NIPASHE

26Nov 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Majaliwa alitoa agizo hilo jana alipomwakilisha Rais Dk. John Magufuli katika ufunguzi wa mkutano wa 21 wa mwaka wa Chama cha Wanasheria wa Afrika Mashariki kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa...
26Nov 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Baada ya kuutumia uwanja huo kwenye michuano ya ligi ya mabingwa msimu huu, Spurs wamepoteza michezo yao dhidi ya Monaco na Bayer Leverkusen katika michezo yao miwili ya nyumbani. Matokeo mabaya...
26Nov 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Ya kwanza ni kila kitu kifanyike kwa mujibu wa sheria. Maana hii ikitafsiriwa kuhusiana na mwenendo wa serikali inamaanisha kuwa pamoja na vyombo vyote vya umma viendeshwe kwa mujibu wa sharia....

KIUNGO wa Chelsea John Obi Mikel.

26Nov 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mikel (29), amekuwa kwenye kikosi cha Chelsea kwa miaka 10 na anashika nafasi ya pili ya mchezaji aliyekaa miaka mingi klabuni hapo akiwa nyuma ya nahodha wa timu hiyo, John Terry. "Nitajitahidi...

Kaimu Postamasta Mkuu wa TPC, Fortunatus Kapinga.

26Nov 2016
Chauya Adamu
Nipashe
Watumishi hao wanahusishwa na ubadhirifu wa fedha uliofanyika katika shirika hilo kwa kutia saini mikataba yenye utata na malipo hewa. Ufisadi huo wa kutisha uliibuliwa juzi na Mwenyekiti wa Bodi...
26Nov 2016
Steven William
Nipashe
Tukio hilo la mauaji ya mkulima huyo, lilitokea juzi katika Kitongoji cha Makweli wilayani Handeni, Tanga na waliofanya mauaji hayo wametoroka na wanasakwa na Jeshi la Polisi mkoani Tanga. Kaimu...
26Nov 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Baadhi ya nchi zilizofanikiwa kiuchumi kupitia viwanda ni pamoja na Japan, Korea Kusini, China na India kutoka bara la Asia. Uingereza, Ujerumani, Italia na Ufaransa (Ulaya) na Marekan. Uchumi...
26Nov 2016
Kiondo Mshana
Nipashe
*Anawalinda wanyama wadogo tena huwaandalia wengine makao
Kitendo chake cha kujitosa katika Wizara ya Maliasili na Utalii, kimewatikisa majangili ambao walishajenga kiburi kuwa hawakamatiki kutokana na jeuri ya pesa na kuendelea kuwaua tembo bila kujali...
26Nov 2016
Vivian Machange
Nipashe
Kuanzia hapo zinahitajika jitihada ili kuboresha hewa ya ndani ya nyumba. Watoto na watu wenye mzio wanaweza kuhisi mabadiliko ya hewa ndani ya nyumba hata yakiwa ni kwa kiasi kidogo. Hewa...
26Nov 2016
Nkwazi Mhango
Nipashe
Japo Mvungi alizikwa, kuombolezwa hata kupendwa na wengi, sijui kama bado wengi hao wanamkumbuka. Sifahamu iwapo wanakumbuka yale mema yote aliyosimamia na kutenda. Sina hakika kama wanamkumbuka...
26Nov 2016
Barnabas Maro
Nipashe
Kinachosubiriwa kwa shauku ni msimu wa pili na wa mwisho utakaotoa bingwa. Ingawa kuna mshindi wa nafasi ya pili na ya tatu, kinachoshindaniwa ni ubingwa unaoshikiliwa na Yanga kwa miaka miwili...
26Nov 2016
Mhariri
Nipashe
Ligi ya vijana imeanza na pia ligi ya taifa ya wanawake imeanza kutimua vumbi huku pia michuano ya Kombe la shirikisho nayo pia ikiwa imeanza na hii ni timizo la ahadi ya Rais wa Shirikisho la soka...
26Nov 2016
Steven William
Nipashe
Mshitakiwa huyo alisomewa shitaka lake juzi mbele ya Hakimu wa Wilaya, Enediana Makabwa katika mahakama ambayo ilijaa umati wa watu kutoka ndani na nje ya Muheza, wakiwamo ndugu wa marehemu huyo,...
26Nov 2016
Hellen Mwango
Nipashe
Hukumu hiyo ilipangwa kusomwa jana na Hakimu Mkazi Mkuu, Mfawidhi, Cyprian Mkeha lakini alisema bado haijawa tayari hadi mwakani. Upande wa Jamhuri uliongozwa na Wakili wa Serikali Jaqckline...
26Nov 2016
Mwinyi Sadallah
Nipashe
Kauli hiyo imetolewa na Naibu Waziri, Mohamed Ahmada Salum alipokua akijibu swali la Mwakilishi wa Jimbo la Paje, Jaku Hashim Ayoub katika kikao cha Baraza la Wawakilishi. Ayoub alitaka sheria...

Mkuu wa shirikisho la vyama vya wafanyakazi (Tucta), Nicholaus Mgaya.

26Nov 2016
Daniel Mkate
Nipashe
Akitangaza matokeo ya uchaguzi mkuu wa Tucta jana asubuhi, mwenyekiti wa kamati ya usimamizi wa uchaguzi huo, Dk. Salma Chande, alisema wajumbe wa mkutano walipiga kura usiku kucha pasipo na vurugu...
26Nov 2016
Romana Mallya
Nipashe
Katika maoni ya viongozi hao wa dini na wananchi, wako waliomkosoa huku wengine wakisema viongozi wa namna hiyo wanapaswa kuombewa.Akizungumza na Nipashe jana jijini Dar es Salaam, Makamu wa Rais...

Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho, Magdalena Sakaya.

25Nov 2016
Elizaberth Zaya
Nipashe
Kauli hiyo ilitolewa jijini Dar es Salaam juzi na Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho, Magdalena Sakaya, wakati akizungumza na waandishi wa habari. Sakaya alikuwa akitolea ufafanuzi juu ya masuala...

Mwenyekiti wa bodi hiyo, Dk. Haroun Kondo.

25Nov 2016
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Akizungumza na waandishi habari wakati wa utiaji saini wa makubaliano ya mkataba wa utekelezaji kati ya Bodi na Mtendaji Mkuu jijini Dar es Salaam jana, Mwenyekiti wa bodi hiyo, Dk. Haroun Kondo...

MCHUNGAJI wa Kanisa la Maombezi, Antony Lusekelo.

25Nov 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Hata hivyo, Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limesema litazungumzia kukamatwa kwa Lusekelo leo.Taarifa zilizoifikia Nipashe juzi usiku kutoka ndani ya jeshi hilo, zilidai kuwa Mzee wa...

Pages