NIPASHE

08Sep 2016
John Ngunge
Nipashe
Alisema posho hiyo ilipitishwa na Baraza la Madiwani, lakini haikupata kibali cha Tamisemi, hivyo ilikuwa ikitolewa kinyume cha sheria na kanuni. Akizungumzia uamuzi huo mbele ya kikao cha Baraza...
08Sep 2016
Ashton Balaigwa
Nipashe
Fedha hizo zilizokusanywa kutokana na ushuru wa mkaa zimesaidia kupunguza changamoto mbalimbali za miundombinu iliyokuwa ikiwakabili. Makamu mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa, Hassan...
08Sep 2016
Nebart Msokwa
Nipashe
Alitoa agizo hilo juzi wakati wa mkutano alioufanya pamoja na madereva hao baada ya kubaini kuwa vyama vilivyopo vinasababisha kutokea kwa mivutano isiyokuwa ya msingi. Aliwataka waendesha bajaji...

KOCHA Mkuu wa Mbeya City, Kinnah Phiri.

08Sep 2016
Faustine Feliciane
Nipashe
Phiri amesema kuwa atautumia mchezo huo wa Jumamosi kisasi baada ya kufungwa msimu uliopita mabao 3-0 kwenye Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya. Kocha huyo alisema kuwa wanataka kuutumia vizuri uwanja...

TIMU ya soka ya Wanawake ya Tanzania Bara (Kilimanjaro Queens).

08Sep 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe
Kilimanjaro Queens na Burundi zinatarajia kutumia mchezo huo kwa ajili ya kujiandaa na mashindano ya Kombe la Chalenji kwa wanawake yanayotarajiwa kufanyika kuanzia Septemba 11 hadi 20 mwaka huu...

TIMU ya Bunge FC.

08Sep 2016
Augusta Njoji
Nipashe
Mechi hiyo imeandaliwa maalum kwa ajili ya kuhamasisha masuala ya amani. Akizungumza jana mkoani hapa, Mwenyekiti wa timu ya Bunge, William Ngeleja, alisema kuwa maandalizi ya mchezo huo...
08Sep 2016
Mhariri
Nipashe
Agizo hilo lilitolewa juzi na Rais John Magufuli, na kumweleza Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Nehemia Mchechu, asimuogope mtu yeyote katika kutekeleza agizo hilo na kwamba kila anayedaiwa ni lazima alipe na...
08Sep 2016
Christina Mwakangale
Nipashe
Miongoni mwa miji mikubwa nchini Tanzania, inayokua kwa kasi ni Mwanza, Arusha, Mbeya na Dar es Salaam Katika miji hiyo, usafiri unaotegemewa na wengi ni wa mabasi ya umma, ambao kwa Dar es Salaam...

Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan.

08Sep 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Habari za kuaminika kutoka ndani ya Jeshi la Polisi ziliiambia Nipashe jana kuwa kazi ya kumsaka mtu aliyeanzisha uzushi huo ilianza mara moja baada ya taarifa hizo kuanza kusambaa juzi. Mtoa...

Beki wa Simba, Mohamed Hussein, akiwania mpira na beki wa Ruvu Shooting, Damas Makwaya, wakati wa mechi ya Ligi Kuu Bara kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam jana. Simba ilishinda 2-1. PICHA: MICHAEL MATEMANGA

08Sep 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Wakati Yanga ikitoka suluhu dhidi ya Ndanda FC kwenye Uwanja wa Nangwanda Sijaona, Mtwara. Kutokana na ushindi huo, Simba imefikisha pointi saba sawa na Azam FC ambayo jana ilipata ushindi wa bao...

Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana.

07Sep 2016
Romana Mallya
Nipashe
Zitto alisema ACT iligundua hilo baada ya kupitia taarifa za Benki Kuu (BoT) na kuona ukuaji wa pato la taifa umepungua kwa asilimia nne katika robo ya kwanza ya mwaka huu. Alisema kupungua huko...

madaktari wakiwa kazini.

07Sep 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Dk. Shein amesema vijana wengi hawazipendelei fani hizo ingawa ni muhimu na zinahitajika mno katika kuimarisha huduma za afya nchini. Alitoa agizo hilo alipokuwa akizungumza katika kikao cha...

Waziri George Simbachawene.

07Sep 2016
Sanula Athanas
Nipashe
Mara baada ya kumalizika kwa kipindi cha maswali na majibu bungeni mjini hapa jana, wabunge wanne wa upinzani walisimama kuomba mwongozo kwa kiti. Kati ya wabunge hao wanne, watatu walihoji...

mke wa marehemu Bilionea Erasto Msuya.

07Sep 2016
Hellen Mwango
Nipashe
Madai hayo yalitolewa jana mbele Hakimu Mkazi Mwandamizi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Margareth Benkika, walipounganishwa na kusomewa hati mpya ya mashtaka ya mauaji ya Aneth. Wakili wa...

Dk. Charles Msonde.

07Sep 2016
Christina Mwakangale
Nipashe
Idadi hiyo ni ongezeko la asilimia 2.6 ikilinganishwa na idadi ya mwaka jana iliyokuwa na 775,729. Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA), Dk. Charles Msonde, aliyasema hayo...

Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan.

07Sep 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Ofisi ya kiongozi huyo wa pili kwa ukubwa wa madaraka nchini ilikanusha taarifa hizo, hata hivyo. Taarifa iliyotolewa na Ofisi ya Makamu wa Rais jijini Dar es Salaam jana ilisema taarifa...

Rais john magufuli akimpa maelekezo Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Nehemia Mchechu, katika mkutano na wakazi wa magomeni jana.

07Sep 2016
Richard Makore
Nipashe
Akizungumza katika mkutano katika ziara yake ya Manispaa ya Kinondoni kwenye eneo la Magomeni jana, Rais Magufuli alimtaka Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Nehemia Mchechu, asimuogope mtu yeyote katika...

Rais wa Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akitoa Hotuba ya ufunguzi wa Kongamano la 3 la siku mbili la Watanzania wanaoishi.

07Sep 2016
Theodatus Muchunguzi
Nipashe
Mengi yalijadiliwa, lakini makubwa ni kuiomba serikali kuandaa utaratibu wa kuwawezesha kupitisha sheria itakayowaruhusu kupiga kura katika uchaguzi mkuu wakiwa nje ya nchi. Walisema wamekuwa...
07Sep 2016
Rahma Suleiman
Nipashe
Wapo waliokuwa wakilaani na kupongeza hotuba yake aliyoitoa Pemba, katika viwanja vya Gombani ya Kale na ile ya Unguja, aliyoitoa katika viwanja vya demokrasi Kibanda Maiti mjini Zanzibar. Baadhi...

Mbunge wa Kibaha Mjini, Silvestry Koka (kushoto aliyebeba dawati). PICHA MTANDAO

07Sep 2016
Margaret Malisa
Nipashe
Jimbo hilo lipo umbali wa kilometa 40 kutoka Jiji la Dar es Salaam, pia lipo kando ya barabara kuu ya Dar es Salam-Morogoro. Jimbo la Kibaha limepakana na wilaya ya Kisarawe kwa upande wa Kusini,...

Pages