NIPASHE

25Jun 2019
Barnabas Maro
Nipashe
Wahenga wametuachia methali nyingi za kutuzindua na kutuelimisha. Kwa mfano, “Asiyeangalia huishia ningalijua.” Mtu asiyeangalia aendako huishia kusema ‘laiti ningalijua’baada...
25Jun 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kwamba umezuka mtindo wa watu kuchukua hatua ya kumwadhibu au kumshambulia mtu ama jamii kuchukua hatua juu ya jambo fulani bila kufuata sheria, kanuni na taratibu zilizowekwa.Tanzania ikiwa ni...
25Jun 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Wanasayansi wanasema pesa hususani zile za thamani ndogo, zinasababisha magonjwa mengi ya kuhara miongoni mwa watu wanaotumia chakula kinachoandaliwa kwenye maeneo ya hoteli, migahawa na vilabu....
25Jun 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Utafiti uliofanywa nchini Marekani kwa watu 1,700 umebaini kwamba kujitapisha, matumizi ya dawa za kupunguza mwili na kufunga kula ni njia zinazotumika kwa wingi.Apps za kutafuta wenza zimekuwa...

Wasichana wa Sekondari ya Kinambeu katika Wilaya ya Iramba wakipokea sehemu ya msaada wa ndoo kutoka kwa Mbunge Aysharose Mattembe, kwa ajili ya usafi, ili kuchochea morali ya ufaulu wa jinsia hiyo.

25Jun 2019
Elisante John
Nipashe
Ni matokeo ya darasa la saba, Ni ushirikiano wa uongozi mkoa na wadau, Ufuatiliaji, usimamizi, vitendo na kuacha kukaa ofisini siri iliyojificha
Mafanikio hayo yametokana na juhudi kubwa zilizochukuliwa na serikali, wadau wa elimu, viongozi, walimu, wazazi na jamii kwa ujumla, zilizowezesha kuukwamua mkoa huo kutoka nafasi hiyo ya ‘...

Washiriki wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kumaliza mafunzo.

24Jun 2019
Zanura Mollel
Nipashe
Akifungua mafunzo hayo Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo ambaye ni Mkuu wa Idara ya Mifugo, Nestory Dagharo amesema Halmashauri hiyo inawalengwa 5,641 wanao nufaika na mradi wa kusaidia kaya...

Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI, Josephat Kandege na Diana Raleigh wakikata utepe KUZINDUA Zahanati ya olmot.

24Jun 2019
Zanura Mollel
Nipashe
Ni baada ya mfadhili kujenga kituo cha afya katika kijiji cha Elerai
-raia wa Marekani kwa kujenga Zahanati na shule katika Kitongoji cha Olmoti kijiji cha Elerai kwa gharama zaidi ya Sh Bilioni 3."Tulikua tunatembea km 20 kufuata huduma za afya Ngarenairob...
24Jun 2019
Salome Kitomari
Nipashe
Hayo yalibainika mwishoni mwa wiki wakati wa ziara ya waandishi wa habari 10 wa Tanzania na Thailand, walioko kwenye programu maalum ya kuandika habari za ujangili na uhifadhi, chini ya Chama cha...

Mratibu wa Kitaifa wa THRDC, Onesmo Olengurumwa.

24Jun 2019
Salome Kitomari
Nipashe
Aidha, umeshangazwa na dharura ya serikali kupeleka rasimu ya marekebisho iliyotengenezwa kwa siku 50, lakini siku mbili kabla ya kupelekwa bungeni yaliwekwa kwa Azaki na kunyimwa haki ya kushiriki...

Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Dk. Athuman Kihamia.

24Jun 2019
Romana Mallya
Nipashe
Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Dk. Athuman Kihamia, aliyasema hayo mwishoni mwa wiki wakati wa semina waliyoitoa kwa wahariri na waandishi wa habari.Akizungumza kuhusu uboreshaji wa...

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Phillip Mpango, bungeni jijini Dodoma.

24Jun 2019
Godfrey Mushi
Nipashe
Ziko hoja kadhaa ikiwamo sera ya mwaka jana iliyoruhusu msamaha wa kodi kwa taulo za kike kufutwa na serikali kuja na pendekezo la kurejesha kodi ya ongezeko la thamani (VAT) kwenye taulo za kike....

MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF), Prof. Ibrahimu Lipumba.

24Jun 2019
Enock Charles
Nipashe
Akizungumza juzi kwenye kongamano la Haki na Furaha kwa Wote katika uzinduzi wa sera ya furaha kwa wananchi wote, Prof. Lipumba alisema hali ngumu ya kibiashara wanayokutana nayo wafanyabiashara...
24Jun 2019
Felix Andrew
Nipashe
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Dk. Yusuf Ngenya, alitaja matakwa kwa bidhaa hiyo kuwa ni uzito usiopungua GSM 70.Matakwa mengine ni kuwa yenye kurejelewesha (recyclable), kuwa...
24Jun 2019
Adam Fungamwango
Nipashe
Kwa timu zinazoshiriki michuano ya kimataifa kama vile Simba, Yanga, Azam na KMC usajili wa kimataifa ulianza Juni Mosi na unatarajiwa kumalizika Juni 30, huku kukiwa na wiki mbili za ziada ambazo...
24Jun 2019
Woinde Shizza
Nipashe
Baraza hilo limefanya ukaguzi katika soko la Kilombero pamoja Mbauda na kuwapa elimu wafanyabiashara wa masoko hayo, pamoja na kupiga marufuku utumiaji wa vifungashio hivyo kama vibebeo.Meneja wa...
24Jun 2019
Dege Masoli
Nipashe
Hayo yalielezwa na Kamishna wa Kinga na Tiba wa Mamlaka ya Kudhibiti Dawa za Kulevya nchini, Dk. Peter Mfisi kwenye mkutano wake na waandishi wa habari jijini hapa alipokuwa akielezea...
24Jun 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Wachezaji hao wanalipwa mamilioni ya fedha kwa wiki ili kuendelea kubaki kwenye klabu zao. Ukiacha hilo, hata nafasi yao nje ya uwanja inawafanya walipwe, hasa kwa kutangaza bidhaa mbalimbali na...
24Jun 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Onyo hilo ilitokana na mkulima wa zao hilo, Majaliwa Joseph Masaluta, kutoka chama cha msingi cha Mweli, aliyekuwa na marobota 50 ya tumbaku yenye kilo 500 ya zao hilo na kubainika akiwa amechanganya...

Emmanuel Okwi.

24Jun 2019
Somoe Ng'itu
Nipashe
***Ajipandisha thamani Afcon Misri, asema sasa anashikilia ofa kibao ila awatuliza mashabiki na kudai...
 Okwi ni mchezaji huru baada ya kumaliza mkataba wake na mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba na sasa yuko huru kufanya mazungumzo na klabu yoyote inayohitaji huduma yake.Akizungumza na...

Mkuu wa Chuo cha Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT), Prof. Preksedis Ndomba.

24Jun 2019
Elizaberth Zaya
Nipashe
Wamesema hatua ya kuanzisha mabaraza hayo ni chanya na itawasaidia wahitimu kuwa na uwezo wa kujiamini na kutoa mchango mkubwa wanapokuwa katika ajira.Mkuu wa Chuo cha Taasisi ya Teknolojia...

Pages