NIPASHE

28Mar 2016
Mhariri
Nipashe
Timu hizo zitachuana kwenye Uwanja wa Taifa leo jioni katika mechi ya marudiano ya Kundi G la kuwani kufuzu kushiriki fainali zijazo za Mataifa ya Afrika (Afcon). Wakiwa mkiani mwa msimamo...
28Mar 2016
Sanula Athanas
Nipashe
Miaka mitatu iliyopita, Simba ilimuuza Okwi kwa mali kauli katika klabu ya Etoile Sportive du Sahel (ESS) ya Ligi Kuu ya Tunisia, usajili ambao uliibua mvutano mgogoro mkubwa wa uongozi klabu hiyo ya Msimbazi.
Januari 14, 2013, Simba ilimuuza Mganda huyo ESS kwa mali kauli ya dola za Marekani 300,000, jambo ambalo liliibua mgogoro mkubwa wa uongozi Msimbazi, huku Rage akituhumiwa kupokea 'fungu'...

Wachezaji wa Yanga na Azam wakipambana katika moja ya mechi za lIgi Kuu ya Vodacom

28Mar 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Hata hivyo, hakuna uwezekano wowote wa Bodi ya Ligi kufumua tena ratiba hiyo kwa matakwa ya klabu hizo zinazoshiriki michuano ya soka Afrika. Yanga inashiriki michuano ya Ligi ya Mabingwa...

KIKOSI CHA YANGA

28Mar 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Msimu huu wa Ligi Kuu 2015/16 kuna raundi 30. Kwa maana hiyo, zimebaki raundi chache kabla ya kumazika kwa Ligi Kuu msimu huu. Tayari timu zimeshajichuja. Baadhi zikionekana kugombania...

Baggio

28Mar 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
***Wachezaji wote wa daraja la kwanza duniani wamepita kwenye moja ya vituo hivi vya kukuso soka la vijana...
Ustawi wowote wa michezo huanzia ngazi za vijana, ndiyo maana msisitizo mkubwa hulenga katika uwekezaji wa soka la vijana. Vipaji vingi vya wachezaji wa kizazi cha sasa ni matokeo ya uwekezaji...

kiiza

28Mar 2016
Adam Fungamwango
Nipashe
Machi 19, Kiiza alihitimisha mechi yake ya tatu Uwanja wa Mkwakwani alipofunga bao la pili, Simba ikiondoka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Coastal Union mjini Tanga. Hilo ni goli lake la...

pluijm

28Mar 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe
Mdachi huyo aliiambia Nipashe jijii Dar es Salaam jana kuwa bila kikao hicho, timu hizo hazitafanya vizuri katika michuano ya Afrika mwaka huu kutokana na kutokuwa na muda mzuri wa maandalizi...

Rais wa TTF Jamal Malinzi

28Mar 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) halijakubaliana na matokeo hayo na kuagizaa Chama cha Soka cha Katavi (KRFA) kufanya uchunguzi ndani ya wiki moja. Kabla ya mchezo huo wa mwisho, klabu ya...

wachezaji wa Stars wakifanya mazoezi

28Mar 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe
***Mchezo huo ulikuwa upigwe leo kwenye Uwanja wa Taifa, lakini hautakuwapo baada ya wageni hao kujiondoa kwenye mashindano…
Mechi hiyo iliyopangwa kuchezwa leo kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, haitakuwapo tena baada ya Chad kujiondoa kwenye mashindano dakika za mwisho. Taarifa iliyoandikwa jana na Chama cha...

Abel Dhaira

28Mar 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe
Hadi anakutwa na mauti, Dhaira (28) alikuwa bado ni kipa wa timu ya IBV Vestmanaeyjar ya Iceland. Taarifa zilizopatikana jana jioni kutoka katika mitandao mbalimbali ya habari za michezo...

waziri wa Sheria na Katiba

28Mar 2016
Augusta Njoji
Nipashe
Akizungumza katika mahubiri yake kwenye ibada ya Pasaka iliyofanyika Kanisa Kuu la Watakatifu Wote Vinghawe wilayani Mpwapwa, Askofu Dk. Chimeledya alisema ili kuwapo na demokrasia nchini, ni...

rias wa zanzibar, dk ali mohamed shein

28Mar 2016
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Shayo alitoa kauli hiyo juzi wakati wa ibada ya mkesha na kulirudia jana katika ibada ya Pasaka, jana, iliyofanyika katika Kanisa Mtakatifu Joseph Minara Miwili, Mji Mkongwe. Wakati wa ibada hiyo...

RAIS JOHN MAGUFULI

27Mar 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
*Afyeka 1,500/- kwa kila mwanafunzi
kwa kila mwanafunzi kutoka katika fedha wanazopokea kwa ajili ya uendeshaji wa shule zao na kisha kuzipeleka kwenye manispaa hiyo. Katika barua ya Februari 4, 2016 iliyosambazwa kwenda kwa walimu...

Diana Masalla.

26Mar 2016
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Itakumbukwa kuwa Novemba mwaka jana, makusanyo ya Mamlaka ya Mapato (TRA) yalipanda kutoka wastani wa Sh. bilioni 800-900 kwa mwezi mpaka Sh. trilioni 1.3. Kiwango hicho kiliongezeka na kuwa Sh....

smg.

26Mar 2016
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Ni siku 5 tangu Rais aonye dhidi ya uzembe huo
Watu saba wanaosadikiwa kuwa majambazi walifanya uporaji huo baada ya kuvamia ofisi za kampuni ya simu za mikononi ya Halotel katika eneo la Medelii, Manispaa ya Dodoma, na kuwajeruhi askari polisi...

Kamishna Msaidizi, Wilbrod Mtafungwa.

26Mar 2016
Godfrey Mushi
Nipashe
Taarifa za uhakika zilizothibitishwa na Waziri wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe zinaeleza kuwa, Waholanzi hao watapandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi Jumanne...

waziri wa elimu, profesa Joyce Ndalichako.

26Mar 2016
Moshi Lusonzo
Nipashe
Shule hiyo ina zaidi ya wanafunzi 6,000, huku darasa la kwanza pekee wakiwa 1,025. Kutokana na wingi huo wa wanafunzi, Majimatitu ilijikuta ikishindwa kuhimili idadi kubwa ya watoto hao na...

wafuasi wa ccm zanzibar wakishangilia ushindi wa Dk.shein.

26Mar 2016
Rahma Suleiman
Nipashe
Kwa mujibu wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) Dk. Shein alitetea nafasi yake hiyo kwa ushindi wa zaidi ya asilimia 91 ya kura za watu waliojitokeza kwenye uchaguzi huo wa marudio, ambao CCM...
26Mar 2016
Adam Fungamwango
Nipashe
Ilikuwa kwenye mechi ya Ligi Kuu kati ya timu hiyo dhidi ya Coastal Union na Simba kushinda mabao 2-0. Aliyetakiwa kutoka ni Mohamed Hussein 'Tshabalala', ambaye anadaiwa kupiga krosi mbili 'mkaa...
26Mar 2016
Masyenene Damian
Nipashe
Shahidi huyo, Inspekta David Paul, kachero kutoka Makao Makuu ya upelelezi wa makosa ya jinai jijini Dar es Salaam, alidai alimkamata mtuhumiwa wa sita akiwa na sare za kampuni ya ulinzi, kofia...

Pages