NIPASHE

21Feb 2017
Daniel Mkate
Nipashe
Kutokana na hali hiyo, serikali imetakiwa kudhibiti haraka wavuvi haramu katika bwawa hilo kutokana na makundi ya wavuvi hao katika mwalo wa Champumba kutumia sumu na makokoro yanayoua samaki wa umri...
21Feb 2017
Somoe Ng'itu
Nipashe
Akizungumza jana jijini, Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa klabu hiyo, Haji Manara, alisema kuwa uimara huo unawafanya waamini kwamba Jumamosi watakuwa kwenye nafasi nzuri ya kulinda lango...
21Feb 2017
Lasteck Alfred
Nipashe
Msuva aliliambia Nipashe jana amekuwa akiwafuatilia mabeki wa Simba na kubaini kuwa ni mabeki wazuri lakini hawana kasi jambo ambalo litawapa nafasi ya kufanya mashambulizi mara kwa mara. Alisema...
21Feb 2017
Somoe Ng'itu
Nipashe
Yanga inatarajia kukutana na Zanaco ya Zambia ambayo iliiondoka APR baada ya kuifunga bao 1-0 katika mchezo wa marudiano uliofanyika Kigali, timu hizo zilitoka suluhu mjini Lusaka wiki iliyopita....
21Feb 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Alitoa wito huo juzi wakati akizungumza na wafanyakazi wa kiwanda hicho pamoja na wananchi wanaoishi maeneo ya jirani katika Kijiji cha Matufa wilayani Babati akiwa katika siku ya tatu ya ziara yake...
21Feb 2017
Elisante John
Nipashe
Watu hao walikamatwa baada ya Jeshi la Polisi kuanza kutumia mbwa maalumu ili kusaka watuhumiwa wa madawa hayo, kwenye mabasi yanayopita barabara kuu zinazoingia na kutoka mkoani Singida.Kamanda wa...
21Feb 2017
Neema Emmanuel
Nipashe
Aidha, wakili Lissu aliomba shauri hilo lisianze kusikilizwa jana mahakamani hapa kwa kuwa anahitaji muda kuisoma rufani ya muwakilisha maombi na kuielewe, na muda kisheria unamruhusu kuwasilisha...

aliyekuwa Mbunge wa Longido, Onesmo Ole Nangole (Chadema).

21Feb 2017
Cynthia Mwilolezi
Nipashe
Jaji Luanda ilikuwa asikilize rufani hiyo kwa pamoja na Stella Mugasha na Kipenka Mussa. Baada ya kusikiliza pingamizi za upande wa mjibu maombi ya rufani na majibu ya mleta maombi, Jaji Luanda...

Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Mhandisi Gerson Lwege.

21Feb 2017
Mary Geofrey
Nipashe
Jiji la Dar es Salaam linahitaji maji lita milioni 544 wakati Mamlaka ya Majisafi na Majitaka (Dawasco) ikiwa na uwezo wa kusambaza lita milioni 502 sawa na asilimia 93 pekee huku wananchi wakipata...
21Feb 2017
Augusta Njoji
Nipashe
Makandarasi hao tayari wameliandikia jeshi hilo notisi ya siku 14 yenye kusudio la kuwapeleka mahakamani kupitia wakili wao, Godfrey Wasonga kutoka kampuni ya Nation Attorney ambayo mwisho wa notisi...

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Dhahiri Kidavashari.

21Feb 2017
Nebart Msokwa
Nipashe
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Dhahiri Kidavashari alisema ajali hiyo ilitokea jana asubuhi baada ya zaidi ya wanananchi 50 kuvamia shimo la dhahabu linalomilikiwa na Vincent Minja, mkazi wa jijini...
21Feb 2017
Hellen Mwango
Nipashe
Aidha, PC Moses alidai kuwa kabla ya upekuzi huo alifika nyumbani kwa Mama Leila Mei 31, 2011 kati ya saa mbili na saa tatu usiku akiwa na polisi wenzake pamoja na mkuu wake, Kapufi, na kufanikiwa...
21Feb 2017
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Hayo ni matokeo ya vita vikubwa vinavyoendelea dhidi ya vitendo hivyo, chini ya Kamisheni mpya ya Kupambana na Dawa za Kulevya. Ni vita vilivyoanza kwa kuchochewa moto jijini Dar es Salaam na sasa...
21Feb 2017
Mhariri
Nipashe
Wameibuka na vilevi vipya kwani katika uchunguzi wetu ambao tulichapisha katika gazeti la jana, Nipashe, tumegundua kuwa 'mateja' ambao bado wapo mitaani baada ya wengine kuonekana kukimbilia katika...
21Feb 2017
Faustine Feliciane
Nipashe
**Ngoma aanza mazoezi mepesi, lakini Lwandamina hana uhakika wa kumtumia mshambuliaji huyo...
Awali timu hiyo ilikuwa na mpango wa kwenda kuweka kambi Pemba lakini benchi la ufundi liliamua kupachagua Kigamboni kujiandaa na mchezo huo utakaochezwa Jumamosi kwenye Uwanja wa Taifa....
21Feb 2017
Charles Kayoka
Nipashe
Mumewe alitaka kujua amepata wapi ruhusa ya kuchuma na kuchoma mahindi. Mke kabla hajajieleza vizuri, nadhani alipatwa na taharuki ya kuulizwa kitu kilichokuwa wazi. Kabla hajajipambanua vyema,...
21Feb 2017
Barnabas Maro
Nipashe
Methali hii huweza kutumiwa kupigia mfano mahali ambapo pana vitu fulani lakini walioko mahali pale hawavitumii au hawavihitaji. Ndivyo tulivyo Watanzania. Wakati lugha ya Kiswahili yapigiwa...
21Feb 2017
Happy Severine
Nipashe
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Antony Mtaka anabainisha kuwa, chuo hicho cha kisasa kinatarajiwa kutoa elimu ya ufundi katika fani mbalimbali . Mkoa huo ulianzishwa miaka mitano iliyopita kabla ya hapo...
21Feb 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kitu hicho walitaka kiwe na mguso mkubwa kwa vijana na makundi maalum ya jamii ambayo hayapewi nafasi kubwa. Wakiwa na umri wa miaka18, wakaanzisha Rethaka kampuni ya kijamii, wakaibuka na wazo la...
21Feb 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Maelezo kuhusu mnunuzi aliyeinunua, ambaye aliwasilisha ombi lake la ununuzi kupitia simu, hayajatolewa. Mnada huo ulifanyika katika jiji la Chesapeake, Maryland, na bei ya chini kabisa ilikuwa $100...

Pages