NIPASHE

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Moi, Dk. Othman Kiloloma.

16Sep 2016
Mary Geofrey
Nipashe
Takwimu hizo zinaonyesha kuwa Moi hupokea majeruhi wa ajali 50 hadi 60 kwa siku na kati yao, robo tatu wanatokana na ajali za pikipiki. Aidha, takwimu hizo zinaonyesha kati ya majeruhi hao, watano...

Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Profesa Benno Ndulu.

16Sep 2016
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Baadhi ya wataalamu hao ambao wamepinga hoja nyingi za Profesa Ndulu ikiwa ni pamoja na viashiria vya kukua kwa uchumi alivyovitaja, wametaka wataalamu wa sekta hiyo walio serikalini kutoisaliti...
16Sep 2016
Ashton Balaigwa
Nipashe
Teknolojia hiyo ya asili inamfanya mkulima kutumia vipande vya ndizi kuwekwa kwenye tawi la nanasi inayosaidia kuwahisha ua la nanasi kuzaa kabla ya msimu wa matunda mengine. Akizungumzia...

moto ukiteteteza kiwanda cha mbao kahama.

16Sep 2016
Anceth Nyahore
Nipashe
Mkuu wa Wilaya ya Kahama, Fadhili Nkurlu, alisema jana kuwa tukio hilo limetokea juzi saa 12 jioni na kwamba kutokana na moto huo kuwa na miale mikali, ilikuwa kazi ngumu kuuzima. Alisema kazi ya...
16Sep 2016
Mhariri
Nipashe
Kila mwaka kuna ongezeko la wanafunzi wanaojiunga shule za sekondari lakini wasiwasi wangu mkubwa ni kuwa, ongezeko hilo limekuwa haliendi sambamba na idadi ya walimu wanaojiunga na taaluma hiyo....
16Sep 2016
Sabato Kasika
Nipashe
KILA Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Mohamed Mpinga anapotoa takwimu za ajali amekuwa akihimiza madereva kuzingatia sheria za usalama barabarani kwa lengo la kuepuka ajali hizo. Anasema...
16Sep 2016
Mhariri
Nipashe
MAKUNDI mbalimbali ya jamii yanaendelea kutoa misaada kwa waathirika wa tetemeko la ardhi lililoukumba mkoa wa Kagera Jumamosi iliyopita na kusababisha vifo, majeruhi na uharibifu wa nyumba. Watu...

wafanyakazi wa Soko la Samaki la Feri jijini Dar es Salaam.

16Sep 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Wamesema mitungi hiyo inawasababishia changamoto ambazo sasa ni kikwazo katika biashara yao. Walitoa malalamiko hayo jana wakati wakizungumza na waandishi wa habari kwa lengo la kueleza changamoto...
16Sep 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Katika robo ya kwanza ya mwaka 2016, ukuaji Pato la Taifa unakadiriwa kuongezeka kwa asilimia 5.5, ikilinganishwa na ongezeko la asilimia 5.7 katika kipindi hicho cha mwaka jana,” anasema Gavana wa...
16Sep 2016
Christina Mwakangale
Nipashe
Katika mitazamo hiyo, mojawapo inahusu juhudi za makusudi zinazowahusisha wataalam wa uchumi, masoko na uzalishaji samaki na baadhi ya taasisi. Semina maalumu ya kitalam ilifanyika mjini Mwanza...
16Sep 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe
***Aweka wazi kuwa timu itakayotumia vizuri nafasi itakazopata ndiyo yenye uhakika wa kuondoka na pointi tatu...
Akizungumza na gazeti hili jana mchana, Omog, alisema kila mchezaji anahafamu umuhimu wa kushinda mchezo huo na kuwataka kutumia vyema nafasi zote za kufunga mabao ambazo watazitengeneza. Omog...
16Sep 2016
Raphael Kibiriti
Nipashe
Leo tutazungumzia kanuni tatu muhimu za fedha. Kwa kujifunza kanuni hizi na kuzifanyia kazi, maisha yako kifedha yanaweza kubadilika na utaanza kuona mambo mazuri yakitokea kwenye maisha yako...
16Sep 2016
Faustine Feliciane
Nipashe
Pluijm aliliambia gazeti hili jana kuwa, pamoja na ugumu wanaopata wanapocheza ugenini kutokana na kukamiwa, atahakikisha wanapambana na kuondoka na pointi sita kwenye mkoa huo. "Najua mechi za...
16Sep 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mara ya mwisho katika orodha hiyo ya Fifa, Tanzania ambayo Septemba 3 mwaka huu timu yake ya Taifa (Taifa Stars) ilifungwa bao 1-0 na Nigeria (Super Eagles) ilikuwa katika nafasi ya 124 na jana...
16Sep 2016
Beatrice Shayo
Nipashe
Kukubalika kwa Rais Magufuli kumechangiwa na uondoaji wa wafanyakazi hewa, sera ya elimu bure na usimamishwaji wa watumishi wa umma kutokana na makosa mbalimbali. Hayo yalisemwa jana jijini Dar es...

Mwanasheria Mkuu wa Chadema, Tundu Lissu akiwa ameongozana na washtakiwa wa kesi ya kusambaza matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa 2015.

16Sep 2016
Hellen Mwango
Nipashe
Katika kesi hiyo, washtakiwa wanatuhumiwa kukusanya matokeo hayo na kuyachapisha kupitia mitandao ya kijamii, bila kuihusisha Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC). Washtakiwa hao, ni Mashinda Mtei (45...
16Sep 2016
Christina Mwakangale
Nipashe
Hiyo ni baada ya kutekwa juzi na kutarajiwa kuachiwa leo mchana baada ya juhudi za serikali na wasafirishaji. Madereva hao ni kati ya 12 waliotekwa juzi asubuhi ambao wanne kati yao ni Raia wa...
16Sep 2016
Faustine Feliciane
Nipashe
Akizungumza na gazeti hili jana, Hernandez, alisema kuwa kikosi chake kiko tayari kwa mchezo huo na ataonyesha usahihi wa maneno watakapokuwa uwanjani. "Kwa nini niwahofie, nina kikosi kizuri...
15Sep 2016
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Profesa Benno Ndulu amesema fedha zitarudi baada ya taasisi hiyo kuanza kupeleka fedha kwenye halmashauri na taasisi za umma. Prof. Ndulu aliyasema hayo...
15Sep 2016
Sanula Athanas
Nipashe
Huku Bunge likibainisha kuwa mpango huo unakabiliwa na changamoto kubwa ya ukosefu wa fedha zikiwamo Sh. milioni 900 zilizoidhinishwa katika mwaka uliopita wa fedha ambazo hazikutolewa hata senti...

Pages