NIPASHE

02Nov 2016
Na Waandishi Wetu
Nipashe
***Omog asema ni fainali leo Kambarage, Pluijm yeye adai bado hajaona sababu ya kupoteza Sokoine na kwamba...
Joseph Omog, kocha mkuu wa Simba, ameliambia Nipashe kuwa mchezo wa leo dhidi ya Stand United utakaofanyika kwenye Uwanja wa Kambarage, Shinyanga ni zaidi ya fainali, "lakini wachezaji wangu wapo...
02Nov 2016
Salome Kitomari
Nipashe
Akizungumza na Nipashe jana, Lembeli alisema vita dhidi ya ujangili iliyopata msukumo mpya kutokana na agizo la Rais Magufuli alilolitoa wakati alipofanya ziara ya kushtukiza kwenye Wizara ya...
02Nov 2016
Theodatus Muchunguzi
Nipashe
Ushirikishaji wa wadau na jamii nzima katika uamuzi husaidia kupatikana kwa sera au sheria nzuri, kwa sababu baada ya kutungwa siyo rahisi kutokea mtu au kundi kupinga kutokushirikishwa. Katika...
02Nov 2016
Augusta Njoji
Nipashe
Upekee huo unatokana na ukweli kwamba yeye ni Mbunge aliyeshinda nafasi ya ubunge lakini hakufanikiwa kupata diwani hata mmoja wa chama chake. Hali hiyo imefanya wadadisi wa masual ya kisiasa...

Dk. Didas Masaburi.

02Nov 2016
Ani Jozen
Nipashe
Ni mwanasiasa ambaye alifikia kilele chake katika kuchaguliwa kuwa diwani wa kata ya Kivukoni jijini mwaka 2010 na halafu kushinda kura za umeya wa Jiji mwishoni mwa 2010. Ina maana kuwa ni mtu...

jaji mstaafu joseph warioba.

02Nov 2016
Salome Kitomari
Nipashe
Ili mchakato wa Katiba uweze kuendelea ulikoishia ni lazima kufanya marekebisho ya Sheria ya Kura ya Maoni na 11 ya mwaka 2013, kwa serikali kupeleka mswada wa marekesho bungeni, ambao hadi sasa...
02Nov 2016
Mhariri
Nipashe
Hatua hiyo ilidhihirika baada ya mazungumzo kati yake na mwenyeji wake, Rais Uhuru Kenyatta juzi katika Ikulu ya Nairobi, yaliyolenga mambo mbalimbali ya maendeleo yanayohusu nchi zao. Baada ya...
02Nov 2016
Sabato Kasika
Nipashe
Kwa mujibu wa Spika Job Ndugai, jambo lingine litakuwa katika mjadala huo ni serikali kupokea ushauri kuhusiana na vyanzo vya mapato, vipaumbele vya uandaaji bajeti ijayo ambapo haya yote yatafanyika...

Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa Mlipakodi wa TRA, Richard Kayombo.

02Nov 2016
Romana Mallya
Nipashe
Akizungumza na Nipashe jana jijini Dar es Salaam Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa Mlipakodi wa TRA, Richard Kayombo, alisema tayari vifaa vya kuongeza nguvu ili uhakiki huo ufanyike bila kikwazo...
02Nov 2016
Ahmed Makongo
Nipashe
Wameilalamikia Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Majini na Nchikavu (Sumatra) kuwalipisha fedha za leseni ya mitumbwi kwa kutumia risiti za mkono, badala ya mashine za kielektroniki (EFDs)....
02Nov 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe
Aidha, alifafanua kuwa kauli hiyo maana yake ni wadau na mashabiki wa timu hiyo wanatakiwa kuwa na uvumilivu kutokana na kikosi chao kukosa maandalizi yanayostahili kabla ya ligi kuanza. Ongalla...

KIPA namba moja wa Yanga, Deogratius Munishi 'Dida',.

02Nov 2016
Faustine Feliciane
Nipashe
Simba inaongoza ligi kwa tofauti ya pointi tano dhidi ya Yanga inayoshika nafasi ya pili ikiwa na pointi 27 huku zote zikiwa zimecheza michezo 12. Akizungumza na gazeti hili jana, Dida, alisema...

2.
Kocha Mkuu wa Kagera Sugar, Mecky Maxime

02Nov 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe
Azam FC ilipocheza na Kagera Sugar katika Uwanja wa Kaitaba ilishinda 3-2, wakati Yanga yenyewe iliibuka na ushindi wa mabao 6-2. Kocha Mkuu wa Kagera Sugar, Mecky Maxime, aliliambia gazeti hili...
02Nov 2016
Romana Mallya
Nipashe
Mshauri mwelekezi wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF), Salum Awadh, aliyasema hayo jana jijini Dar es Salaam wakati wa mkutano uliohusisha wafanyabishara na sekta binafsi katika Afrika...
01Nov 2016
Renatha Msungu
Nipashe
Mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama ya Mkoa wa Dodoma, Joseph Fovo, Wakili wa serikali Beatrice Nsana, aliomba kuwasomea upya mashtaka washtakiwa hao ambapo alisema kwa sasa kila mmoja atakuwa...

Katibu Mkuu wa Baraza la Mitihani la Tanzania (Necta),Dk. Charles Msonde.

01Nov 2016
Salome Kitomari
Nipashe
Akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam, Katibu Mkuu wa Baraza la Mitihani la Tanzania (Necta), Katibu Mtendaji, Dk. Charles Msonde, alisema mtihani huo utafanyika leo hadi...
01Nov 2016
Renatha Msungu
Nipashe
Akizungumza na waandishi wa habari, Ofisa Habari wa Chadema Tumaini Makene alisema wao kama wadau wanapinga muswada huo, na kuutaka uongezewe muda wa kujadiliwa. “Huu muswada ni mzuri lakini...
01Nov 2016
Paul Mabeja
Nipashe
Akizungumza na Nipashe jana, mwenyekiti wa umoja wa wamiliki wa nyumba hizo pamoja na hoteli katika manispaa ya Dodoma, Chavuma Taratibu alisema wameamua kufikia maamuzi hayo baada ya malalamiko yao...
01Nov 2016
Thobias Mwanakatwe
Nipashe
Kitendo hicho, na ingawa Rais Uhuru Kenyatta alihudhuria pia sherehe za kuapishwa kwa Rais wa tano Magufuli, kilileta minong'ono kwenye mitandao ya kijamii na picha kuwa Tanzania inaunga mkono...

Balozi wa India nchini Tanzania, Sandeep Arya, akiwaaga wachezaji wa kabaddi watakaoshiriki kombe la Dunia nchini India.

01Nov 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Serikali ya India katika jimbo la Punjab limeandaa kwa mara ya sita kombe la dunia la mchezo huo ambao una asili ya India, unaochezwa na wachezaji wakiwa peku na vifua wazi kwa wanaume, katika...

Pages