NIPASHE

23Feb 2016
Lulu George
Nipashe
Vipimo hivyo vimeondoa matumizi ya vile vya siku nyingi vilivyokuwa vikijulikana kitaalam kama BS. Kwa kweli kuna tofauti kubwa sana katika utoaji majibu ya vipimo vyote hivyo, kwani MRDT inatoa...

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Amos Makalla.

23Feb 2016
Mary Mosha
Nipashe
Waliosimamishwa ni Arbogasti Zakaria, Jovin Joseph, wote wakiwa Maofisa Srdhi na Bartholomew Urassa na Richard Mpawa, ambao ni maofisa sanifu wa upimaji wa ardhi. Uamuzi wa kuwasimamisha kazi na...

Butogwa Shija akiwa na mama yake.

23Feb 2016
Romana Mallya
Nipashe
*Ameongoza siku zote, isipokuwa ‘siku moja’
Mara kwa mara hutuambia anasoma kwa nguvu zote, kwa sababu amepata taarifa kuwa, watoto wanaofanya vizuri wanapata udhamini," Angela Shija, mama mzazi wa mshindi wa jumla wa matokeo ya Mtihani wa...

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi.

23Feb 2016
Leonce Zimbandu
Nipashe
“Inawezekana mnunuzi alifuata taratibu, lakini aliyeuza eneo hilo hakufuta taratibu, hivyo serikali inaweza kutengua hati ya umiliki ili wananchi wapatiwe eneo lao.”
Wakizungumza mwishoni mwa wiki katika kikao kilicholenga kujadili suluhisho la mgogoro huo, wajumbe wa kamati ya maendeleo ya mtaa huo walisema mgogoro huo umedumu kwa miaka 12 licha ya juhudi...

Mwenyekiti wa chama cha Ukombozi wa Umma,Hashimu Rungwe.

23Feb 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kabutali alitoa wito huo mwishoni mwa wiki alipokuwa akizungumza na Nipashe mjini hapa namna ambavyo serikali ya awamu ya tano ilivyofanikiwa kuvunja rekodi ya makusanyo miezi ya hivi karibuni....

Lawrence Mwasikili (katikati).

23Feb 2016
Hellen Mwango
Nipashe
Mbali na Mwasikili, washtakiwa wengine ni Ofisa Utawala Modester Fumbuka na Ofisa Ugavi Mwandamizi, Radegunda Massawe, ambao walisomewa mashitaka yao mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Respicius Mwijage...

Wakili wa Mahakama Kuu Zanzibar, Awadhi Ali Said.

23Feb 2016
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Amesema wagombea hao hawajavunja sheria kwa kutowasilisha majina ya wadhamini wao Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), pamoja na tamko la kiapo cha mahakama cha kujitoa kama alivyoeleza mwenyekiti wa...

Timu ya Azam

22Feb 2016
Sanula Athanas
Nipashe
Kabla ya mechi yao ya jana, timu hizo zilikuwa zimeshakutana mara tisa katika mechi za VPL, Wanalambalamba wakishinda mara saba na kutoka sare mara mbili.
Mechi tatu kati ya tano zilizochezwa juzi zilikuwa na matokeo ya 1-1, Stand United ikipata matokeo hayo dhidi ya JKT Ruvu mjini Shinyanga sawa na mechi za Toto Africans dhidi ya Kagera Sugar na...

Beki wa Azam FC, David Mwantika (kulia) akijibizana na kiungo wa Mbeya City FC, Haruna MoshI 'Boban' (wa kwanza kushoto).

22Feb 2016
Sanula Athanas
Nipashe
*** Timu hiyo imeshinda mara nne katika mechi zote sita ilizochezwa dhidi ya Mbeya City FC Ligi Kuu huku wapinzani wao hao wakilazimisha sare mara mbili.
Mabao ya Kipre Tchetche katika dakika ya 41, John Bocco (dk 63) na winga mtokea benchi Farid Mussa (dk 84) yaliwapa mabingwa hao wa Tanzania Bara 2013/14, ushindi huo mnono dhidi ya Mbeya City juzi...
22Feb 2016
Adam Fungamwango
Nipashe
Mechi hiyo ilikuwa ikichezwa muda mmoja na mechi ya Mgambo Shooting dhidi ya Prisons kwenye Uwanja wa Mkwakwani Tanga, Stand United dhidi ya JKT Ruvu Uwanja wa Kambarage mjini Shinyanga, Sokoine...

Aliyekuwa Mbunge wa jimbo Kigoma, David Kafulila.

22Feb 2016
Thobias Mwanakatwe
Nipashe
Katika kesi hiyo Na. 2 ya mwaka 2015, iliyofunguliwa Novemba, mwaka jana, itaanza kusikilizwa mfululizo. Katika kesi hiyo, Kafulila atawakilishwa na Wakili Profesa AbdallaH Safari pamoja na Tundu...

Mashibiki wa Simba na Yanga

22Feb 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe
Taarifa zilizopatikana jana jijini zinaeleza kuwa wenyeji wa mchezo huo, Yanga wametia mfukoni Sh. milioni 139, wakati wageni Simba wamelamba Sh. milioni 99. "Mechi imeingiza Sh. milioni 490....

Mbunge wa Jimbo la Ubungo Said Kubenea.

22Feb 2016
Elizaberth Zaya
Nipashe
Barabara hiyo ambayo imejengwa kwa gharama ya Sh. milioni 4.5, kiasi kingine cha fedha cha kutengeneza barabara hiyo zimetokana na mchango wa wananchi, serikali ya mtaa huo pamoja na baadhi ya...

Bondia Kalama Nyilawila (kushoto) akionyeshana umwamba na Francis Cheka.

22Feb 2016
Nipashe
Bondia Francis Cheka amepania kufundisha mabondia chipukizi, ambao anamini watakuja kuziba pengo lake pale atakapoamua kustaafu kucheza mchezo wa ngumi za kulipwa. Cheka anasema amepania...
22Feb 2016
Mhariri
Nipashe
Ipo sababu ya kufanya hivyo kutokana na kile kinachoonekana kuwa mwendelezo wa kauli za kufurahisha na zisizo na taji kwa ustawi wa soka. Kuna tatizo kubwa kwa viongozi wetu waliopewa dhamana ya...
22Feb 2016
Adam Fungamwango
Nipashe
Wimbo huo unaonekana kuelezea jinsi Simba ilivyokuwa inaongoza Ligi Kuu kwa wiki nzima kutoka mikononi mwa Yanga, lakini kwa ushindi huo ikarejea tena kileleni kwa pointi 46 na kuiacha Simba na...

Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani (Necta), Dk. Charles Msonde

22Feb 2016
Fredy Azzah
Nipashe
Kwenye mitihani ya taifa iliyopita, baadhi ya wanafunzi walikuwa wakiandika mashairi ya nyimbo za muziki wa kizazi kipya kwenye karatasi za majibu na wengine kuchora vitu mbalimbali ikiwa pamoja na...
22Feb 2016
Sanula Athanas
Nipashe
DONDOO MUHIMU: Hata kupanda daraja kwa Ruvu Shooting ni ukiukwaji wa kanuni za ligi za TFF toleo la 2015 kwa kuwa timu hiyo inamilikiwa na taasisi (JKT) ambayo tayari ina timu nyingine mbili Ligi Kuu (Mgambo JKT na JKT Ruvu).
Siku 12 baadaye, Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) lilipitisha kanuni mpya za ligi toleo la 2015 likiongeza adhabu ya faini isiyopungua Sh. milioni 10 kwa wapangaji matokeo. Hata hivyo, tangu...

Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Dk. Ibrahim Msengi.

22Feb 2016
Christina Mwakangale
Nipashe
Hivi karibuni, Rais John Magufuli, alitoa wito kwa wakuu wa mikoa na wilaya kujihakikishia chakula cha kutosha katika maeneo yao kwa kuzitumia mvua zinazonyesha, kwani kinyume chake watawajibika....

Bandari ya Tanga

22Feb 2016
Lulu George
Nipashe
Kwa kawaida, bandari hiyo uwezo wa kuhudumia jumla ya tani 700,000 kwa mwaka. Kaimu Meneja wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) mkoani Tanga, Kapteni Andrew Matillya, alisema kwa...

Pages