NIPASHE

Rais John Magufuli akimkabidhi vitendea kazi Mwanasheria Mkuu wa Serikali, George Masaju, baada ya kuapishwa.

07May 2016
Fredy Azzah
Nipashe
Hali hiyo ilitokea juzi jioni wakati wa kupitisha hotuba ya bajeti ya Wizara ya Katiba na Sheria, ambapo Lissu alitaka taarifa juu ya Ripoti ya Tume ya Kijaji iliyochunguza majaji waliotuhumiwa...

Waliobwagwa ni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo na Makazi, Angelina Mabula aliyepata kura 84.

07May 2016
Beatrice Shayo
Nipashe
Uchaguzi huo ulifanyika juzi usiku katika ukumbi wa CCM mjini hapa, ambapo wajumbe waliwachagua Munde Tambwe alipata kura 163, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora, Angellah Kairuki...

Wafanyabiashara wadogo na wananchi wakiwa kwenye foleni kusubiri kununua sukari katika dukla la jumla la Gulamali lililoko majengo mjini Dodoma kutokana na kuhadimika kwa bidhaa hiyo. PICHA: IBRAHIM JOSEPH.

07May 2016
Mary Geofrey
Nipashe
Kutaifisha sukari na kuigawa bure kwa wananchi haitakuwa mara ya kwanza kwa Rais kufanya jambo kama hilo.....
Aidha, Rais Magufuli alisema sukari nyingi inayotoka nje ya nchi na kuuzwa kwa bei rahisi nchini, inakuwa imeisha muda wake. Pamekuwa na uhaba mkubwa wa sukari wa ghafla nchini kiasi cha kuonekana...

Mbunge wa Bunda, Ester Bulaya, akizungumza baada ya naibu spika kutowapa nafasi baadhi ya wabunge waliosimama kuomba muongozo bungeni Dodoma jana.PICHA: HALIMA KAMBI

07May 2016
Fredy Azzah
Nipashe
Mbunge wa Ulanga Mashariki, Goodluck Mlinga (CCM), alisema juzi kuwa ili wabunge wa viti maalum kutoka upinzani wapate nafasi hiyo, lazima waitwe baby; akimaanisha kuwa na mahusiano ya kimapenzi na...
07May 2016
Mhariri
Nipashe
Lakini pia kwenye kilele cha msimamo, hesabu za nani atakuwa bingwa msimu huu zimeshajulikana. Safari ya ligi hadi kufikia hatua iliyopo sasa msimu huu, imepita kwenye changamoto nyingi katika...

Rais wa Simba Evans Aveva na msemaji wa klabu ya Simba Haji Manara.

07May 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe
Kamati ya idara hiyo iliyokutana na Aprili 20 mwaka huu Zurich, Uswisi pia ilitumia Sh. milioni 1.5 kwa ajili ya gharama za kikao cha kufuatilia utekelezaji sakata la mchezaji huyo. Simba...

Coastal Union

07May 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
JKT Ruvu, ambayo Jumatano iliibana Azam FC ikitoka nyuma na kumaliza na sare ya mabao 2-2, leo itaikaribisha Ndanda FC kwenye Uwanja wa Mabatini Mlandizi, mkoani Pwani na endapo itashinda...
07May 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Nyumba inayopendeza kwa ujumla kunahusisha mkusanyiko wa rangi na vitu mbalimbali vilivyomo ndani yake. Miongoni mwa hayo yanayoongeza mvuto yamo mapambo matano madogo lakini yataleta mguso...

wakunga

07May 2016
Gaudensia Mngumi
Nipashe
Lakini ukosefu wa taarifa za jinsi ya kujiepusha na tatizo ama namna ya kulitibu, umesababisha mamia ya wanawake kuendelea kunyanyapaliwa na kudhalilishwa utu wao baada ya kuwa waathirika wa...

Rais wa zamani wa Marekani, George Bush, akiwa na Bush (baba yake) na kaka yake Jeb ambao wametangaza kumkataa Trump, kutinga White House.

07May 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
bado anakutana na vihunzi vya hapa na pale vinavyoonyesha bayana kwamba safari yake ya kwenda White House si nyepesi. Pamoja na kuwa ndiye pekee aliyebakia amesimama kwenye kinyang’anyiro...

kikosi cha yanga

07May 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe
***Wanajangwa wana kila sababu ya kutumia vizuri uwanja wa nyumbani kupata ushindi mnono dhidi ya timu hiyo ya Angola katika mechi kwanza – mtoano Kombe la Shikisho…
Yanga inawakaribisha wageni hao ikiwa na rekodi ya kushinda mechi tatu za kwanza za kimataifa (Cercle de Joachim ya Mauritius 3-0 nyumbani na 1-0 ugenini, halafu ikawafunga APR ya Rwanda ugenini...
06May 2016
Lulu George
Nipashe
“Baada ya polisi kupata taarifa juu ya mtu huyo kutoka kwa raia wema, walivamia nyumbani kwake na kukuta vitu mbalimbali ambavyo hutumika kwenye matukio ya ujambazi.”
Mtuhumiwa huyo ambaye ni mkazi wa wilaya ya Kilindi, anadaiwa kutengeneza silaha hizo na kisha kuzitumia katika matukio ya ujambazi.Akizungumzia mjini hapa kuhusiana na mtuhumiwa huyo, Kamanda wa...

mkurugenzi wa Idara ya Ajira Zanzibar, Ameir Ali Ameir.

06May 2016
Rahma Suleiman
Nipashe
Amesema mtazamo wa baadhi ya vijana katika kufanyakazi ni tatizo na baadhi yao wamejenga tabia ya uvivu.Alisema hayo wakati juzi akifungua mafunzo ya kuzijengea uwezo kamati za ajira za wilaya za...

Mkurungenzi wa AWF, John Salehe.

06May 2016
John Ngunge
Nipashe
Mkurungenzi wa AWF, John Salehe, alisema jijini hapa jana kuwa serikali imeirejesha taasisi hiyo Aprili 21, mwaka huu, katika daftari la usajili.AWF ilikuwa ni miongoni mwa asasi 110 ambazo usajili...

Waziri wa Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu, Jenista mhagama.

06May 2016
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Kuwapo kwa utaratibu huo, imesema kutasaidia kuondoa matatizo yanayojitokeza mara kwa mara kati ya mwajiri na mwajiriwa pindi mwajiriwa anapopata ugonjwa uliosababishwa na aina ya kazi aliyokuwa...
06May 2016
Margaret Malisa
Nipashe
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Boniventure Mushongi, alisema mtuhumiwa huyo pamoja na mwenzake Rajabu Juma (20), mkazi wa Makongo, Dar es Salaam, majira ya saa 10 jioni juzi, katika vichaka vya...
06May 2016
Joctan Ngelly
Nipashe
Kamanda wa polisi Mkoa wa Kigoma Ferdinand Mtui alisema tukio hilo Tukio hilo lilitokea juzi majira ya saa 12:30 asubuhi huko maeneo ya Katubuka katika Manispaa hiyo. Alisema Wiso alimwacha mume...
06May 2016
Hellen Mwango
Nipashe
Mahakama ya Kisutu iliondoa shtaka la utakatishaji fedha katika kesi ya Kitilya na wenzake wawili, wanaokabiliwa na tuhuma za kujipatia Dola za Marekani milioni sita (Sh. bilioni 1.3). Hatua...

Wauguzi na Wakunga wakiandamana katika eneo la Upanga Magharibi jijini Dar es Salaam jana, wakielekea viwanja vya Mnazi Mmoja, kuadhimisha Siku ya Wakunga Duniani. PICHA: JOHN BADI

06May 2016
Christina Mwakangale
Nipashe
Mwalimu alitoa onyo hilo jijini Dar es Salaam jana, wakati akizungumza katika Siku ya Wakunga Duniani ambayo huadhimishwa Mei 5 kila mwaka duniani kote. Alisema kumekuwa na matukio yasiyoendana na...

mwalimu wa shule ya sekondari darajani iliyopo marangu akiwa darasani akifundisha. picha: maktaba.

06May 2016
Gurian Adolf
Nipashe
Makamu mkuu wa shule hiyo, Flora Kipesha, jana alida kuwa, mwalimu huyo ambaye anafundisha darasa la saba shuleni hapo, Jacob Msengi, alipigwa darasani mbele ya wanafunzi wake akiwa anasahihisha...

Pages