NIPASHE

31Jul 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
 Michezo hiyo iliyochezwa katika viwanja vya Don Bosco, Oysterbay jijini Dar es Salaam, ilikuwa ni hatua ya pili ya mechi za nusu fainali ambapo Mchenga Bbball Stars walijipatia ushindi wa...
31Jul 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
wanaoshiriki onyesho la Coke Studio linalotarajiwa kuanza kuonyeshwa kwenye vituo vya luninga mapema Septemba mwaka huu.Nahreel ambaye ameandaa nyimbo nyingi bora za wasanii mbalimbali nchini...
31Jul 2017
Mary Geofrey
Nipashe
 Aidha, alisema serikali imebaini kuwapo kwa wingi wa wakimbizi ‘feki’ wanaoingia nchini kwa kisingizio cha kukimbia vita ilhali ukweli ni kwamba wanakwepa njaa, hivyo kuigeuza...
31Jul 2017
Mary Geofrey
Nipashe
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, ndiye aliyetoa ahadi hiyo ili kukomesha magendo ya ubadilishaji fedha, wakati akizungumza na wananchi wa Mtukula mjini, karibu na mpaka wa Kasumulu, katika mkutano...
31Jul 2017
Adam Fungamwango
Nipashe
Timu 16 zitakuwa zikitafuta nafasi moja tu ya kutwaa ubingwa wa Tanzania Bara. Ratiba ya Ligi Kuu tayari imeshatoka na kila timu imeshajua itakutana na nani kwenye mechi ya ufunguzi. Hata...
31Jul 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
*** Wakala wake apewa jukumu hilo, sasa aingia sokoni kuwapeleka...
Hata hivyo, Tiboroha hakuwa tayari kuwataja nyota hao kwa sababu ya kuheshimu mikataba ambayo wanayo na timu zao za hapa nchini. Akizungumza na gazeti hili jana, Tiboroha alisema mazungumzo ya...
31Jul 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Taarifa kutoka katika kikao cha Kamati ya Utendaji ya TFF na ujumbe huo wa Fifa kilichofanyika jana jijini Dar es Salaam kilielezwa msingi mkubwa ni kuheshimu katiba ya shirikisho hilo. Chanzo...
31Jul 2017
Yasmine Protace
Nipashe
 Marufuku hiyo ilitangazwa na Mkuu wa Wilaya hiyo, Filbeto Sanga, katika kikao cha kawaida kilichowashirikisha madiwani, wakuu wa idara na wananchi.”Mikusanyiko ya usiku isifanyike ikiwamo...
31Jul 2017
Lilian Lugakingira
Nipashe
 Miongoni mwa maeneo yaliyoguswa na tetemeko hilo ni pamoja na mji mdogo wa Kayanga uliopo Karagwe.Akizungumza na Nipashe kuelezea tukio hilo jana, Ofisa wa Wakala wa Jiolojia Tanzania, Gabriel...

Wakala Dk. Jonas Tiboroha (kulia), akiwa ameshika kwa pamoja na Simon Msuva (wa pili kulia), jezi ya Klabu ya Difaa El Jadida wakati mchezaji huyo akikabidhiwa rasmi uzi huo na viongozi wa klabu hiyo nchini Morocco juzi.

31Jul 2017
Adam Fungamwango
Nipashe
Ni maneno ya winga machachari wa Yanga na timu ya Taifa 'Taifa Stars', Simon Msuva, wakati akiwaaga viongozi na wachezaji wa timu yake, kabla ya kukwea 'pipa' kwenda kuanza maisha mapya nchini...
31Jul 2017
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Hatua hiyo inatokana na Idara ya Uhamiaji kuibuka na kueleza kila kitu juu ya kile kilichotokea, katika tukio linaloelezewa kujiri Ijumaa, majira ya asubuhi.Katika tukio hilo, ambalo gazeti hili...
31Jul 2017
Adam Fungamwango
Nipashe
Tayari timu mbalimbali za Ligi Kuu, zimeshasajili wachezaji wanaotarajia kuwatumia msimu utakaoanza Agosti 26, mwaka huu. Lakini wakati siku zinakaribia kumalizika, kumekuwa na pilikapilika za...

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Ally Happi.

29Jul 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Uamuzi huo wa serikali kuliacha eneo hilo, ulitangazwa jana na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Ally Happi, alipokuwa akizungumza na wananchi hao katika mkutano wa hadhara, uliofanyikia katika eneo hilo...
29Jul 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Amesema kukamilika kwa ujenzi wa meli hizo zilizogharimu Sh. bilioni 11.253 ni utekelezaji wa ahadi ya Rais Dk. John Magufuli alizozitoa wakati wa uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 na pia zimo katika ilani...
29Jul 2017
Neema Emmanuel
Nipashe
Wafanyakazi hao waliotakiwa kutumbuliwa ni wa Idara ya Ardhi, wanaodaiwa wameshindwa kutekeleza majukumu yao ipasavyo. Watumishi hao wanatuhumiwa kushindwa kufanyakazi kikamilifu ikiwa ni pamoja...
29Jul 2017
Rahma Suleiman
Nipashe
Akisomewa hukumu hiyo mbele ya hakimu wa mahakama hiyo, Naila Abdulbasit na Mwendesha mashtaka, Arafa Salum, alidai mshtakiwa huyo alitenda makosa hayo huko Jambiani Mkoa wa Kusini Unguja kwa...
29Jul 2017
Hellen Mwango
Nipashe
Kutokana na ombi hilo, Mahakama imeliamuru Jeshi la Magereza na mamlaka zinazohusika na mshtakiwa huyo kumpeleka katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kwa ajili ya kupata matibabu ya maradhi...
29Jul 2017
Cynthia Mwilolezi
Nipashe
Mtoto wa marehemu, Ramadhan Soud, alithibitisha kuwa baba yake alikuwa anasumbuliwa na shinikizo la damu.  Alisema kabla ya baba yake kufikwa na umauti, alipatiwa matibabu katika Hospitali ya...

rais john magufuli akizungumza na wananchi wa Tegeta.

29Jul 2017
Romana Mallya
Nipashe
Wiki hii, TCU ilivizuia vyuo 19 kudahili wanafunzi na kuvizuia vingine kudahili wanafunzi kwenye kozi 75  katika vyuo 22 ambazo ilisema haizitambui. Akizungumza na wakazi wa Tegeta, Kinondoni...

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee  na Watoto, Ummy Mwalimu, akizungfumza na waandishi wa habari katika maadhimisho ya Siku ya Homa ya Ini Duniani.

29Jul 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee  na Watoto, Ummy Mwalimu, alisema hayo jana katika maadhimisho ya Siku ya Homa ya Ini Duniani. Ummy alisema serikali imeamua kununua dawa ya...

Pages