NIPASHE

28Nov 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kwa msingi huo, Watanzania wametakiwa kuidumisha, kuienzi, kutunza na kuithamini amani hiyo ambayo ndicho kitu chenye thamani zaidi duniani kuliko kitu kingine chochote. Pongezi na wito huo...
28Nov 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Katika salamu hizo, Dk. Shein alisema kuwa yeye na wananchi wa Zanzibar wamepokea kwa masikitiko na huzuni kubwa taarifa za kifo cha kiongozi huyo mwana mapinduzi wa Cuba na ulimwengu. “Wananchi...
28Nov 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Rais Lungu aliwasili nchini jana jioni akiwa ni mkuu wa nchi wa pili kukaribishwa kwenye Uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere na mwenyeji wake, Rais Magufuli, baada ya ujio wa Idriss Deby, Rais wa...
28Nov 2016
Richard Makore
Nipashe
Mwanasiasa huyo ambaye pia amewahi kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, aliyasema hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana. Alisema Ofisi ya Msajili wa Vyama...

MKUU wa Mkoa wa Morogoro, Dk. Kebwe Stephen.

28Nov 2016
Ashton Balaigwa
Nipashe
Aidha, ameagiza kufanyika upya kwa tathmini ndani ya saa 24, ili kugundua wa uharibifu uliofanywa na mifugo hiyo kupitia wataalamu wa kilimo. Dk. Kebwe alitoa agizo hilo baada ya kufanya ziara...
28Nov 2016
Renatha Msungu
Nipashe
Amri hiyo ilitolewa juzi na Mkurugenzi wa Manispaa ya Dodoma, Godwin Kunambi, wakati akizungumza na wafanyabiashara katika kituo kikuu cha mabasi mkoani humo. Kunambi alisema baadhi ya...
28Nov 2016
Rose Jacob
Nipashe
Penina Mollel, wakati wa uzinduzi wa taarifa ya utafiti wa kiwango cha elimu, uliofanywa na Taasisi ya Utafiti ya Twaweza, iliyoonyesha katika wilaya ya Ilemela, kukabiliwa na changamoto ya watoto...
28Nov 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Hayo yamebainishwa na Dk. Joseph Makuma, wakati wa upimaji wa magonjwa yasiyoambukizwa, unaoendeshwa na Chama cha Magonjwa Yasiyoambukiza Tanzania (TANCDA). Dk. Makuma, alisema katika kliniki ya...
28Nov 2016
Nebart Msokwa
Nipashe
Akizungumza na vyombo vya habari juzi, Mwenyekiti wa Kamati ya Usalama barabarani ya Mkoa wa Mbeya, Allan Mwaigaga, alisema kuwa barabara za lami zinajengwa kwa gharama kubwa, lakini zinaharibika...
26Nov 2016
Na Waandishi Wetu
Nipashe
*Ni vigogo walioweka mabilioni kwenye benki za kibiashara mpaka wasimamizi Tasaf vijijini
Kutishia pia mustakabali wa viongozi wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF), itagusa pia watendaji wa kata mbalimbali nchini. Akiwa kwenye mahafali ya Chuo Kikuu...
26Nov 2016
Mary Geofrey
Nipashe
Mkurugenzi wa Huduma za Upasuaji wa JKCI, Dk. Bashir Nyangasa, alisema jana kuwa kutokana na upasuaji wa moyo kuhitaji umeme wa uhakika, hali hiyo imekuwa tofauti kwenye taasisi hiyo. Alisema...

MBUNGE wa Moshi Vijijini, Anthony Komu (Chadema).

26Nov 2016
John Ngunge
Nipashe
Hatua hiyo inafuatia hukumu ya Mahakama ya Haki ya Afrika Mashariki (EACJ), kitengo cha rufani, kukubali rufani iliyokatwa na Serikali dhidi ya ushindi alioupata Anthony Komu katika mahakama hiyo...

NAIBU Katibu Mkuu (Bara) wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Mnyika.

26Nov 2016
Elisante John
Nipashe
Mnyika alisema hayo mkoani Singida juzi akiwa kwenye moja ya mikutano ya ndani, iliyoandaliwa na Chadema kwa lengo la kuimarisha viongozi wake ngazi ya kata na wanachama ili waweze kuwafikia wananchi...
26Nov 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Majaliwa alitoa agizo hilo jana alipomwakilisha Rais Dk. John Magufuli katika ufunguzi wa mkutano wa 21 wa mwaka wa Chama cha Wanasheria wa Afrika Mashariki kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa...
26Nov 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Baada ya kuutumia uwanja huo kwenye michuano ya ligi ya mabingwa msimu huu, Spurs wamepoteza michezo yao dhidi ya Monaco na Bayer Leverkusen katika michezo yao miwili ya nyumbani. Matokeo mabaya...
26Nov 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Ya kwanza ni kila kitu kifanyike kwa mujibu wa sheria. Maana hii ikitafsiriwa kuhusiana na mwenendo wa serikali inamaanisha kuwa pamoja na vyombo vyote vya umma viendeshwe kwa mujibu wa sharia....

KIUNGO wa Chelsea John Obi Mikel.

26Nov 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mikel (29), amekuwa kwenye kikosi cha Chelsea kwa miaka 10 na anashika nafasi ya pili ya mchezaji aliyekaa miaka mingi klabuni hapo akiwa nyuma ya nahodha wa timu hiyo, John Terry. "Nitajitahidi...

Kaimu Postamasta Mkuu wa TPC, Fortunatus Kapinga.

26Nov 2016
Chauya Adamu
Nipashe
Watumishi hao wanahusishwa na ubadhirifu wa fedha uliofanyika katika shirika hilo kwa kutia saini mikataba yenye utata na malipo hewa. Ufisadi huo wa kutisha uliibuliwa juzi na Mwenyekiti wa Bodi...
26Nov 2016
Steven William
Nipashe
Tukio hilo la mauaji ya mkulima huyo, lilitokea juzi katika Kitongoji cha Makweli wilayani Handeni, Tanga na waliofanya mauaji hayo wametoroka na wanasakwa na Jeshi la Polisi mkoani Tanga. Kaimu...
26Nov 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Baadhi ya nchi zilizofanikiwa kiuchumi kupitia viwanda ni pamoja na Japan, Korea Kusini, China na India kutoka bara la Asia. Uingereza, Ujerumani, Italia na Ufaransa (Ulaya) na Marekan. Uchumi...

Pages