NIPASHE

29Nov 2016
Charles Kayoka
Nipashe
Nilifahamishwa kuwa maji hayo ni kwa ajili ya kunywa na matumizi yote ya nyumbani. Ukweli maji yale yalikuwa machafu hata kama yanachemshwa bado hayawezi kufaa kwa matumizi ya kunywa na kupikiwa....
29Nov 2016
Barnabas Maro
Nipashe
Methali hii yaweza kutumiwa kumpigia mfano mtu aliyeelimika sana lakini akawa hana faida kwa watu au kwa jamii yake. ‘Majira’ ni uwiano wa wakati wa saa kulingana na wakati uliokubalika pahali...
29Nov 2016
Marco Maduhu
Nipashe
Chuo hicho, kipo kata ya Kizumbi umbali wa kilometa tano kutoka katikati ya mji wa Shinyanga.Kinakabiliwa na uchache wa nafasi ya hosteli hata kuathiri wanafunzi wengi wanaolazimika kwenda kupanga...
29Nov 2016
Happy Severine
Nipashe
Anasema zoezi la utoaji wa huduma ya chakula (uji) shuleni lilianza mwaka 2010 baada ya maagizo ya serikali ngazi ya Mkoa kutangaza rasmi kwamba, shule zote zitoe huduma hiyo, lakini agizo hilo...

Mwenyekiti wa tunzo hiyo, mwaka huu Prof. Mulokozi.

29Nov 2016
Mtapa Wilson
Nipashe
Hayo ni maneno ya Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere aliyatoa mwaka 1962, alipokuwa akitilia mkazo uamuzi wake wa kuunda Wizara ya Utamaduni wa Taifa kama chombo maalum kitakacholitumikia Taifa...
29Nov 2016
John Ngunge
Nipashe
Mkurugenzi wa halmashauri hiyo, Yefred Myenzi, alisema mwishoni mwa wiki kuwa, biashara hiyo inapaswa kufanyika katika eneo lenye mazingira mazuri. “Biashara ya Tanzanite inapaswa kuwekwa kwenye...
29Nov 2016
Ashton Balaigwa
Nipashe
Rai hiyo ilitolewa na mwezesheji kutoka Shirika la Kuendeleza Kilimo Hai Tanzania (TOAM), Abdallah Ramadhani, wakati akiwasilisha mada ya kilimo hai kwa waandishi wa habari pamoja na wakulima,...
29Nov 2016
Augusta Njoji
Nipashe
Jafo alitoa agizo hilo mwishoni mwa wiki alipofanya ziara katika manispaa hiyo kukagua ujenzi wa barabara ya Sango iliyopo jirani na soko kuu la Majengo ujenzi wa dampo la kisasa la Chidaye mjini...
29Nov 2016
Mhariri
Nipashe
Taarifa hizo ambazo zimethibitishwa na uongozi wa kiwanda hicho kupitia Mkurugenzi Mtendaji, Harpreet Duggal, uamuzi huo umetokana na gharama kubwa ambazo zimekuwa zikiwakabili katika kukiendesha...
29Nov 2016
Raphael Kibiriti
Nipashe
Ukianzisha mada ya kwa mfano kanda kuendelea, ama mkoa, wilaya, tarafa, kata, mtaa, kijiji, kitongoji na hata maendeleo ya mtu binafsi, utakumbana na hoja zenye mtazamo tofauti juu ya mada hiyo....

Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Doroth Mwanyika.

29Nov 2016
Christina Haule
Nipashe
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Doroth Mwanyika, alisema hayo jana kwa niaba ya Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Ashatu Kijaji, wakati wa kongamano la kumuenzi Baba wa Taifa, Hayati...
29Nov 2016
Mary Geofrey
Nipashe
Waliofaulu mtihani wa darasa la saba ni 51,488 na wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza mwakani ni 32,668 pekee. Matokeo hayo yalitangazwa jana jijini Dar es Salaam na Katibu...

KIPA wa Yanga, Benno Kakolanya.

29Nov 2016
Mahmoud Zubeiry
Nipashe
Akizungumza na Nipashe jana, Meneja wa Yanga, Hafidh Saleh alisema kwamba Kakolanya ni kati ya wachezaji saba ambao hawakuhudhuria mazoezi Uwanja wa Chuo cha Polisi, Kurasini, Dar es Salaam kwa...
29Nov 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Katibu Mkuu wa Simba SC, Patrick Kahemele alisema jana katika mazungumzo na Nipashe kwamba wachezaji hao watakutana chini ya Kocha Msaideizi, Mganda, Jackson Mayanja. Alisema mazoezi rasmi...

WAZIRI wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Nape Moses.

29Nov 2016
Mahmoud Zubeiry
Nipashe
Akizungumza jana ofisini kwake, katikati yab Jiji la Dar es Salaam, Nape alisema kwamba wapo kwenye hatua za mwishoni za ujenzi wa mfumo huo imara utakaoibeba sekta ya michezo. Alisema hicho ni...
29Nov 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Katika mchezo huo uliofanyika Uwanja wa Versluys Arena mjini Oostende, Genk ilicheza pungufu baada ya mshambuliaji wake Mjamaica, Leon kuonyeshwa kadi ya pili ya njano na kutolewa kwa kadi nyekundu...
28Nov 2016
Sanula Athanas
Nipashe
Taarifa za kuaminika kutoka Mtwara ziliiarifu Nipashe wiki iliyopita kuwa kiwanda ambacho ni kikubwa zaidi katika uzalishaji wa saruji nchini, kimesitisha shughuli zake. Na baada ya kutafutwa na...
28Nov 2016
Grace Mwakalinga
Nipashe
Badala yake, Dk. Mwakyembe ameiagiza Tume ya Mahakama iwatafutie kazi nyingine. Akizungumza jana na viongozi mbalimbali wa Mkoa wa Mbeya na taasisi zilizo chini ya Katiba ya Sheria, Dk. Mwakyembe...

Ronaldo

28Nov 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Real Madrid iliibuka na ushindi wa magoli 2-1 kwenye mchezo huo ulioifanya timu hiyo kukaa kileleni kwenye msimamo wa ligi kwa tofauti ya pointi sita dhidi ya Barcelona inayoshika nafasi ya pili....
28Nov 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Liverpool ilipambana na Sunderland juzi na kuendeleza mwanzo wao mzuri kwenye ligi kwa kuibuka na ushindi wa magoli 2-0. Katika mchezo huo ambao Liverpool walipiga mashuti 27 na kumiliki mpira...

Pages