NIPASHE

26Nov 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Baadhi ya nchi zilizofanikiwa kiuchumi kupitia viwanda ni pamoja na Japan, Korea Kusini, China na India kutoka bara la Asia. Uingereza, Ujerumani, Italia na Ufaransa (Ulaya) na Marekan. Uchumi...
26Nov 2016
Kiondo Mshana
Nipashe
*Anawalinda wanyama wadogo tena huwaandalia wengine makao
Kitendo chake cha kujitosa katika Wizara ya Maliasili na Utalii, kimewatikisa majangili ambao walishajenga kiburi kuwa hawakamatiki kutokana na jeuri ya pesa na kuendelea kuwaua tembo bila kujali...
26Nov 2016
Vivian Machange
Nipashe
Kuanzia hapo zinahitajika jitihada ili kuboresha hewa ya ndani ya nyumba. Watoto na watu wenye mzio wanaweza kuhisi mabadiliko ya hewa ndani ya nyumba hata yakiwa ni kwa kiasi kidogo. Hewa...
26Nov 2016
Nkwazi Mhango
Nipashe
Japo Mvungi alizikwa, kuombolezwa hata kupendwa na wengi, sijui kama bado wengi hao wanamkumbuka. Sifahamu iwapo wanakumbuka yale mema yote aliyosimamia na kutenda. Sina hakika kama wanamkumbuka...
26Nov 2016
Barnabas Maro
Nipashe
Kinachosubiriwa kwa shauku ni msimu wa pili na wa mwisho utakaotoa bingwa. Ingawa kuna mshindi wa nafasi ya pili na ya tatu, kinachoshindaniwa ni ubingwa unaoshikiliwa na Yanga kwa miaka miwili...
26Nov 2016
Mhariri
Nipashe
Ligi ya vijana imeanza na pia ligi ya taifa ya wanawake imeanza kutimua vumbi huku pia michuano ya Kombe la shirikisho nayo pia ikiwa imeanza na hii ni timizo la ahadi ya Rais wa Shirikisho la soka...
26Nov 2016
Steven William
Nipashe
Mshitakiwa huyo alisomewa shitaka lake juzi mbele ya Hakimu wa Wilaya, Enediana Makabwa katika mahakama ambayo ilijaa umati wa watu kutoka ndani na nje ya Muheza, wakiwamo ndugu wa marehemu huyo,...
26Nov 2016
Hellen Mwango
Nipashe
Hukumu hiyo ilipangwa kusomwa jana na Hakimu Mkazi Mkuu, Mfawidhi, Cyprian Mkeha lakini alisema bado haijawa tayari hadi mwakani. Upande wa Jamhuri uliongozwa na Wakili wa Serikali Jaqckline...
26Nov 2016
Mwinyi Sadallah
Nipashe
Kauli hiyo imetolewa na Naibu Waziri, Mohamed Ahmada Salum alipokua akijibu swali la Mwakilishi wa Jimbo la Paje, Jaku Hashim Ayoub katika kikao cha Baraza la Wawakilishi. Ayoub alitaka sheria...

Mkuu wa shirikisho la vyama vya wafanyakazi (Tucta), Nicholaus Mgaya.

26Nov 2016
Daniel Mkate
Nipashe
Akitangaza matokeo ya uchaguzi mkuu wa Tucta jana asubuhi, mwenyekiti wa kamati ya usimamizi wa uchaguzi huo, Dk. Salma Chande, alisema wajumbe wa mkutano walipiga kura usiku kucha pasipo na vurugu...
26Nov 2016
Romana Mallya
Nipashe
Katika maoni ya viongozi hao wa dini na wananchi, wako waliomkosoa huku wengine wakisema viongozi wa namna hiyo wanapaswa kuombewa.Akizungumza na Nipashe jana jijini Dar es Salaam, Makamu wa Rais...

Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho, Magdalena Sakaya.

25Nov 2016
Elizaberth Zaya
Nipashe
Kauli hiyo ilitolewa jijini Dar es Salaam juzi na Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho, Magdalena Sakaya, wakati akizungumza na waandishi wa habari. Sakaya alikuwa akitolea ufafanuzi juu ya masuala...

Mwenyekiti wa bodi hiyo, Dk. Haroun Kondo.

25Nov 2016
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Akizungumza na waandishi habari wakati wa utiaji saini wa makubaliano ya mkataba wa utekelezaji kati ya Bodi na Mtendaji Mkuu jijini Dar es Salaam jana, Mwenyekiti wa bodi hiyo, Dk. Haroun Kondo...

MCHUNGAJI wa Kanisa la Maombezi, Antony Lusekelo.

25Nov 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Hata hivyo, Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limesema litazungumzia kukamatwa kwa Lusekelo leo.Taarifa zilizoifikia Nipashe juzi usiku kutoka ndani ya jeshi hilo, zilidai kuwa Mzee wa...
25Nov 2016
Mary Geofrey
Nipashe
Fedha hizo zitalipwa kwa mlalamikiwa wa kwanza kwenye kesi hiyo, Kampuni ya Image Properties and Estate ambayo ni wakala wa Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF), unaomiliki jengo hilo....
25Nov 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Baada ya kutokea mashambulizi ya kigaidi yalioikumba Kenya mwaka 2014, idadi kubwa ya watalii wamekuwa wakikichagua kisiwa hicho cha Tanzania, na kukitembelea mara kwa mara, wakiiacha fukwe maarufu...
25Nov 2016
Yasmine Protace
Nipashe
Hilo tayari lipo katika mikakati ya serikali. Katika Mpango wa Maendeleo wa Miaka Mitano uliowasilishwa mwaka jana mjini Dodoma, ulianzisha mkakati wa serikali kujenga viwanda. Utekelezaji huo...
25Nov 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mmiliki analazimika kukabili changamoto hizo, zikiwamo za uuzaji, usambazaji, usimamizi wa fedha na kuhakikisha biashara inakua. Haya yote anayafanya akiwa na wafanyakazi wachache, au pengine...
25Nov 2016
Raphael Kibiriti
Nipashe
Awali niseme tu kwamba, kwa wafanyabiashara wa ngazi zote walio na hamu ya kujua zaidi juu ya aina hii ya uwekezaji, wasisite kuomba ufafanuzi kama ambavyo wengi wamekuwa wakifanya. Kwani...
25Nov 2016
Peter Mkwavila
Nipashe
Hukumu hiyo ilitolewa na Hakimu Mkazi Mfawidhi wa mahakama hiyo, Mary Senapee, baada ya kumtia hatiani kwa kosa hilo alilotenda Juni 26, mwaka huu, saa 12.30 jioni katika kijiji cha Mkoka, wilayani...

Pages