa na kauli ya Waziri Mkuu Kassim...

Hifadhi ya Taifa ya Mlima Kilimanjaro

13Jul 2016
Godfrey Mushi
Nipashe
Mkakati huo ulitangazwa jana mjini hapa na Kamanda wa Polisi mkoani Kilimanjaro, Wilbroad Mutafungwa, wakati akizungumza na mawakala wa kampuni za utalii, za ulinzi na maofisa wa hifadhi ya Kinapa...

Mnara wa askari mkoa wa kilimanjaro

13Jul 2016
Godfrey Mushi
Nipashe
Mbunge wa jimbo hilo, Japhary Michael, aliiambia Nipashe jana kuwa fedha hizo zimetolewa kama mkopo kwa makundi matano ya vijana. “Ukiacha vijana hao ambao kila kikundi kimepata mkopo usiozidi...

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Said Mecki Sadiki

13Jul 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kauli hiyo ilitolewa juzi na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Said Mecki Sadiki, wakati wa maadhimisho ya miaka 20 ya kuanzishwa kwa benki hiyo. “Tunatambua mchango wa KCBL, na ninapenda kutumia fursa...
13Jul 2016
Neema Emmanuel
Nipashe
Akikabidhi msaada huo, meneja wa tawi hilo, Naomi Mwamfupe, alisema wanaamini elimu pekee ndiyo itaweza kulikwamua taifa kutoka katika wimbi la umaskini kwa kuwa na mifumo ya elimu iliyo imara....
13Jul 2016
Marco Maduhu
Nipashe
Dk. Mwakyembe alisema serikali itaendelea kutoa adhabu kali kwa watu ambao watabainika kuendelea kuhusika na mauaji ya watu hao ilikuweza kumaliza tatizo hilo ambalo limeipaka matope nchi ya...

wachezaji wa yanga wakifanya mazoezi

13Jul 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe
***Adai ni timu king'ang'anizi na iliyo tayari kushinda mechi bila kujali inacheza wapi...
Yanga itashuka dimbani wikiendi hii kucheza mechi ya tatu ya mashindano hayo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Wawakilishi hao wa Tanzania, wameshapoteza mechi mbili za kwanza, wakifungwa nyumbani na...
13Jul 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe
Bila kutaka jina lake kuandikwa kwenye gazeti, mmoja wa viongozi wa Benchi la Ufundi la Msimbazi, alisema kocha amevutiwa na baadhi ya wachezaji wa kigeni kutoka DRC na Zimbabwe. Mtoa habari huyo...

Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Kenya (SJAK), Chris Mbais (kushoto) akimkabidhi kikombe cha ubingwa kipa wa timu ya Taswa Queens FC, Somoe Ng'itu

13Jul 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Akizungumza na gazeti hili juzi jijini Nairobi, Kenya, Katibu Mkuu wa Cecafa, Nicholas Musonye alisema kuwa michuano hiyo 'haijayeyuka' na wako katika hatua za mwisho za kukamilisha mazungumzo na...

Mecky Mexime

13Jul 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe
Akizungumza na gazeti hili jana, Kocha mpya wa timu hiyo, Mecky Mexime alisema kuwa baada ya kukamilisha mazungumzo na uongozi wa timu hiyo, amewataka wachezaji wa klabu hiyo kufika mkoani Kagera...
13Jul 2016
Raphael Kibiriti
Nipashe
Lakini iliyo mingi inaonyesha kuwa siasa ni mchezo usio na staha, kwa mtu aliye muungwana. Kwamba kimsingi hilo siyo eneo lake. Misemo kama ‘siasa ni mchezo mchafu, hizo ndizo fitina za siasa,...
13Jul 2016
Mhariri
Nipashe
Rais John Magufuli aliwataka kwenda kufanya kazi akiwaeleza kuwa wasimamie mabadiliko ambayo serikali yake imeyaanzisha na kwamba kama wataona kuna mtu ni kikwazo katika kufikia visheni ya serikali,...
13Jul 2016
Sabato Kasika
Nipashe
Watanzania waliamini hivyo kutokana na kukata tama, kwa vile mambo mbalimbali waliokuwa wakilalamikia kwa muda mrefu yalikuwa yakiachwa bila ya kutatuliwa, na hivyo kufikia hatua ya kuichukia CCM na...

Rais Magufuli akizungumza na Wakurugenzi Watendaji wateule wa Majiji, Manispaa, Miji na Wilaya, kabla ya Wakurugenzi hao kula kiapo cha uadilifu

13Jul 2016
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Kutokana na hali hiyo, amemwagiza Katibu Mkuu Tamisemi, Mussa Iyombe, kuwachukulia hatua maofisa waliopo Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), waliokuwa wanahusika na...
13Jul 2016
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Pia aliwaagiza wakurugenzi hao kwenda kusimamia upatikanaji wa madawati kwa kuyaorodhesha yote yaliyopo katika shule za maeneo yao, ili kusiwapo na uharibifu wa madawati hayo. Alisema endapo...
13Jul 2016
Mary Geofrey
Nipashe
Hayo yaliezwa na Mkurugenzi wa Shirika la Kimataifa la Hifadhi za Mazingira (WWF) nchini, Dk. Amani Ngusaro, wakati akizungumza na Nipashe, mara baada ya ufunguzi wa mkutano wa kujadili uhusiano kati...
13Jul 2016
Augusta Njoji
Nipashe
Nipashe ilishuhudia magari 23 yaliyobeba askari wa kikosi cha kutuliza ghasia (FFU) wakiwa na silaha, pikipiki, gari la washawasha na mbwa wakizunguka katika mitaa mbalimbali. Mazoezi ya Polisi...

Rais Mstaafu Jakaya Kikwete

13Jul 2016
Elizaberth Zaya
Nipashe
Akizungumza wakati akifungua mkutano wa Madaktari Bingwa wa nchi za Afrika Mashariki uliofanyika jijini Dar es Salaam jana, Kikwete alisema ana taarifa kuwa chama cha madaktari bingwa wa moyo cha...

Pages