NIPASHE

Rais John Magufuli akisalimiana wananchi waliofurika kwenye Uwanja wa Jamhuri wakati akiingia kuongoza sherehe za maadhimisho ya miaka 53 ya muungano wa Tanzania, zilizofanyika kitaifa mjini Dodoma jana. PICHA: PETER MKWAVILA

27Apr 2017
Augusta Njoji
Nipashe
Akizungumza jana wakati wa maadhimisho ya miaka 53 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar katika Uwanja wa Jamhuri mjini hapa, alisema hatua za kuhamia Dodoma zimeshaanza na kwamba viongozi wakuu wa...

Meja Jenerali Projest Rwegasira

26Apr 2017
Frank Monyo
Nipashe
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira, alisema wafungwa ambao watanufaika na msahama huo ni wale wenye magonjwa kama...

Waziri wa Maji, Greyson Lwenge

26Apr 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Wakizungumza kwa nyakati tofauti katika maeneo ya Jiji hilo, walisema licha ya kukosekana kwa maji kwa muda mrefu lakini maji yanapotoka kwenye mabomba yanakuwa machafu na kuhatarisha afya za...

Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri (TEF), Theophil Makunga, akizungumza na waandishi

26Apr 2017
Frank Monyo
Nipashe
Kwa mujibu wa tamko la jukwaa hilo ambalo limesainiwa na Mwenyekiti wa jukwaa hilo, Theophil Makunga, limesema shambulio hilo ni kinyume cha sheria ya nchi na pia ni shambulio dhidi ya uhuru wa...
26Apr 2017
Frank Monyo
Nipashe
Meneja wa Masoko wa Kampuni ya GS1, Oscar Ruhasha, akizungumza katika mahojiano na NIPASHE Digital, alisema kufanya hivyo kutafanya bidhaa zinazozalishwa Tanzania kutambulika katika soko la kimataifa...

Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru, Valentino Mlowola

26Apr 2017
Nathan Mtega
Nipashe
Akitoa taarifa ya utendaji kazi wa taasisi hiyo kwa kipindi cha kuanzia Julai 2016 mpaka hadi Machi 2017, Mkuu wa Takukuru mkoani hapa, Yustina Chagaka amesema fedha hizo ziliokolewa kutoka katika...

Dk. John Magufuli

26Apr 2017
Thobias Mwanakatwe
Nipashe
Ametoa onyo hilo leo wakati akizungumza na mamia ya wananchi katika uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma kwenye maadhimisho ya miaka 53 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Dk. Magufuli amesema kwa...
26Apr 2017
Godfrey Mushi
Nipashe
Madai hayo yalitolewa jana na wakulima wa Kijiji cha Ngaronyi, Kata ya Levishi, wakati Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Said Mecki Sadiki, alipokwenda kuwatembelea na kusikiliza changamoto zinazowakabili...

WAZIRI wa Nchi ofisi ya Rais, Tamisemi, George Simbachawene.

26Apr 2017
Daniel Mkate
Nipashe
Akizungumza wakati wa uzinduzi wa tawi la benki ya DCB mjini hapa juzi, Simbachawene alisema iwapo benki hizo zitaamua kuwatengenezea vibanda maalumu vyenye namba na kuwaepusha kuweka bidhaa zao...
26Apr 2017
Sabato Kasika
Nipashe
CUF imejikuta katika mgogoro huo baada ya Profesa Ibrahim Lipumba kuamua kurudi kwenye nafasi yake ya Mwenyekiti wa Chama Taifa, nafasi ambayo aliiacha kwa hiari yake mwenyewe mwaka 2015. Uamuzi...
26Apr 2017
Mhariri
Nipashe
Ingawa ofisi hiyo haijathibitisha rasmi kuhusiana na kuwapo kwa jitihada hizo za kuketi pamoja na pande zinazohasimiana katika mgogoro huo, lakini sisi tunaona kwamba kama ni kweli, basi ni hatua...
26Apr 2017
Yasmine Protace
Nipashe
Hayo yalisemwa juzi na mtafiti kutoka Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Naliendele, mkoani Mtwara, Shamte Shomari, alipokuwa akiwapatia mafunzo ya siku tatu wakulima wa korosho wa halmashauri za mkoa huo...
26Apr 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Watu hao wanaofika hospitalini hapo kila siku, walikuwa wakikosa eneo la kuwasubiri ndugu zao wakati wakipatiwa matibabu hali ambayo ilikuwa ikiwapa usumbufu. Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI, Profesa...
26Apr 2017
Augusta Njoji
Nipashe
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Yusuf Masauni, alipokuwa akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalum (Chadema), Sabreena Sungura. Mbunge huyo alitaka kujua serikali ina mkakati gani wa...

Naibu Waziri wa wizara hiyo, Dk. Ashatu Kijaji.

26Apr 2017
Augusta Njoji
Nipashe
Naibu Waziri wa wizara hiyo, Dk. Ashatu Kijaji, alisema hayo jana alipokuwa akijibu swali la Mbunge wa Kiwale (CUF), Zuberi Kuchauka. Kuchauka alitaka kujua ni kiasi gani cha fedha zilizopatikana...
26Apr 2017
Augusta Njoji
Nipashe
Kauli hiyo ilitolewa jana na Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage, alipokuwa akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalum (Chadema), Gimbi Masaba. Masaba alitaka kujua serikali ina...

mitambo ya gesi.

26Apr 2017
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Mvutano wa wabunge hao ulitokea juzi jioni wakati Bunge likipitisha makadirio ya mapato na matumizi ya Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) kwa mwaka wa fedha 2017/18. Hoja hiyo...

kipimo cha MRDT.

26Apr 2017
Daniel Mkate
Nipashe
Imesema kwamba kutokana na malalamiko kuwa wapo wanaowatoza fedha wagonjwa wanaokwenda kupina kipimo hicho wakati ni bure, hivyo itawachukuliwa hatua kali. Akizungumza na waandishi wa habari...
26Apr 2017
Cynthia Mwilolezi
Nipashe
Kesi hiyo ilikuwa ikimkabili aliyekuwa Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mpinduzi (UVCCM) mkoa wa Arusha, Lengai ole Sabaya. Akitoa ombi hilo mahakamani hapo mbele ya Hakimu Mkazi Gwantwa...

Tundu Lissu.

26Apr 2017
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Ni baada ya kuzuiwa hoja za Katiba na Sheria za upinzani bungeni...
Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), George Masaju na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana na Walemavu, Jenista Mhagama, jana walitumia muda mwigi kupinga vipengele vya maoni...

Pages