NIPASHE

Mzungumzaji mkuu wa Timu ya Ruvu shooting akizingumza na mwandishi wetu

19Sep 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe
Akizungumza na gazeti hili jana, Msemaji wa Ruvu Shooting, Masau Bwire, alisema matokeo hayo hawajayatarajia katika ligi hiyo lakini yamewasaidia kuwaamsha kwamba lolote linaweza kutokea kwenye soka...

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Dk. Stephen Kebwe.

19Sep 2016
Ashton Balaigwa
Nipashe
Hata hivyo, Wilaya ya Kilosa na Mvomero hawajaanza utambuzi huo kwa madai ya kuwapo mgomo baridi wa baadhi ya wafugaji wa kupinga mifugo yao kupigwa chapa. Akizungumza na aaandishi wa habari, Mkuu...
19Sep 2016
Mhariri
Nipashe
Kwa mara ya kwanza msimu huu, mashabiki wa timu za Simba na Yanga wataingiwa uwanjani kushuhudia mechi baina ya timu hizo, Oktoba Mosi mwaka huu kwenye Uwanja wa Taifa kwa kukata tiketi kupitia mfumo...
19Sep 2016
Augusta Njoji
Nipashe
Wakizungumza na Nipashe jana, wakazi wa kata hiyo, walisema mradi huo umekuwa ukitumia makanareta kusafirisha maji kwenda kwenye mashamba ya wakulima wa zabibu, lakini miundombinu yake ni chakavu...
19Sep 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Wakizungumza kwenye mkutano ulioandawa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Idara ya Huduma na Elimu kwa Mlipakodi, uliofanyika jana mjini hapaa, wachimbaji hao walisema, viwango vya kodi...
19Sep 2016
Adam Fungamwango
Nipashe
Zimetolewa ahadi za pesa kwa wachezaji kwa kila mchezaji na kila goli litakalofungwa. Wala si kitu kibaya kwa sababu ni motisha kwa wachezaji ambao ndiyo kwanza wanachipukia kwenye soka. Hata...
19Sep 2016
Sanula Athanas
Nipashe
Vituo vya televisheni nchini vilizuiwa kurusha moja kwa moja matangazo ya bunge kutokana na kile kilichoelezwa Aprili 18, mwaka huu na Katibu wa Bunge, Dk. Thomas Kashilillah kuwa jukumu la kurusha...

Bw. Godfrey Simbeye.

19Sep 2016
Elizaberth Zaya
Nipashe
Lengo la kongamano hilo ni kukuza mazingira ya uwekezaji, viwanda, usafirishaji na biashara. Washiriki wa kongamano hilo ni Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF), Mamlaka ya Maendeleo ya...

Kipa wa JKT Ruvu , Said Kipao akidaka mpira mbele ya mshambuliaji wa Simba, Laudit Mavugo.PICHA: MICHAEL MATEMANGA

19Sep 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe
***Ni katika mechi ya watani wa jadi itakayofanyika Oktoba Mosi
Kwa mujibu wa habari zilizopatikana jijini zinaeleza kuwa, aliyekuwa mdhamini wa timu hiyo, Azim Dewji, ameahidi kununua kila bao kwa Sh. milioni 1. Mbali na ahadi hiyo, pia Dewji ameahidi kutoa...

Meya wa Manispaa ya Kinondoni,Boniface Jacob.

18Sep 2016
Mary Geofrey
Nipashe
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Kinondoni, Aron Kagurumjuli, alisema jana kuwa amelazimika kuchukua uamuzi huo kutokana na kuwapo kwa halmashauri mpya ya Ubungo. Alisema alivunja baraza hilo baada...
18Sep 2016
Beatrice Shayo
Nipashe
Ally aliyeichelewesha ndege kwa saa kadhaa anashikiliwa na polisi kabla ya kufikishwa mahakamani kwa tuhuma za uharibifu wa mali, kwa mujibu wa Kamanda Kamanda wa Polisi wa Viwanja vya Ndege, Martin...
17Sep 2016
Hellen Mwango
Nipashe
itoe amri kwa Shirika la Nyumba Tanzania (NHC) ya kuirudisha katika jengo lake kwa kuwa haikuondolewa kwa kufuata taratibu za kisheria na bila kuwa na amri ya mahakama. Kadhalika, Mbowe ameomba...

vijana wakiwa vijiweni.

17Sep 2016
Gaudensia Mngumi
Nipashe
Swali la kujiuliza ni hili hivi nchi inapoelekea kujenga na kuanzisha viwanda ina wafanyakazi wa viwandani? Kuanzia fundi mchundo na watendaji wakuu wa kufanyakazi za uzalishaji mali unaokusudiwa...

WAZIRI Mkuu wa zamani, Edward Lowassa.

17Sep 2016
Thobias Mwanakatwe
Nipashe
Aidha, Lowassa aliyechuana vikali na Rais Magufuli katika uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 25 wakati alipogombea urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) huku akiwakilisha pia...
17Sep 2016
Sanula Athanas
Nipashe
*Utekelezaji wa mpango huo ni wa awamu sita, mawaziri wote watakuwa Dodoma ifikapo Februari, 2016 na Rais Magufuli atakuwa wa mwisho kuhamia ifikapo mwaka 2020.
Sambamba na mpango huo, aliweka wazi kuwa Rais John Magufuli atakuwa kiongozi wa mwisho kuhamia mkoani hapa mwaka 2020. Majaliwa aliyasema hayo bungeni mjini hapa jana wakati akihitimisha mkutano...
17Sep 2016
Nkwazi Mhango
Nipashe
Huwa nashangaa kuona marahis waliokwishafungasha virago kuendelea kupewa walinzi, wafagizi na makandokando mengine kana kwamba walizaliwa nayo.
Kwa kuonyesha mfano iliagiza mshahara wa rahis ufyekwe ili wengine wafuatie. Ajabu ya maajabu, sirikali ilisahau kufyeka marupurupu ya marahis watangulizi ambao wengi wao walisababisha kutuna kwa...
17Sep 2016
Margaret Malisa
Nipashe
kutokana na ziara ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa , Jumane ijayo ambayo pamoja na mambo mengine, inalenga kutembelea mradi wa uzalishaji wa sukari na kusikiliza kero za wananchi wa vijiji...

Mkurugenzi Mkuu wa zamani wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (Nida), Dickson Maimu.

17Sep 2016
Hellen Mwango
Nipashe
Katika masharti hayo, mahakama imewamtaka kuwasilisha fedha taslim Sh. bilioni 4.3 au hati za mali zisizohamishika zenye thamani hiyo. Maimu na wenzake watano wanakabiliwa na mashtaka ya kuhujumu...
17Sep 2016
Barnabas Maro
Nipashe
Pale Jangwani, jijini Dar es Salaam ndipo palipokuwa na viwanja vya timu mbalimbali za kandanda. Wachezaji hawakulipwa fedha kama ilivyo zama hizi. Wengi walipelekwa na wazazi wao kwenye vilabu...
17Sep 2016
Mhariri
Nipashe
Katika mechi hiyo, Serengeti Boys itashuka kwenye Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam, kuwakabili wapinzani wao, Congo Brazzaville. Mechi hiyo ni ya raundi ya tatu ya kuwania tiketi ya michuano...

Pages