NIPASHE

Dk. Harrison Mwakyembe

24Sep 2016
George Tarimo
Nipashe
Dk.Mwakyembe aliyasema hayo jana kwenye uzinduzi wa mpango wa usajili wa watoto chini ya umri wa miaka mitano kwa mikoa ya Iringa na Njombe iliyofanyika mjini hapa. “Ukiangalia takwimu za usajili...
24Sep 2016
Nipashe
Uamuzi huo umechukuliwa na zaidi ya wananchi 2,000 wanaouza chai katika kiwanda hicho, baada ya Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Amos Makala, kumtaka mwekezaji huyo asiendelee kununua chai kwa wakulima....
24Sep 2016
Mhariri
Nipashe
Mbali na kutwaa ubingwa wa mashindano hayo, Kilimanjaro Queens pia imefanikiwa kuweka rekodi ya kutwaa ubingwa wa kwanza wa michuano hiyo iliyoandaliwa na Baraza la Vyama vyaSoka kwa nchi za Afrika...
24Sep 2016
Barnabas Maro
Nipashe
Mpaka Jumamosi hii, kati ya timu 16 zinazoshiriki Ligi Kuu, 12 zilikwisha cheza mechi tano kila moja na zilizobaki ni Yanga, African Lyon, Toto Africans na JKT Ruvu ambazo zimecheza mechi nne kila...

Wachezaji wa timu ya Kilimanjaro Queens wakifurahi baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyelele jijini Dar es Salaam juzi,baada ya kuwa mabingwa wa kombe la Challenge Afrika Mashariki na Kati 2016.PICHA: MICHAEL MATEMANGA

24Sep 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe
Kauli hiyo ilitolewa juzi usiku katika chakula maalum cha jioni walichoandaliwa wachezaji wa timu ya soka ya wanawake ya Tanzania Bara (Kilimanjaro Queens) ambayo ilirejea nchini ikitokea Jinja,...
24Sep 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe
***Hatima ya madai yanayomkabili Hassan Kessy yaliyotolewa na Simba kujulikana leo...
Matokeo ya mchezo huo ni sehemu ya maandalizi kuelekea mchezo wao wa watani wa jadi unaotarajiwa kufanyika Oktoba Mosi mwaka huu kwenye Uwanja wa Taifa jijini, Dar es Salaam. Kocha wa Simba,...
24Sep 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Ranieri ametoa kauri hiyo huku kikosi chake kikitegemea kuumana na United leo mchana kwenye mchezo wa ligi kuu. Kipindi cha nyuma makocha hao walikwaruzana hasa wakati Mourinho alipomuita Ranieri...
24Sep 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Giggs yupo kwenye orodha fupi ya watu wanaofikiliwa kupewa mikoba ya ukocha kwenye klabu hiyo yenye mwenendo mbaya tangu kuanza kwa msimu huu. Guidolin alisaini mkataba wa miaka miwili wa...
24Sep 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Lakini wasomaji wengi wakati huo walinipigia simu na kuniomba nitoe makala hii kwa Kiswahili ili wananchi wengi wapate kuelimika kuhusu hali halisi na usalama wa utafutaji na uchimbaji wa madini ya...

Kaimu Mkurugenzi wa NHIF , Bernard Konga

24Sep 2016
Beatrice Shayo
Nipashe
Kutokana na kupanda huko, NHIF imesema hakutawaathiri kwa kuwa mfuko unalipia fedha hizo. Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa NHIF, Bernard Konga, alisema hayo jana alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari...
24Sep 2016
Godfrey Mushi
Nipashe
Wafanyabiashara hao wanadaiwa kukataa kununua bidhaa hiyo kwa madai kwamba, ngozi inayozalishwa kwa ajili ya viwanda vya ndani na soko la nje ya nchi haina viwango vya ubora unaokubalika. Kwa...
24Sep 2016
Augusta Njoji
Nipashe
Wakizungumza na Nipashe mjini hapa jana, wakulima hao walisema mwaka huu wamepata hasara kubwa kutokana na kukosa soko na kusababisha nyanya zao nyingi kuoza. "Kutokana na kukosekana kwa soko la...

Wafanyabiashara wadogo katika maonyesho ya bidhaa za usindikaji. Unapoanza biashara angalia kwanza taratibu na sheria kuepuka usumbufu. PICHA: MTANDAO

24Sep 2016
Nipashe
Kama umefanya utafiti na kupanga mipango ya kuanzisha biashara unatakiwa kwanza kuangalia taratibu za kisheria ambazo utazifuata na kuzitekeleza unapoingia kwenye uwekezaji. Fahamu kuwa zipo aina...
23Sep 2016
Elisante John
Nipashe
Mkuu wa Wilaya ya Singida, Elias Tarimo, aliyasema hayo mbele ya Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru mwaka huu, George Mbijima, alipoongoza msafara wake kuingia katika manispaa hiyo kwa ajili ya...
23Sep 2016
Mwinyi Sadallah
Nipashe
Kukwama huko kumetokana na wajumbe kuomba muda wa kuyapitia marekebisho hayo. Muswada wa Marekebisho ya Katiba ya Zanzibar ulikuwa uwasilishwe jana na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Katiba, Sheria,...
23Sep 2016
Cynthia Mwilolezi
Nipashe
Fedha hizo, imedaiwa, zilikuwa zitumike kwenye mradi wa maji. Mshtakiwa mwenza wa Msofe ni Ofisa Mtendaji wa Kata ya Daraja Mbili, Modestus Lupogo. Washtakiwa walifikishwa katika Mahakama ya...
23Sep 2016
Hellen Mwango
Nipashe
Tanesco imeamriwa kulipa kiasi hicho wiki iliyopita katika hukumu ya mgogoro wake wa muda mrefu wa kisheria juu ya kampuni ya kufua umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL). Fedha...
23Sep 2016
Ibrahim Joseph
Nipashe
Sambamba na hilo, amewaonya viongozi wa jeshi ambao wamekuwa wakivunja taratibu ikiwamo kuwa na uhusiano wa kimapenzi na askari wa chini kwa kuwa hiyo ni sawa na kumkabidhi mtu kondoo kuwachunga na...
23Sep 2016
Halima Ikunji
Nipashe
Hayo yame bainishwa na Mjumbewa Bodi ya Tuwasa,ambaye pia ni Mjumbe wa Halma shauri Kuu Taifa ya Chama cha Mapinduzi (CCM), John Mchele, katika mkutano maalumu wa wadau wa maji uliofanyika mjini...
23Sep 2016
Mohab Dominick
Nipashe
Akiongea na Nipashe, Ofisa Mahusiano wa Mamlaka hiyo, John Mkama,alisema hasara hiyo ni kati ya mwezi Januari hadi Septemba mwaka, huu ilitokea baada ya mgodi wa Buzwagi kusitisha kupata huduma y...

Pages