NIPASHE

16Feb 2017
Thobias Mwanakatwe
Nipashe
Prof. Majamba alisema Bunge, Mahakama na Serikali kwa pamoja vimekuwa vikishutumiana hadharani kiasi kwamba hali hiyo ikiachwa iendelee, nchi haitakwenda vizuri. Mkuu huyo alikuwa akizungumza...
16Feb 2017
Faustine Feliciane
Nipashe
***Mshambuliaji huyo bado anauguza majeraha ya goti na hatokuwamo kwenye mchezo wa Jumamosi...
Akizungumza na Nipashe jana, Meneja wa Yanga, Hafidh Saleh, alisema kuwa nyota huyo hawezi kuuwahi mchezo huo wa Jumamosi kwa kuwa bado ajapona goti. Alisema nyota huyo pia hana uhakika kama...
16Feb 2017
Romana Mallya
Nipashe
Chanzo cha uhakika kutoka ndani ya jeshi hilo, kililiambia Nipashe jana jioni kuwa, Masogange alikamatwa juzi na anashikiliwa Kituo cha Polisi cha Kati kwa mahojiano dhidi ya tuhuma zinazomkabili...
16Feb 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Akizungumza na mtandao wa klabu ya Azam, Kocha huyo ambaye kikosi chake kilikuwa kikicheza mchezo wa kirafiki na Azam, alishangazwa na namna mabingwa hao wa Afrika Mashariki walivyojipanga vyema...
16Feb 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Simba leo inavaana na African Sports kwenye raundi ya sita ya michuano hiyo. mchezo huo awali ulikuwa umepangwa kuchezwa Machi Mosi lakini Shirikisho la soka nchini (TFF) uliurejesha nyuma....
16Feb 2017
Beatrice Shayo
Nipashe
Aidha, Mpina ameiagiza Manispaa ya Temeke kutoa maelezo ni kwa nini ilitoa hati miliki kwenye eneo chepechepe la mtaro huo kinyume cha sheria. Mpina alitoa maagizo hayo jana alipofanya ziara ya...
15Feb 2017
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Akizungumza na Nipashe kwa njia ya simu jana, Ndugai alisema ataanza kupima wabunge kilevi pale hali ya matumizi ya vilevi itakapokuwa mbaya bungeni. Mei 23, mwaka jana, Spika Ndugai aliieleza...
15Feb 2017
Augusta Njoji
Nipashe
Mkutano huo ulikuwa wa wiki mbili ambapo katika maeneo hayo wabunge walichangia kwa hisia tofauti kulinganisha na maeneo mengine. Masuala hayo yaliyojitokeza katika mijadala kwenye kujadili...
15Feb 2017
Augusta Njoji
Nipashe
Hivi karibuni, gazeti hili lilifanya mahojiano na mwanasiasa mkongwe ambaye ameshika nyadhifa mbalimbali ndani ya chama na serikali, Waziri Mkuu Mstaafu John Malecela ambaye anasema CCM ina kila...
15Feb 2017
Michael Eneza
Nipashe
Jeshi la polisi (walio upande wa utendaji) waheshimu Bunge na hivyo kuwa na tahadhari ya jinsi ya kushughulikia madai yoyote kuhusu wabunge kama wawakilishi wa wananchi. Kupuuza haki na stahili...
15Feb 2017
Joseph Mwendapole
Nipashe
Viongozi hao huwasilisha matamko hayo mbele ya Sekretariat ya Maadili ya Viongozi hao wa umma kabla ya mwisho wa kila mwaka. Pamoja na uzuri wa sheria hiyo lakini manufaa yake bado hayajaonekana...
15Feb 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Akizungumza jana na gazeti hili kwa njia ya mtandao kutoka Hispania, Farid alisema kuwa tangu wiki iliyopita ameanza kufanya mazoezi na kikosi cha kwanza cha timu hiyo. Alisema kuwa licha ya...
15Feb 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mbelwa ambaye alitarajiwa kurejea nchini jana, aliumia kwenye pambano hilo baada ya kuchomoka bega. Kwa mujibu wa taarifa kutoka Emmanuel Mlundwa, aliyeongozana na bondia huyo nchini India,...

KOCHA wa muda wa Timu ya taifa 'Taifa Stars', Salum Mayanga.

15Feb 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Ofisa habari wa TFF, Alfred Lucas, alisema ripoti iliyokabidhiwa TFF na Mayanga imeelezea juu ya mazoezi ya timu hiyo pamoja na ratiba ya michezo ya kirafiki...
15Feb 2017
Faustine Feliciane
Nipashe
***Ni kuelekea kwenye mchezo wao wa Februari 25 ambao utatoa picha ya ubingwa msimu huu...
Pambano hilo linalosubiliwa kwa hamu kubwa na mashabiki limepangwa kuchezwa Februari 25 kwenye Uwanja wa taifa. Kikosi cha Yanga kiliwasili jana mchana kikitokea Comoro walipokwenda kucheza mchezo...
15Feb 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mkuu wa shule hiyo, Ashura William, aliyasema hayo wakati akisoma taarifa fupi kwa Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana Chama Cha Mapinduzi (UVCCM)wilayani Bukoba, Ashirafu Kazinja, aliyetembelea kukagua...

Waziri wa Ardhi, Makazi, Maji na Nishati wa Zanzibar, Salama Aboud Tahib, akizungumza kwenye uzinduzi wa tawi la benki ya Equity mjini Zanzibar juzi.

15Feb 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Uzinduzi wa tawi hilo ulifanywa juzi jioni na Waziri wa Ardhi, Makazi, Maji na Nishati, wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Salama Aboud Tahib, kwenye hafla iliyohudhuriwa na wateja mbalimbali wa...
15Feb 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Sagcot, Geoffrey Kirenga, aliyasema hayo katika kikao cha ufunguzi wa mradi wa miaka mitatu utakaoiwezesha Tanzania kupata mbegu bora za viazi kutoka Uholanzi kwa lengo la...
15Feb 2017
Mary Geofrey
Nipashe
Wito huo aliutoa jana jijini Dar es Salaam, wakati akizindua kampeni ya kuwawezesha wanawake kiuchumi, iliyoandaliwa na Taasisi ya Manjano Foundation inayotoa elimu ya utumiaji wa vipodozi na...
15Feb 2017
Sabato Kasika
Nipashe
Kufutia vyama hivyo usajili wa kudumu kulitokana na zoezi la uhakiki wa utekelezaji wa masharti ya usajili na matakwa mengine ya kisheria ya vyama vya siasa vyenye usajili wa kudumu uliofanyika...

Pages