NIPASHE

08Feb 2016
Nipashe
Video hiyo inakwenda kwa jina la "Formation" na aliichomoa chimbo mwishoni mwa wiki iliyopita. Mashabiki wake tayari wameshikwa na butwaa na hamu kubwa ya kushuhudia 'mitoko' hiyo mipya katika...
08Feb 2016
Nipashe
Lakini juzi ilishangaza walipokutwa pamoja wakielekea kwenye saluni ya wataalamu wa kutengeneza kucha mjini Los Angeles. Ilitegemewa kama kawaida yake Swift kutembea na kundi la marafiki...
08Feb 2016
Adam Fungamwango
Nipashe
Sh. milioni 372 zinatokana na mauzo ya Samatta kwenye klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji kutoka TP Mazembe ya Congo DR. Pesa hizo ni asilimia 20 ya mauzo ya mchezaji huyo, ambayo Simba inatakiwa ipate...
08Feb 2016
Sanula Athanas
Nipashe
MWISHONI mwa wiki iliyopita, Shirikisho la Soka la Tanzania (TFF) lilitoa onyo kwa viongozi wa klabu, wachezaji, waamuzi na wasimamizi wa michezo ya soka nchini wanaojihusisha na vitendo ya rushwa na...
08Feb 2016
Nipashe
Mkurugenzi wa baraza hilo, Aboud Hassan Serenge, amethibitisha kuwa lilitoa kibali cha ujenzi huo na baadae kutoa amri ya kuvunja kabla ya ujenzi kukamilika baaada ya kubaini makosa hayo. Alisema...
08Feb 2016
Nipashe
Wawili hao wamekuwa kwenye vita ya muda mrefu kumgombea mtoto tangu walipotengana, lakini sasa upepo umevuma upande wa furaha. Kubwa lililowashawishi wapenzi hao wa zamani kuzika tofauti zao ni...
08Feb 2016
Adam Fungamwango
Nipashe
Hazikupata ushindi kirahisi na hata Simba imeanza kuifunga kwa mara ya kwanza msimu huu wa 2015/16 baada ya misimu miwili kupita. Timu hii ni Mbeya City iliyoleta mapinduzi makubwa kwenye soka la...
08Feb 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe
Keshokutwa Jumatano, mabingwa wa Bara watapanda pipa kwenda nchini Mauritus kucheza mechi ya awali ya mchuano hiyo dhidi ya Cercle de Joachim. Haina rekodi nzuri kwenye michuano ya kimataifa, na...
08Feb 2016
Sanula Athanas
Nipashe
*Azam FC ndiyo timu pekee ambayo hadi sasa imeshinda mechi zote za ugenini (nje ya Dar es Salaam) msimu huu.
LIGI Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) iliingia raundi ya 18 mwishoni mwa wiki mabingwa watetezi Yanga wakichuana na JKT Ruvu jijini Dar es Salaam huku Simba wakisafiri hadi mjini Shinyanga...
08Feb 2016
Nipashe
*Kuteta na mabalozi wa nchi zote leo
Akizungumza na Nipashe katika mahojiano maalumu mjini Dodoma, Balozi Mahiga alisema wahisani wanapaswa kuchukua jukumu hilo ili CUF iache kususia uchaguzi uliopangwa kurudiwa Machi 20, mwaka huu na...
08Feb 2016
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Baadhi yao wameafiki kwa shingo upande huku wengine wakipinga kwa maelezo kuwa fedha hizo haziendani na bei ya soko ya magari yanayoweza kuhimili changamoto za miundombinu ya barabara kwenye majimbo...
08Feb 2016
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Baadhi yao wameafiki kwa shingo upande huku wengine wakipinga kwa maelezo kuwa fedha hizo haziendani na bei ya soko ya magari yanayoweza kuhimili changamoto za miundombinu ya barabara kwenye majimbo...
08Feb 2016
WAANDISHI WETU
Nipashe
*Ajibu alikosa penalti huku Barthez akipangwa kwenye kikosi cha Yanga kwa mara ya kwanza tangu Oktoba 28 walipotoka sare ya 2-2 dhidi ya Mwadui FC mjini Shinyanga.
Matokeo hayo yaliwafanya Yanga waendelee kukaa kileleni mwa msimamo wa VPL wakiwa na mtaji wa pointi 43, moja nyuma ya Simba wanaokamata nafasi ya pili, lakini wakiwa na pointi sawa na Azam FC ambao...
06Feb 2016
Nipashe
Baada ya Mlevi na Walevi wenzake kungoja kwa muda mrefu bila majibu, sasa napanga kufungua kesi kwenye Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai (ICC). Hii ni baada ya kuhadaika kuwa rais Dk Joni...
06Feb 2016
Nipashe
Hii ni kwa mujibu wa Ibara ya 1 na ya 2 ya Katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984. Zanzibar kama vile ilivyo kwa upande wa Tanzania Bara, kama nchi, huongozwa na Katiba yake na Sheria zake nyingine...
06Feb 2016
Nipashe
Nakintu, mwanamke mwenye umri wa miaka 27 kutoka mji mkuu wa Uganda wa Kampala, alimuamini rafiki yake huyo ambaye aliwahi kufanya kazi Umoja wa Falme za Kiarabu na kuonekana kuwa na fedha nyingi....
06Feb 2016
Salome Kitomari
Nipashe
Na mwishowe kuchelewesha majalada ya mashtaka ya kesi mbalimbali, zikiwamo kubwa za ufisadi unaoligharimu taifa mabilioni ya fedha. Akizungumza na Nipashe mwishoni kwa wiki jijini Dar es Salaam...
06Feb 2016
Beatrice Shayo
Nipashe
Msimamo huo ulitolewa jana Bungeni na Naibu Waziri wa Fedha, Ashatu Kijaji, wakati akijibu swali la msingi la mbunge wa Viti maalum (CUF), Faida Bakar. Faida aliuliza serikali ina mkakati gani wa...
06Feb 2016
Fredy Azzah
Nipashe
Mawaziri hao vivuli wanatoka katika vyama vya CUF, Chadema na NCCR-Mageuzi vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa). Vyama hivyo, pamoja na NLD ambacho hakina Mbunge hata mmoja hata hivyo,...
06Feb 2016
Faustine Feliciane
Nipashe
Mayanja, kocha mkuu wa muda Msimbazi, aliiambia Nipashe jana kuwa ameridhishwa na ushirikiano kati ya Kiiza na straika Mtanzania Ibrahim Ajibu na anatarajia kuwaona wakali hao wakiitungua Kagera...

Pages