NIPASHE

23Sep 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Imani anayoitanguliza siku zote ni kwamba, unapofanikishwa uchumi wa viwanda, ina maana kwamba ni hatua ya kuagana na umaskini kitaifa. Kutokana na msingi ya uchumi, maendeleo ya viwanda yana...
23Sep 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kwa kifupi tu kulingana na ufinyu wa nafasi katika safu hii, tutayataja mambo muhimu ambayo siku zote unapaswa uyazingatie kabla na wakati wowote unapochagua jina la biashara au kampuni unayotaka...
23Sep 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Moja ya vigezo ambavyo hutumiwa na mfanyabiashara akitaka kuleta bidhaa ni kuangalia inayouzika zaidi, maana yake bidhaa inayopendwa na wateja atakuwa na uhakika wa kuuza. Pia kuna sababu nyingine...
23Sep 2016
Raphael Kibiriti
Nipashe
Nimeamua kufanya hivyo, baada ya msomaji mmoja wa safu hii aitwaye Richard Collin wa Moshi, kuuliza eneo lenye tija la kuwekeza ili aweze kupata faida na hatimaye kufanikiwa kibiashara, baada ya kuwa...
23Sep 2016
John Ngunge
Nipashe
Bei iliyotangazwa ni Sh. 1,200 kwa kilo badala ya Sh. 800 ya awali. Kutokana na kukosa soko la zao hilo, baadhi ya wakulima walisusa kuvuna mbaazi na kuziacha mashambani zikiharibika. Akizungumza...
23Sep 2016
Peter Mkwavila
Nipashe
Ofisa Uhusiano wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), Francis Lupokela, alisema hayo jana alipokuwa akitoa maelezo kwa Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Christina Mdeme, alipomkaribisha...
23Sep 2016
Jenifer Julius
Nipashe
Serikali imejitahidi kupunguza adha ya usafiri kwa kuleta mabasi ya mwendo kasi hasa katika barabara ya Morogoro, bado mahitaji ya usafiri yanaendelea kuwa changamoto kubwa kutokana na ukweli kuwa...
23Sep 2016
Sabato Kasika
Nipashe
Siku ya Amani mwaka huu wa 2016, iliadhimishwa kitaifa mkoani Dodoma, ikiwa na kauli mbiu isemayo 'Tokomeza Rushwa, Dumisha Amani', kauli ambayo binafsi ninaona imekuja wakati muafaka. Ninasema...
23Sep 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
***Real Madrid nayo yatulizwa nyumbani, yashindwa kuweka rekodi mpya ya ushindi mfululizo La Liga…
Real Madrid ilipoteza nafasi ya kuandika rekodi Ligi Kuu ya Hispania baada ya kushikwa na sare ya bao 1-1 dhidi ya Villarreal kwenye Uwanja wa Bernabeu. Ivan Rakitic alikuwa wa kwanza kufunga kwa...
23Sep 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Hata hivyo, mkongwe Cruyff hakuwa tayari kuchukua nafasi hiyo ya ukocha, hivyo kuilazimu Arsenal kusaka kocha mwingine. Wakati huo, mkurugenzi aliyekuwa na nguvu nyingi Gunners, David Dein aliamua...
23Sep 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe
***Adai wakiingia uwanjani Oktoba Mosi na kumbukumbu ya ushindi msimu uliopita, wamekwisha...
Vigogo – Simba na Yanga wanakutana Oktoba Mosi kwenye Uwanja wa Taifa katika mechi ya Ligi Kuu inayosubiriwa kwa hamu kubwa na mashabiki wa soka. Msimu uliopita, Yanga ilitwaa ubingwa wa Bara na...
23Sep 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kali alilimwa kadi hiyo kwenye mchezo wa Kombe la Uholanzi dhidi ya Ajax Amsterdam usiku wa kuamkia jana. Awali, mwamuzi Danny Makkelie alimwonyesha kadi ya njano Kali kwa kosa la kumchezea vibaya...
23Sep 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mawakili wa Shirika la Umeme (Tanesco) wanaona shirika hilo la nishati kimsingi limeokoa takribani dola za Marekani 248.3 (zaidi ya Sh. bilioni 540) katika hukumu hiyo, Nipashe imefahamu. Tanesco...
23Sep 2016
Mhariri
Nipashe
Madereva hao walipata mkasa huo Septemba 14, mwaka huu wakiwa miongoni mwa madereva 15, wakiwamo watano wa Kenya. Waasi baada ya kuwateka madereva hao ambao walikuwa wamekwenda DRC kupeleka mizigo...
22Sep 2016
Furaha Eliab
Nipashe
Kaimu Mganga Mkuu wa Hospitali ya Kibena, Dk. Francis Benedict, alisema kati ya miili hiyo, tisa imesafirishwa kuelekea mkoani Ruvuma, miwili kuelekea jijini Dar es Salaam na mmoja mkoa wa Kusini...
22Sep 2016
Lilian Lugakingira
Nipashe
Tetemeko hilo limeelezwa kuwa na ukubwa wa 5.9 katika vipimo ya majanga hayo kimataifa, na kwa mujibu wa mtandao wa kompyuta wa earthquaketrack.com ndilo kubwa zaidi katika historia kutokea nchini...
22Sep 2016
Joctan Ngelly
Nipashe
Hukumu hiyo ilitolewa na Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Kigoma, Sylivester Kainda baada ya kuridhishwa na ushahidi uliotolewa na upande wa mashtaka kuthibitisha kosa hilo...
22Sep 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
ikiwa ni siku moja tu baada ya Mkuu wa Nchi huyo kufanya hivyo kwa Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Dk. Rehema Nchimbi kutokana na ajali ya basi iliyoua watu 12 mkoani humo Jumatatu usiku. Taarifa...
22Sep 2016
Gwamaka Alipipi
Nipashe
FinCEN katika notisi yake hiyo ilitoa kusudio la kuifungia FBME kutotumia mfumo wa kibenki wa Marekani. Baada ya notisi hiyo, FinCEN na FBME wamekuwa katika mashauriano baada ya uamuzi wa Mahakama...

Madereva wa Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja na ndugu zao, baada ya kuwasili uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam jana baada ya kuokolewa kutoka kwa kikosi cha waasi cha Mai mai nchini Kongo. PICHA: HALIMA KAMBI

22Sep 2016
Beatrice Shayo
Nipashe
Fumbuka na Mshana ni miongoni mwa madereva 15 (10 wa Tanzania na watano wa Kenya) waliotekwa Septemba 14 na kundi hilo lililochoma magari yao na kutaka lipewe dola za Marekani 5,000 kwa kila mmoja...

Pages