NIPASHE

07Apr 2021
Adam Fungamwango
Nipashe
Kaimu Katibu Mkuu wa klabu hiyo, Haji Mfikirwa, amesema wao kama viongozi wa Yanga hawajaridhishwa kabisa na adhabu hiyo, hivyo wanajiandaa kupinga hukumu hiyo kwa njia zilizowekwa kwa kikatiba...
07Apr 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Simba ambayo ipo kileleni ikiwa na pointi 13 ikifuatiwa na Al Ahly yenye alama nane, kisha AS Vita ambayo ina pointi nne na Al-Merrikh ikiburuza mkia na pointi zake mbili, hata kama ikipoteza...

Profesa Ibrahim Lipumba. PICHA: MTANDAO.

07Apr 2021
Sabato Kasika
Nipashe
Iko bayana vyama vingi vya kisiasa ambavyo ndani ya utamaduni wa kisiasa, ni wapinzani wa watawala Chama Chama Cha Mapinduzi (CCM), vimejitokeza hadharani kumpa pongezi ‘kumkubali’. Ndani ya...
07Apr 2021
Gideon Mwakanosya
Nipashe
Msumbiji, kikoloni la Wareno ni miongoni mwa nchi ambazo hazitaisahau Tanzania ilivyotoa mchango wake hadi kusababisha nchi hiyo kupata uhuru wake toka kwa wareno mwaka 1975. Kwa waliokuwapo zama...
07Apr 2021
Anthony Gervas
Nipashe
Pia, katika hilo ni jana tu alitoa hotuba ndefu kwa umma wa Watanzania, baada ya kuaapisha viongozi waandamizi wa kiserikali walioteuliwa kwa nafasi mbalimbali. Sambamba na hili, amewaanikia...
07Apr 2021
Mhariri
Nipashe
Tunampongeza Rais Samia kwa kauli yake yenye matumani makubwa kwa sekta ya habari na wanahabari wenyewe, kwa kutambua kuwa taifa lisiloongea ni taifa mfu, maana yake unapozuia watu kuongea,...
06Apr 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Katika dakika ya 64 Samatta aliweza kuwanyanyua mashabiki wake baada ya kufunga bao kwa kichwa baada ya kumalizia pasi ya beki, Caner Erkin.Kwa ushindi huo, Fenerbahçe imefikisha pointi 62 baada ya...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan.

06Apr 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Rais Samia ametoa kauli hiyo leo  Jumanne Aprili 6, 2021 Ikulu jijini Dar es Salaam baada ya kuwaapisha watendaji aliowateua wakiwemo makatibu wakuu na manaibu wao.Katika maelezo ya Rais amesema...
06Apr 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
“Kulizuka rapsha rapsha juzi hapa kuhusu masuala ya mabando wananchi wakawa juu mkalituliza. Kalifanyieni kazi lisizuke namna ile, mpo na mnaangalia. Hawa watu wanakuja na mambo yao wananchi...
06Apr 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Rais Samia ameyasema hayo leo Jumanne Aprili 6, 2021 Ikulu jijini Dar es Salaam baada ya kuwaapisha makatibu wakuu na manaibu katibu wakuu aliowateua Aprili 4, 2021.Amesema imekuwa ni kawaida...
06Apr 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Amesema ukusanyaji wa kodi kwa kutumia nguvu na mabavu hausaidii umesababisha wafanyabiashara wengi kufunga biashara zao kwa kuhofia kubambikiwa kesi. Rais ameyasema hayo leo Jumanne Aprili 6,...
06Apr 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Samia ametoa maagizo hayo leo Jumanne April 6, 2021 Ikulu jijini Dar es Salaam, alipokuwa anawaapisha viongozi wa serikali ambao aliwateua hivi karibuni. "Ndani ya Ofisi ya Waziri Mkuu vibali vya...
06Apr 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Samaia amesema hayo leo Iluku jijini Dar es Salaam, katika hafla ya kuawaapisha viongozi aliowateua hivi karibuni. “Ninakusudia kuunda kamati ya wataalamu waliangalie suala la corona kwa upana...
06Apr 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Samia ameyasema hayo Ikulu jijini Dar es Salaam, alipokuwa akiwapisha viongozi aliowateua kushika nfasi mbalimbali ndani ya serikali. "Ninasikia kuna vyombo vya habari huko mlivifungia,...

Mbunge wa Kinondoni, Abbas Talimba akiuliza swali bungeni katika kikao cha nne cha mkutano wa Tatu wa Bunge la Bajeti, jijini Dodoma leo.

06Apr 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Dk. Ndugange ametoa agizo hilo Leo April 6, 2021 Bungeni jijini Dodoma wakati akibainisha kuwa kituo hicho ni muhmu kuwa na chumba hicho baada ya kuulizwa swali la nyongeza na Mbunge wa Kinondoni (...
06Apr 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Samia ameyasema hayo leo Ikulu jijini Dar es Salaam, alipokuwa anawaapisha viongozi aliowateua juzi wakiwemo makatibu wakuu, manaibu katibu pamoja na viongozi wa taasisi na mashirika ya serikali....

Mbunge wa Jimbo la Shinyanga Mjini Patrobas Katambi, ambaye pia ni Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu anaye shughulika na kazi, vijana na ajira, akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kumaliza kukagua ujenzi wa machinjio ya mifugo na kudai kutoridhishwa kuwa ipo chini ya kiwango.

06Apr 2021
Marco Maduhu
Nipashe
Katambi ambaye pia ni Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, na Ajira, alibainisha hayo leo alipofanya ziara ya kukagua machinjio hiyo, na kubainisha kutoridhishwa na ujenzi huo...
06Apr 2021
Peter Mkwavila
Nipashe
Yuna aliyasema hayo alipokuwa akizungumza na waandishi habari baada ya uchaguzi wa viongozi wa wafanyabiashara wa soko la sabasaba, jijini humo.Afisa huyo alisema kuwa Dodoma ni Makao Makuu ya Nchi...
06Apr 2021
Adam Fungamwango
Nipashe
Kitendo cha Simba kutinga robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika, kimeiongezea Tanzania pointi na sasa ipo katika nafasi ya kuingiza timu nne kwenye michuano ya Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF...
06Apr 2021
Cynthia Mwilolezi
Nipashe
Ofisa Mtendaji wa TCCIA mkoani Arusha, Charles Makoi, alisema mpango huo wa ushirikiano, unalenga kuotesha miti 20,000 kwa mwaka huu. “Mpaka kufikia sasa tumeshaotesha miti miti 100 katika...

Pages