NIPASHE

11Aug 2016
Hellen Mwango
Nipashe
Choma na mfanyabiashara maarufu wa jijini Arusha, Samuel Lema, wanakabiliwa na kesi ya kuhujumu uchumi ikiwamo kughushi, kuisababishia hasara Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ya zaidi ya Sh. bilioni...
11Aug 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Huo ni ugonjwa uliotikisa na kuondoa nafsi nyingi sana kwa kuzitanguliza mbele ya haki. Pamoja na kwamba pamesafishwa na Shirika la Afya Duniani (WHO) kuwa nchi hiyo iko salama, lakini bado...
11Aug 2016
Elizaberth Zaya
Nipashe
Kwa mujibu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, moja ya hatari inayoweza kusababisha maradhi hayo ni kuhifadhi chakula katika mazingira machafu. Hivyo, serikali...
11Aug 2016
Lilian Lugakingira
Nipashe
Kutokana na tatizo hilo kuathiri watoto katika maeneo mbalimbali duniani, mwaka 1992 yalianzishwa maadhimisho ya Wiki ya Unyonyeshaji wa Maziwa ya Mama Duniani, ambayo yalianzia nchini Italia, chini...
11Aug 2016
Mary Geofrey
Nipashe
Huo ni mradi unaotekekezwa chini ya chini ya usimamizi ya Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), wakati huo ilikuwa chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu. Mradi huo unaofadhiliwa...
11Aug 2016
Ashton Balaigwa
Nipashe
Kauli hiyo ilitolewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira, Vijana na Watu Wenye Ulemavu), Jenista Mhagama, wakati akizungumza na wakulima na wafugaji, mjini hapa. Alisema...
11Aug 2016
Ashton Balaigwa
Nipashe
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC), Clifford Tandari, alisema hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari hivi karibuni wilayani Mvomero, wakati wa ziara ya Waziri Mkuu...
11Aug 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Elimu hiyo imetolewa juzi na Mkurugenzi wa Bodi ya korosho nchini, Mfaume Juma, kwenye kilele cha maonyesho ya Nanenane, jijini hapa. Alisema walaji wa korosho hupata lishe bora pamoja na...

KIUNGO wa Simba, Jonas Mkude.

11Aug 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe
Akizungumza na gazeti hili juzi, Mkude alisema usajili mzuri pamoja na maandalizi waliyofanya chini ya kocha Joseph Omog ni vitu wanavyojivunia. Mkude aliwataka wanachama na mashabiki wa timu hiyo...

Hassan Kessy.

11Aug 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe
Akizungumza na gazeti hili jana, Mwenyekiti wa SPUTANZA, Mussa Kissoky alisema kuwa kikao hicho pia kitawahusisha Simba na lengo lake ni kumsaidia beki huyo aweze kuanza kuitumikia klabu yake mpya...

Katibu wa Chama cha Kuogelea Tanzania (TSA), Ramadhan Namkoveka.

11Aug 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Akizungumza jana jijini, Katibu wa Chama cha Kuogelea Tanzania (TSA), Ramadhan Namkoveka alisema fedha hizo zikipatikana zitasaidia kusafirisha waogeleaji 11 waliofikia viwango vya kuiwakilisha nchi...
11Aug 2016
Mhariri
Nipashe
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa MNH, Profesa Lawrence Museru, alisema upatikanaji wa dawa hospitalini hapo sasa ni wa uhakika kwa asilimia 95. Alisema mafanikio hayo yametokana na kuboreshwa kwa...
11Aug 2016
Beatrice Bandawe
Nipashe
Kwa mujibu wa takwimu za Kikosi cha Usalama Barabarani, idadi ya bodaboda pekee nchini imefikia milioni 1.6. Ongezeko hilo linakwenda sambamba na ongezeko la ajali, kama Chama cha Mabalozi wa...
11Aug 2016
Sabato Kasika
Nipashe
Hii ni moja ya kauli za Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Akasema kuwa, kutokusanya kodi ni sifa moja ya 'vi-serikali corrupt' popote pale na kwamba serikali ya wala rushwa...

Mwenyekiti wa Kamati ya Huduma na Maendeleo ya Jamii, Luhaga Mpina.

11Aug 2016
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Kutokana na changamoto hiyo, Bunge liliitaka TRA kuisimamia ipasavyo TFF na kuhakikisha shirikisho hilo na wanachama wake wanatumia mfumo wa elektroniki katika ukusanyaji viingilio vya mechi ili...

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa.

11Aug 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Waziri Mkuu amesema eneo hilo likiendelezwa, litakuwa kielelezo kikuu cha Ukanda Maalum wa Kiuchumi (SEZ) unaoambaa sambamba na reli ya Tazara. Amesema wizara hiyo inapaswa ishirikiane kwa karibu...
11Aug 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Hayo yalisemwa na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Valentino Mlowola, katika taarifa iliyotolewa kwa niaba yake na Ofisa Habari wa taasisi hiyo, Mussa Misalaba...

Maalim Seif Sharif Hamad.

11Aug 2016
Mwinyi Sadallah
Nipashe
Ofisa wa Kitengo cha Elimu kwa Umma cha ZAECA, Abubakari Mohamed Lunda, aliiambia Nipashe visiwani hapa jana kuwa Maalim Seif alihojiwa na Mkurugenzi wa ZAEC, Mussa Haji Ali, ili athibitishe tuhuma...

Rais Mstaafu, Ali Hassan Mwinyi, akizungumza jana jijini Dar es Salaam wakati wa uzinduzi wa kitabu cha ‘Tembo-Faru wana haki ya Kuishi Tanzania’. Kushoto ni Waziri wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe. PICHA: MPOKI BUKUKU

11Aug 2016
Romana Mallya
Nipashe
Akizungumza kwa niaba ya Rais John Magufuli jana jijini Dar es Salaam wakati wa uzinduzi wa kitabu cha ‘Tembo –Faru wana haki ya kuishi Tanzania’, Waziri wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne...

MUFTI Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeiry Ally.

11Aug 2016
Romana Mallya
Nipashe
Kwa mujibu wa taarifa yake, tume hiyo itafuatilia suala la misamaha ya kodi mbalimbali iliyoombwa na Baraza na taasisi zake nchi nzima. Aidha, taarifa hiyo imesema Mufti ameunda tume hiyo kwa...

Pages