NIPASHE

Wahamiaji haramu raia wa Ethiopia waliokamatwa mkoani Mtwara wakati wakijaribu kuvuka mpaka wa Tanzania na Msumbiji katika kijiji cha Kilambo.

27Jul 2016
Juma Mohamed
Nipashe
Akizungumza mkoani hapa jana, Naibu Kamishina wa Uhamiaji mkoa wa Mtwara, Rose Mhagama, alisema wahamiaji hao wamekamatwa huku ikiwa haijafahamika aliyehusika kuwasafirisha na kwamba leo...
27Jul 2016
Christina Mwakangale
Nipashe
Happiness alifanyiwa upasuaji wa kuwekewa betri inayoongeza mapigo ya moyo wake kutoka 20 kwa dakika mpaka kati ya 60-80, ya kawaida, baada ya upasuaji huo Julai 15. Operesheni hiyo ni ya kwanza...
27Jul 2016
Frank Monyo
Nipashe
Sajini Mensah aliuawa kwa kupigwa risasi na watu wasiofahamika Julai 22, mwaka huu, saa 2:00 usiku, akiwa eneo la kazi katika mataa ya kuongozea magari ya Sayansi Kijitonyama, jijini Dar es Salaam...

kiongozi wa Klabu ya Mtibwa Sugar, Jamal Bayser

27Jul 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Timu hiyo yenye makazi yake Manungu Turiani mkoani Mororgoro, imeweka kambi jijini Dar es Salaam kujiandaa na msimu mpya wa 2016/17. Akizungumza jana jijini, kiongozi wa klabu hiyo, Jamal Bayser...
27Jul 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Akizungumza katika uzinduzi wa mbio za Rock City Marathon jana kwa niaba ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye, Kaimu mkurugenzi wa michezo wa wizara hiyo, Alex Nkeyenge...
27Jul 2016
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Akihutubia wananchi wa Dodoma juzi kwenye maadhimisho ya Siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa, Majaliwa alisema amemwagiza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu(Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu...

Wafanyabiashara Mohamed Mustafa Yusufali (kulia), na Samuel Lema (kushoto).

27Jul 2016
Hellen Mwango
Nipashe
Jana amesomewa mashtaka 186 na kufanya idadi ya mashtaka yanayomkabili katika kesi hizo za kuhujumu uchumi kufikia 383, yakikiwamo ya kughushi, kuisababishia hasara Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA),...
27Jul 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe
***Hatima ya timu hiyo ya Jangwani kwenye michuano hiyo itajulikana baada ya mchezo ujao dhidi ya Mo Bejaia ...
Akizungumza na gazeti hili jana mchana kwa njia ya simu kutoka Ghana, Pluijm alisema kuwa mechi kati ya Yanga na Mo Bejaia ya Algeria itakayofanyika Agosti 13 kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam...

mtoto mwenye ualbino akiwa na mkono bandia baada ya kukatwa na watu wasiojulikana.

26Jul 2016
WINFRIDA JOSEPH
Nipashe
Wito huo ulitolewa juzi na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Under the Same Sun (UTSS) nchini, Vicky Ntetema, wakati wa kufunga kambi ya majira ya kiangazi ya watoto 175 albino, iliyowekwa Chuo cha...
26Jul 2016
Barnabas Maro
Nipashe
‘Maajabu’ ni mambo ya kushangaza, mambo yasiyo ya kawaida; mastaajabu. Waandishi wa leo hupenda mno kutumia maneno yaliyo tofauti na maudhui (wazo linaloelezwa katika maandishi au katika...
26Jul 2016
Charles Kayoka
Nipashe
Sherehe ilipofika, walipokuwa wanasindikizana(baba alipomsindikiza mwenzake), mwanamke aliuawa; wiki moja baada ya kuandikwa kwa habari za mwandishi wa habari aliyepigwa risasi na mchumba wake (na...
26Jul 2016
Elizaberth Zaya
Nipashe
Tangu Rais John Magufuli achaguliwe mwaka jana, utekelezaji kwa ukamilifu wa sera hii umekuwa moja ya ahadi kuu za serikali yake ambaye aliwahakikishia wazazi wenye watoto wanaosoma katika shule za...

mwanafunzi wa shule ya sekondari tabora girls

26Jul 2016
Ashton Balaigwa
Nipashe
Shughuli hiyo imekuwa ikivutia wadau mbalimbali wa elimu kutoka maeneo tofauti wakiwemo wazazi, walimu, wanafunzi na Taasisi za Elimu kama njia ya mojawapo ya kutambua juhudi zinazofanywa na makundi...
26Jul 2016
Mary Geofrey
Nipashe
Mkurugenzi wa Taasisi ya Global Education Link, Abdulmalik Mollel , inayowaunganisha wanafunzi wanaotaka kwenda kusoma nje ya nchi, anasema vijana wengi wanakwenda nje ya nchi kusoma masomo ya...
26Jul 2016
John Ngunge
Nipashe
Wakizungumza kwa nyakati tofauti mwishoni mwa juma, wakazi hao walidai kilimo cha vitunguu kikiachwa kiendelee pembeni ya ziwa hilo kitawaathiri wananchi wa Kata za Bassotu na Mulbadaw, ambao...
26Jul 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Akizungumza na wandishi wa habari mjini hapa, Diwani wa Kata ya Kilosa kwa Mpepo, Boniventure Kiwanga, alisema wanyama hao aina ya viboko wamekuwa tishio kwa kushambulia mazao ya mahindi katika...
26Jul 2016
Nebart Msokwa
Nipashe
Ushauri huo ulitolewa na Mtafiti Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Misitu nchini (TAFORI), Francis Laswai, wakati wa mkutano na wadau wa misitu wa mikoa ya ukanda huo uliofanyika jijini hapa....
26Jul 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Alitoa agizo hilo mwishoni mwa wiki wakati wa kikao maalumu na wadau wa maendeleo wa wilaya hiyo baada ya kupokea taarifa ya Ofisa Kilimo wa wilaya hiyo, Specioza Kiduduye, kuwa mavuno ya mpunga kwa...

Kocha Joseph Omog

26Jul 2016
Faustine Feliciane
Nipashe
Mbali na wachezaji hao kushuka dimbani mara ya kwanza kucheza mechi ya maandalizi ya msimu ujao, lakini pia mchezo huo utakuwa wa kwanza kwa Omog tangu atue Simba. Hata hivyo, mkazo mkubwa kwenye...
26Jul 2016
Faustine Feliciane
Nipashe
Mechi hiyo ya ugenini kwa kikosi cha Jangwani, itapigwa kuanzia saa tisa alasiri kwa saa za Ghana na Tanzania itakuwa saa 12 jioni. Umuhimu wa Yanga kushinda mchezo huo unatokana na ukweli kuwa...

Pages