NIPASHE

Mbunge wa Mwibara, Kangi Lugola (kushoto), Sadiki Murad (Mvomero) na Victor Mwambalaswa (Lupa), wakiwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam jana.

01Apr 2016
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Washtakiwa hao ambao ni wajumbe wa Kamati ya Hesabu za Serikali za Mitaa, walipandishwa kizimbani jana saa 5:01 asubuhi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam. Saa 2:50...

rais wa Chama cha Madaktari Bingwa wa Moyo Tanzania, Dk. Robert Mvungi.

01Apr 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Alisema hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana juu ya mkutano wa Chama cha Madaktari Bingwa wa Moyo nchini na Chama cha Madaktari Bingwa wa Moyo Afrika ili kujadili...

mradi wa Darts.

01Apr 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mwenyekiti wa kamati hiyo, Jasson Rweikiza, alisema hali hiyo haivumiliki na inapaswa kukomeshwa mara moja. Kamati hiyo ilkutana kwa mara ya pili na uongozi wa Wakala wa Mradi wa Mabasi Yaendayo...
01Apr 2016
Beatrice Shayo
Nipashe
Kila mahali mtu akichunguza atakuta dhana hizo mbili. Si jambo geni, ndio mambo ambayo amekuwa akiyahimiza katika harakati zake za kampeni zake kila mahali alikopita. Sasa amebahatika kupata fursa...
01Apr 2016
Denis Maringo
Nipashe
Ukweli wa kauli hii, unatokana na tathmini kutoka kwa wataalam na taasisi za kiuchumi zinazoheshimikakimataifa ambazo zinaiweka Tanzania miongoni mwa nchi nne zitakazokuwa na uchumi mkubwa zaidi...

rais wa tff, jamal malinzi.

01Apr 2016
Sanula Athanas
Nipashe
Mabasi ya shirikisho hilo la soka nchini yanashikiliwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kutokana na ukwepaji wa kodi ya Sh. bilioni 1.6.
Baada ya kuzifunga akaunti zote za TFF na kuchukua pesa zote zilizokuwamo kiasi cha Sh. milioni 250, Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) jana ilirejea tena Karume zilipo kwenye ofisi za shirikisho hilo...
01Apr 2016
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Katika utafiti huo, tume hiyo ilipokea maoni ya wadau wengi waliohitaji kuwapo na marekebisho ya sheria hiyo sura ya 140, kwa kuitaka serikali ifanye mabadiliko makubwa katika usimamizi wa manunuzi...
01Apr 2016
Raphael Kibiriti
Nipashe
Uwekezaji wa aina hii ni fursa mujalabu ya kukuza shughuli za kibiashara kwa mfanyabiashara na kupata faida, kupanua mtaji na uchumi wa nchi. Leo tunaendelea kuangalia uwekezaji wa dhamana za...

beki wa Simba, Abdi Banda.

01Apr 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe
Banda alisimamishwa na uongozi wa klabu hiyo kwa kosa la utovu wa nidhamu kwa kukataa kupasha ili kuingia uwanjani kwenye mechi ya Ligi Kuu Bara dhidi ya Coastal Union ya Tanga. Beki huyo pia...

Mchungaji Pastory Majembe, akiwa amelazwa Hospitali ya Rufaa Dodoma, jana kutokana ajali ya gari lake.

01Apr 2016
Ibrahim Joseph
Nipashe
Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, David Mnyambuga, alisema ajali hiyo ilitokea juzi saa 1:15 asubuhi katika kijiji hicho baada ya gari lenye namba za usajili T 557 BRQ aina ya Toyota Spacio,...

Uwanja wa Ndege wa Kimatifa wa Kilimanjaro (KIA).

01Apr 2016
John Ngunge
Nipashe
Watuhumiwa hao tangu walipokamatwa Machi 24, mwaka huu, hawajafunguliwa mashtaka yoyote hadi sasa, huku wakiwa wanaendelea kusota rumande. Kwa mujibu wa taarifa ya kifo hicho iliyotolewa na...

Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sophia Mjema.

01Apr 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Hatua hiyo ni muendelezo wa kukamilisha mkakati wake wa kutoa huduma na bidhaa bora za mawasiliano kila mahali nchini. Uzinduzi wa duka jipya la Airtel Mbagala uko katika mkakati waliojiwekea...

Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya Pwani, Goodluck Charles.

01Apr 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya Pwani, Goodluck Charles, alisema uka hilo linakwenda pamoja na mkakati wa kampuni hiyo wa kupanua na kuzileta huduma karibu na watu. “Duka hili ni fursa sahihi kwa...

naibu waziri wa fedha na uchumi, dk. ashiatu kijaji.

01Apr 2016
Sabato Kasika
Nipashe
Aidha, wamekumbushwa kuwa utaratibu unaoendelea sasa wa kuwafungia biashara wasiolipa kodi ni endelevu, hivyo wale ambao wanadhani kwamba ni nguvu ya soda wanajidanganya. Hayo yalisemwa juzi na...
01Apr 2016
Mhariri
Nipashe
Kwa mujibu wa taarifa ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), George Simbachawene, watumishi hewa ambao hadi juzi walikuwa wamebainika katika ukakiki huo ni...

mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sophia Mjema.

01Apr 2016
Moshi Lusonzo
Nipashe
Akizungumza katika kikao cha Kamati ya Ushauri ya Wilaya (DCC) ya wilaya hiyo, Mjema alisema msako huo ulianza jana na utahusisha mitaa yote. Alisema maandalizi kwa ajili ya msako huo...
01Apr 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Timu hiyo inayodhaminiwa na Benki ya Exim Tanzania, imeweka rekodi ya kushinda mbio hizo kwa miaka mitatu mfululizo na inaundwa na dereva wa Kitanzania, Gurjit Singh Dhani na msaidizi wake, Shameer...

Moja ya kiwanja kilichopo katika kituo hicho.

01Apr 2016
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Mkuu wa Kitengo cha Kuendeleza Michezo wa Sunderland, Graham Robinson, aliwaambia waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana kuwa kiasi hicho cha fedha kitatumika kusaidia kukuza michezo kwa kutoa...

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Hamis Kingwala.

01Apr 2016
Mary Geofrey
Nipashe
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Hamis Kingwala, alisema hayo jana wakati wa uzinduzi wa mafunzo ya uuguzi na ukunga katika Chuo cha Aga Khan, ambacho...

waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Mwigulu Nchemba.

01Apr 2016
Augusta Njoji
Nipashe
Mwigulu aliyasema hayo juzi alipikuwa anazungumza na wananchi wa vijiji vya Kinyasi na Ikengwa wilayani hapa, alipokuwa akielezea mpango wa serikali wa kuangamiza ndege aina ya kwelea kwelea, ambao...

Pages