NIPASHE

MKUU wa Wilaya ya Gairo mkoani Morogoro, Siriel Mchembe.

13Feb 2017
Idda Mushi
Nipashe
Hoja ya Mkuu huyo wa wilaya ilikataliwa kujadiliwa na kikao cha baraza hilo kwa maelezo kuwa si mjumbe halali wa kikao hicho. Kufuatia hali hiyo, Mchembe aliamua kuondoka kikaoni bila kuaga hata...
13Feb 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Wito huo ulitolewa na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Sagcot, Geoffrey Kirenga, alipokuwa akizungumza na wahariri wa vyombo vya habari nchini na waandishi waandamizi kwenye semina ya kuzungumzia mustakabali...
13Feb 2017
Robert Temaliwa
Nipashe
Hatua hiyo imelenga kumaliza migogoro baina ya makundi hayo mawili ambayo husababisha vifo na ulemavu wa viungo. Hayo yalisemwa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Bonaventura Mushongi, alipokuwa...
13Feb 2017
Mohab Dominick
Nipashe
Mwenyekiti wa halmashauri hiyo, Mibako Mabubu, alisema makosa ya watumishi hao wanane yalifikishwa mbele ya Kamati ya Halmashauri kwa ajili ya kujadiliwa na kutolewa uamuzi kwa kanuni za utumishi wa...
13Feb 2017
Adam Fungamwango
Nipashe
Aveva alichukua hatua hiyokutokana na wanachama hao kupeleka masuala ya soka mahakamani. Alikuwa na haki ya kufanya hivyo. Kwa sababu bila hivyo alikuwa akiiweka kwenye hatari klabu yake kufungiwa...
13Feb 2017
George Tarimo
Nipashe
Lipuli ilishindwa kutumia vyema uwanja wake wa nyumbani wa Sokoine mjini hapa na kujikutaka ikilazimishwa sare ya 0-0 dhidi ya watoto hao wa Ilala. Mchezo huo uliovuta hisia za mashabiki na...

TIMU ya JKT Queens ya jijini Dar es Salaam.

13Feb 2017
Somoe Ng'itu
Nipashe
Akizungumza na gazeti hili jana, Mwenyekiti wa Chama cha Soka la Wanawake Tanzania (TWFA), Amina Karuma, alisema kuwa timu sita ndiyo zimefanikiwa kuingia hatua hiyo ya pili ambayo itatoa bingwa wa...

Katibu Mkuu wa RT, Wilhelm Gidabuday.

13Feb 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Akizungumza Jijini Dar es Salaam, Katibu Mkuu wa RT, Wilhelm Gidabuday alisema Kili Marathon ndio mashindano makubwa ya riadhaTanzania kwa sasa na yanazidi kuwa makubwa kwa sababu ya udhamini mzuri...
13Feb 2017
Adam Fungamwango
Nipashe
Tatu ni zile timu ambazo zinapigana ili kuondoka kwenye eneo la hatari ya kushuka daraja. Vita ya nne ni kusaka ufungaji bora. Wenyewe wanaita kutwaa kiatu cha dhahabu. Wako wachezaji wengi ambao...
13Feb 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Manula alisema kuwa pamoja na kufanya vizuri kwenye mechi zao za hivi karibuni hasa mzunguko wa pili, lakini hawezi kujidanganya kama timu yao ina nafasi ya kuchukua kombe hilo. "Unajua wakati...
13Feb 2017
Adam Fungamwango
Nipashe
Kuna vitu vingi vimeonekana vya kufurahisha, kupendeza, kuchekesha, kuhuzunisha na hata kushangaza. Hata hivyo, wakati ligi hiyo inaelekea ukingoni, kuna baadhi ya vitu vimeonekana kukosekana na...
13Feb 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kante anacheza nafasi ya kiungo mkabaji maarufu kwa jina la `mkata umeme’ ukizungumza kwa lugha ya kimpira wa Tanzania. Kiungo huyu ana sifa kuu mbili moja ya kukaba na kunyakua mipira na sifa...

RAIS John Magufuli.

12Feb 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
“Mwaka jana wakati nakabidhiwa uenyekiti wa Chama cha Mapinduzi niliahidi ndani ya miaka mitano serikali itahamia Dodoma," taarifa ya Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali, Wizara ya Mambo ya Nje na...
11Feb 2017
Augusta Njoji
Nipashe
Aidha, Mbowe ambaye alipewa wito wa kuripoti Kituo Kikuu cha Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam jana na Makonda kwa ajili ya kuisaidia polisi katika vita ya mihadarati, alisema hakufanya hivyo kwa...
11Feb 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Alivalia sketi fupi au mini na blauzi kiduchu, ambayo inaonyesha matiti , makwapa na kitovu. Walimzomea, kumsonya, kumpigia milunzi na wengine walimrushia mchanga. Alijuta japo hakutamka nisameheni...
11Feb 2017
Nkwazi Mhango
Nipashe
Nitatumia umaarufu wangu na elimu yangu ya juu sana ya mambo ya sheria na usalama kuwasaidia namna ya kushinda vita hii hatari na ngumu. Hivyo nitatoa mapendekezo yafuatayo kabla ya kuingiza the big...
11Feb 2017
J.M. Kibasso
Nipashe
Leo nimefarijika kuendeleza hoja hii kwa kuwasilisha michango ya wadau wachache miongoni mwa wengi kutoka ndani na nje ya nchi walijitokeza ama kutoa maoni yao au kuniuliza maswali....
11Feb 2017
Peter Mkwavila
Nipashe
Aidha, takwimu zinaonyesha hospitali ya afya ya akili Mirembe, mkoani Dodoma, katika kipindi cha miaka minne kuanzia 2012 hadi 2016 ina zaidi ya wagonjwa 60,000 wa magonjwa ya akili na waathirika...
11Feb 2017
Augusta Njoji
Nipashe
Wakizungumza kwa nyakati tofauti mjini Dodoma jana katika semina ya wabunge iliyoandaliwa na Mtandao wa Kutokomeza Ndoa za Utotoni Tanzania (TECMN), baadhi ya wabunge walisema hatua hiyo itawakomboa...

WAZIRI wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage.

11Feb 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mwijage alitoa wito huo kwenye ufunguzi wa maonyesho ya wajasiriamali wadogo na wa kati ambayo yanalenga kuwapa mbinu na mikakati ya kuingia katika uchumi wa viwanda, mjini Dodoma juzi. Alisema...

Pages