NIPASHE

Mwenyekiti wa Taifa wa Tanzania Labour Party (TLP), na Mwenyekiti wa Bodi ya Parole Tanzania, Augustino Mrema akizungumza na madereva wa bodaboda.

02Aug 2016
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Mrema aliyasema hayo jana alipokutana na Chama cha waendesha bodaboda na bajaji wa wilaya ya Kinondoni ambapo walimweleza kuwa, moja ya kero inayowakabili ni kuombwa rushwa na polisi. Baada ya...

Rais mstaafu Mzee Ali Hassan Mwinyi (kulia), akipata maelezo kutoka kwa Mtaalam wa Usingizi, Frank Chigollo (kushoto) alipotembelea chumba cha upasuaji baada ya kuzindua Hospitali mpya ya JPM.

02Aug 2016
Beatrice Shayo
Nipashe
Mwinyi aliyasema hayo alipokuwa akizundua jengo la hospitali ya JPM iliyopo eneo la Magomeni Kagera jijini Dar es Salaam jana. Alisema kuwapo kwa wataalam hao kutasaidia kwa kiwango kikubwa...
02Aug 2016
Sanula Athanas
Nipashe
Imeng’ata vyama vyote baada ya Msemaji wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Christopher Ole-Sendeka, kufanya mkutano aliouita harambee wilayani Longido, mkoani Arusha, huku akiliambia gazeti hili kwamba...

kikosi cha Bayern.

01Aug 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
***Ni baada ya kuzichapa Inter Milan na Leicester City...
Mabingwa hao wa Hispania waliteremsha kikosi kikali cha kwanza kikiwa na washambulia wa daraja la kwanza - Lionel Messi na Luis Suarez. Katika mchezo mwingine, Real Madrid walitawala kipindi cha...
01Aug 2016
Ashton Balaigwa
Nipashe
Watuhumiwa hao wanadaiwa kuitumia bunduki hiyo kwenye tukio la unyang’anyi lililotokea Ruaha Tarafa ya Mikumi Wilaya ya Kilosa. Watuhumiwa hao waliokamatwa Julai 27, mwaka huu ni Francis Herman (...

vibarua wa kiwanda caha mabati wakiingia kazini. picha na mtandao

01Aug 2016
Grace Mwakalinga
Nipashe
Akizungumza na gazeti hili juzi, Mratibu wa Shirika lisilo la kiserikali la ELIMISHA, linalojihusisha masuala ya elimu ya siasa, haki na uongozi kwa wanawake, Deborah Mwanyanje ambaye alifanya usafi...
01Aug 2016
Mary Geofrey
Nipashe
Kazi hiyo iliyoanza Mei Mosi, mwaka huu, itakamilika Agosti 15, mwaka huu, lengo likiwa ni kuhakikisha vifaa vyote vinavyonunuliwa na shirika hilo kuona kama viko salama, vinatumika kikamilifu na...
01Aug 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mkuu huyo pia ameagiza watendaji wa vijiji vyote vinavyounganishwa na eneo la bonde oevu la Lushoto, Mlalo hadi Soni kupiga marufuku ujenzi kwa kuwa ni hatari kwa binadamu na maisha ya viumbe hai...

Mkurugenzi Mkuu wa Tanapa Allan Kijazi.

01Aug 2016
Godfrey Mushi
Nipashe
Mkurugenzi Mkuu wa Tanapa Allan Kijazi, alisema kuanzia sasa ni lazima wananchi wanaoizunguka hifadhi hiyo wanufaike na sekta ya utalii, kwa kuwa mamlaka imetenga bajeti ya kusaidia uwezeshwaji wa...

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma, Zuberi Mombeji.

01Aug 2016
Nathan Mtega
Nipashe
Akizungumza na Nipashe kwa njia ya simu jana, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma, Zuberi Mombeji, alisema ajali hiyo ilihusisha gari aina ya Mitsubishi Rosa mali ya Mohamed Makeo mkazi wa Songea,...
01Aug 2016
Hellen Mwango
Nipashe
Kati ya waliohukumiwa adhabu hiyo, pia yumo muasi wa Jeshi la Burundi, Richard Lucas Muhanza. Mbali na mwasisi huyo, washtakiwa wengine waliohukumiwa kifungo hicho ni Yusuf Mlete, Isaack Swai na...

Happiness John.

01Aug 2016
Christina Mwakangale
Nipashe
Akizungumza na Nipashe wodini kwenye taasisi ya JKCI, Happiness pia alisema anajutia kukosa masomo ingawa ana furaha kuwa anaendelea vizuri kiafya kiasi cha kucheza tofauti na ilivyokuwa awali. “...

Edward Lowassa.

01Aug 2016
Augusta Njoji
Nipashe
Lowassa aliyekuwa akijipa matumaini makubwa ya kuibuka mshindi, jina lake lilikatwa nje ya vikao rasmi vya chama hicho wakati wa hekaheka za Uchaguzi Mkuu wa mwaka jana. Lowassa ambaye alihama CCM...

Kassim Majaliwa.

01Aug 2016
Ashton Balaigwa
Nipashe
Kanda ya Mashariki inaundwa na mikoa ya Dar es Salaam, Morogoro, Pwani na Tanga na maonyesho hayo yamekuwa yakifanyika kila mwaka katika viwanja hivyo huku wakulima na wafugaji wakijifunza mbinu...
01Aug 2016
Mhariri
Nipashe
Jana katika mkutano mkuu wa klabu hiyo uliofanyika Dar es Salaam, asilimia kubwa ya wanachama wa klabu hiyo waliridhia hitaji la awali la kufanya mabadiliko ili klabu hiyo iingie katika mfumo wa...
01Aug 2016
Adam Fungamwango
Nipashe
Mechi hiyo inayotarajiwa kucheza Septemba 2 jijini Lagos. Ni mechi ya kukamilisha ratiba tu kwa sababu tayari timu ya taifa ya Misri imeshafuzu. Kilichotakiwa kufanyika hapo, ni kuwachukua...

Freeman Mbowe.

01Aug 2016
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Mwenyekiti wake, Freeman Mbowe, jana alihojiwa na polisi kwa takriban dakika 205 jijini Dar es Salaam. Mbowe alitoa tamko la Kamati Kuu ya chama hicho iliyokutana jijini Dar es Salaam Julai 27,...

Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Mbunge wa zamani wa Kahama James Lembeli mara baada ya kuwasalimia wananchi.

01Aug 2016
Neema Sawaka
Nipashe
Aidha, Rais wa tano Magufuli amesema kama wapo wanacnhi watakaomchukia kwa kutotekeleza ahadi hiyo, acha wamchukie. Machi 12 mwaka jana, ikiwa ni siku chache tangu mvua ya mawe kunyesha na kuacha...
30Jul 2016
Happy Severine
Nipashe
Ni kwamba hadi kufikia sasa, maeneo mengi ya barabara zilizomo kwenye mradi huo, zenye urefu wa jumla wa kilomita zaidi ya nne, yametifuliwa kwa ajili ya ujenzi wake na kuibua manung’uniko kutoka kwa...
30Jul 2016
Christina Mwakangale
Nipashe
Sambamba na kusisitiza hilo, imesema inamshangaa Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi, kwa kuunga mkono kauli ya Rais John Magufuli kwamba hakuna mikutano ya kisiasa kwa kuwa...

Pages