NIPASHE

Lango kuu la kuingia kwenye mgodi wa almasi wa Mwadui.

26Oct 2016
Marco Maduhu
Nipashe
Lakini asilimia 90 ya vijana wa maeneo hayo wamekuwa wakijishughulisha na utafutaji mali kupitia machimbo ya almasi kwa njia haramu. Vijana hao wamekuwa wakidai kukosa msaada wa kifedha kutoka...

migomba kutoka Msumbiji.

26Oct 2016
Cynthia Mwilolezi
Nipashe
Tamko hilo lilitolewa jana na Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Dk. Florence Turuka, kwenye hotuba yake ya ufunguzi wa mkutano wa wataalamu wa afya ya mimea kutoka nchi za Jumyiya ya...

Mzambia George Lwandamina.

26Oct 2016
Sanula Athanas
Nipashe
***Lwandamina akamilisha kikosi cha makocha wa kigeni, huku wazawa...
Akiwa na Arsenal, Wenger amefaniwa kutwaa mataji sita ya Kombe la FA na sita ya Ngao ya Jamii, lakini ana mataji matatu tu ya Ligi Kuu (1997/8, 2001/02 na 2003/04 katika miaka yote 20 nchini England...
26Oct 2016
Mahmoud Zubeiry
Nipashe
Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano ya Simba, Hajji Manara, akizungumza na Nipashe jana alisema kupata namba katika kikosi cha kwanza cha timu hiyo chini ya kocha Omog ni mtihani mgumu. Manara...
26Oct 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Yanga watashuka uwanjani siku moja baada ya kumpoteza kocha wao, Mholanzi Hans Van der Pluijm aliyejiuzulu juzi ikiwa ni takriban miaka miwili ya kuwa kuinoa timu hiyo aliyojiunga nayo Januari mwaka...
26Oct 2016
Faustine Feliciane
Nipashe
Warembo hao walishiriki uzinduzi wa kijiji hicho chenye nyumba 12 kwa mwaliko wa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongela. Akizungumza kwenye uzinduzi huo, Mongela, alisema amefurahishwa kuona kwa...
25Oct 2016
Dege Masoli
Nipashe
Watu hao walikufa kutokana na ugonjwa wa kansa ya ngozi kwa kukosa losheni hiyo. Katibu wa Chama cha Walemavu wa Ngozi mkoani Tanga, Mahamoud Salehe, aliliambia Nipashe kuwa walemavu watano wa...

Nassor Ahmed Mazrui.

25Oct 2016
Rahma Suleiman
Nipashe
Alitoa wito huo alipokuwa akizungumza katika kongamano la vijana wa chama hicho visiwani hapa jana. Mazrui alisema kama vijana wa chama hicho watakuwa legelege, basi na chama chao pia kitakuwa...
25Oct 2016
Cynthia Mwilolezi
Nipashe
Aidha, imeamuru mleta rufani huyo katika marekebisho yake awaunganishe msimamizi wa uchaguzi na Mwanasheria Mkuu wa Serikali ili mahakama isikilize kabla ya kutoa uamuzi bila kuwaathiri. Akisoma...
25Oct 2016
Gideon Mwakanosya
Nipashe
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma, Zuberi Mwombeji alisema matukio hayo yalitokea kwa nyakati tofauti. Kamanda Mwombeji aliwataja watuhumiwa hao kuwa ni Kassim Mohamed (51), mkazi wa Kijiji cha...
25Oct 2016
Elizaberth Zaya
Nipashe
Balozi Mahiga alisema balozi za nje zitalazimika kuhama Dar es Salaam kwa sababu safari ya wizara yake kuhamia Dodoma imeiva na inaanza mwezi huu. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es...

Mkurugenzi Mkuu, Ephraim Mgawe (katikati) akipandisha mahakamani.

25Oct 2016
Hellen Mwango
Nipashe
Wakurugezi watatu Bandari watuhumiwa kupokea
Aidha, washtakiwa hao wanadaiwa kuomba na kutoa rushwa kutoka kampuni ya Leighton Offshore Pte. Ltd ili kuiwezesha kushinda zabuni ya kubadilisha boya kwenye ufukwe wa Mjimwema wa TPA jijini Dar es...
25Oct 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Rais John Magufuli, katika hafla ya kutia saini mikataba 22 ya kibiashara kati ya Tanzania na Morocco iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam jana, alisema amefurahishwa na uamuzi wa mgeni wake huyo...
25Oct 2016
Elizaberth Zaya
Nipashe
Fedha hizo zinadaiwa kuwa mali ya Samwel Apolo. Tukio hilo lilitokea mwishoni mwa wiki na imeelezwa kwamba baada ya majambazi hayo kufika eneo hilo, yaliwaamuru watu wengine waliokuwamo ndani ya...

Estar Bulaya.

25Oct 2016
Rose Jacob
Nipashe
Katika utetezi wake huo kwenye Mahakama Kuu mjini hapa jana, Bulaya aliulizwa maswali yaliyojikita kwenye ufafanuzi juu ya kutofautiana kwa idadi ya wapigakura waliojiandikisha kwenye hati yake ya...
25Oct 2016
Barnabas Maro
Nipashe
Nilijitahidi kuwaambia maji ya mvua ‘hayavunwi’ bali hukingwa lakini walikataa katakata kukubaliana nami. Mmoja wao akasema maji ya mvua ‘huvunwa’ kwa sababu huwekewa utaratibu maalumu ili kuyapata...
25Oct 2016
Charles Kayoka
Nipashe
Nikasoma habari za Scorpion alivyokuwa akitamba mtaani hadi akifika hatua ya kuwafanya atakavyo waathirika wa matendo yake ya kutisha. (sitalijadili hili kwa vile liko kwenye mikono ya polisi)....
25Oct 2016
Lilian Lugakingira
Nipashe
Pamoja na jitihada za serikali pia wadau mbalimbali wa elimu, nao hawako nyuma katika kuhakikisha kuwa inatolewa elimu bora na yenye tija. Miongoni mwa wadau wanaoshirikiana na serikali ni taasisi za...

John Rutahiwa akiwa katika eneo la mradi huo vingunguti mjimpya.

25Oct 2016
Frank Monyo
Nipashe
Mazingira hayo ,yalisababisha wakazi wa eneo hilo kuishi katika hali hatarishi kwa afya zao.Hata hivyo, Mradi wa Biogesi unaotekelezwa katika eneo hilo ni tumaini jipya kwa wakazi hao unatarajia...
25Oct 2016
Raphael Kibiriti
Nipashe
Hii ilitokana na aina ya mfumo uliokuwapo wa namna ya kuziendesha shule, ulioruhusu walimu kuvumbua na kukuza vipaji mbalimbali vya wanafunzi wenye sifa za kipekee kwenye nyanja mbalimbali, kuanzia...

Pages