NIPASHE

IGP Ernest Mangu akimshukuru Rais John Magufuli kwa kufungua kikao cha kazi.

30Apr 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
"OYSTERBAY (jijini Dar es Salaam) pale ni eneo ambalo ni very prime (lenye thamani kubwa), kila mmoja anajua, mmeingia kwenye mikataba mnayoijua nyinyi, akapewa mtu anayewajengea pale, sifahamu kama majengo hayo yanafaa"...
Mkataba kati ya Polisi na kampuni ya Lugumi umezua mjadala mkali nchini kiasi cha Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), kuunda kamati ndogo kufanya uchunguzi kama ulitekeleza kama ilivyokuwa...

Injinia Felchesmi Mramba.

30Apr 2016
Hellen Mwango
Nipashe
Amesema atafikisha taarifa hizo kwa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) na akithibitika atashughulikiwa ikiwamo kufukuzwa kazi na kushtakiwa. Aidha, alisema wananchi kupata huduma...
29Apr 2016
Lulu George
Nipashe
Takwimu zinaonyesha mwaka 2013 hadi 2015, Kijiji cha Kipumbwi kimeonekana kuwa na kasa wengi waliokufa na kuchinjwa na wastani wa kasa 22 walirekodiwa kufa, 16 walichinjwa ambapo asilimia 98 ya kasa...

mama akiwa anaponda kokoto: picha na maktaba.

29Apr 2016
Safari Chuwa
Nipashe
Ombi la wachimbaji hao linatokana na kuwapo kwa ulanguzi. kwa wachimbaji wadogo wadogo unaochangiwa kwa kukosa mitaji ya kuendesha shughuli zao na kila siku na kujikuta wakiwanufaisha watu wengine...

mbunge wa Jimbo la Vunjo (NCCR-Mageuzi), James Mbatia.

29Apr 2016
Godfrey Mushi
Nipashe
Jana, Mbatia alitembelea na kuzipa pole kaya 254 za waathirika wa mafuriko hayo, waliowekwa kwenye kambi ya Kanisa la Soko, Usharika wa Mwangaria, Dayosisi ya Kaskazini ya Kanisa la Kiinjilim la...

Kamanda Butusyo Mwambelo akionyesha silaha aina ya SMG iliyotumika na majambazi hao.

29Apr 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Wakati watu hao wakiuawa wengine wawili wanatafutwa baada ya kutoroka kwenye tukio hilo pamoja na wengine watatu jijini mwanza baada ya kuvamia dula la M-Pesa na kumuua mmiliki wake. Kaimu Kamanda...

aliyekuwa Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Ludovick Utouh.

29Apr 2016
Christina Mwakangale
Nipashe
Hata hivyo, ametilia shaka utekelezaji wa mapendekezoya ripoti za CAG na akisema ni mdogo, kwani ripoti zinapotolewa zimekuwa zikiibua masuala makubwa na upotevu wa fedha nyingi, lakini hakuna...

Makamu Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania(TEF), Deodatus Balile.

29Apr 2016
Elizaberth Zaya
Nipashe
Wamesema watatoa tamko hilo kwa kutumika jukwaa la maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari, itakayoadhimishwa Mei 3, mwaka huu. Wamesema pia wataitumia siku hiyo kujadili mambo...
29Apr 2016
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Akizungumza na Nipashe, Mtendaji Mkuu wa Dart, Ronald Lwakatare, alisema mabasi yaliyopata ajali, mengi yamekwanguliwa na bodaboda na mengine kugongwa. Alisema Dart imekuwa ikitoa elimu ya...

Mwenyekiti wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania, Dk. Reginald Mengi akizungumza wakati wa Kongamano la Siku mbili la Wafanyabiashara wa Tanzania na Urusi lililofanyika jijini Dar es Salaam jana. picha: John Badi.

29Apr 2016
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Kadhalika, imewaondoa hofu wawekezaji kutoka nchi hiyo kwa kueleza kuwa Tanzania hakuna mfumo wa utaifishaji wa viwanda na mashirika. Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi,...

Taasisi ya Twaweza.

29Apr 2016
Mary Geofrey
Nipashe
Akiwasilisha ripoti hiyo mbele ya wadau na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Meneja wa Mradi wa Sauti za Watu, Melenia Omengo, alisema utafiti huo waliufanya kati ya Februari 10 hadi 25...

Zitto Kabwe.

29Apr 2016
Fredy Azzah
Nipashe
Alisema kamati hiyo ikiundwa na kufanya uchunguzi wake na kubainika kuwa suala hilo liligubikwa na rushwa, serikali itaokoka kulipa deni la Sh trilioni mbili, ambazo Tanzania inatakiwa kulipa ikiwa...

Daktari wa timu ya Mgambo Shooting wakimtibu kipa wa timu hiyo, Said Hamis kwa kutumia bararu.

29Apr 2016
Adam Fungamwango
Nipashe
Akizungumza mara baada ya mechi kati ya timu yake dhidi ya Yanga, kocha huyo alisema kuwa wachezaji wa timu yake hawako vizuri kimwili na kiakili kutokana na huduma duni wanazozipata. Alisema kwa...

Mchungaji Peter Msigwa, akichangia Bungeni jana mjini Dodoma.

29Apr 2016
Augusta Njoji
Nipashe
...Msigwa atishia kufichua Mawaziri wanaomponda Magufuli kwenye chai, ...Naibu Spika amtaka 'Bwege' aache ubwege
Wakati Msigwa akitoa tishio hilo, Naibu Spika Dk. Tulia Ackson alilazimika kuzima 'fujo' za Mbunge wa Kilwa Kusini kwa tiketi ya CUF, Seleman Bungara (Bwege), kwa kutamka acha "ubwege" wake....

waziri Mkuu, Kassim Majaliwa.

29Apr 2016
Sanula Athanas
Nipashe
Waziri Mkuu alisema hayo bungeni mjini hapa jana wakati alipokuwa akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalum (Chadema), Kunti Majala. Mbunge huyo alitaka kujua sababu za serikali kupitisha mikataba...

Josephine Matiro.

29Apr 2016
Marco Maduhu
Nipashe
Matiro alisema ongezeko la mimba na ndoa za utotoni mkoani Shinyanga, limekuwa likichangiwa na mila potofu kwa kuwapeleka watoto wadogo hasa wa kike kwa waganga hao ili wapendwe na wanaume licha ya...

Soko la Samaki Mwaloni.

29Apr 2016
Daniel Mkate
Nipashe
Imekuwa mazoea kwa watu wanaotoka nje ya mkoa wa Mwanza, hususan watokao jijini Dar es Salaam wana mazoea ya kuwasifu wakazi wake kwa kula samaki ‘fresh’ na hasa wa aina ya Sato na Sangara. Pamoja...

wakazi wa kwamtogele wakipita kwa tabu kutokana na kujaa kwa maji katika barabara hiyo.

29Apr 2016
Mary Geofrey
Nipashe
Katika maeneo mbalimbali ya jiji, jana barabara zilijaa maji na kusababisha msongamano mkubwa wa magari na baadhi ya mitaa kutopitika. Mvua hizo ambazo zilianza kunyesha majira ya saa tatu asubuhi...

Alieykuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji (TIC), Julieth Kairuki.

29Apr 2016
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Hatua hiyo imechukuliwa na kutangazwa siku chache baada ya Rais Magufuli kutengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Dk. Ally Simba. Kwa mujibu wa taarifa...
29Apr 2016
Lulu George
Nipashe
Fursa hii, ni njia mbadala ya kuwawezesha wakazi wa mkoa huo kubadili mifumo ya maisha yao katika suala zima la kukabiliana na umaskini. Mradi huu ni mmoja kati ya miradi mbalimbali mikubwa ukiwa...

Pages