NIPASHE

23Nov 2016
Ashton Balaigwa
Nipashe
Mbwa hao ambao wameleta taharuki kubwa kwa wananchi wa kata hiyo, wamesababisha wazazi kuwazuia watoto wao kwenda shule kwa kuhofia usalama wao na kusababisha maudhurio ya wanafunzi kuwa hafifu....
23Nov 2016
Ashton Balaigwa
Nipashe
Mbowe ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Hai, mkoani Kilimanajro alisema hayo juzi wakati akizungumza katika mkutano wa ndani wa chama hicho uliouhusisha viongozi mbalimbali kuanzia ngazi za vitongoji...

Athony Mavunde.

23Nov 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Akizungumza na Nipashe jana, mwenyekiti wa soko hilo, Godfrey Mbilinyi, alisema wadau wengine waliowezesha ujenzi huo ni Halmashauri ya Manispaa ya Dodoma na Mbunge wa Jimbo la Dodoma, Athony Mavunde...
23Nov 2016
John Ngunge
Nipashe
Akizungumza na wamiliki wa Kampuni ya Aspire Media, hivi karibuni, wakati akiwa mkoani hapo kujionea maendeleo ya sekta ya afya, maji, elimu na kilimo, inayogharimiwa na Serikali ya Watu Marekani,...

Precision Air

23Nov 2016
John Ngunge
Nipashe
Kuanzishwa kwa safari hizo, kutapunguza adha ya usafiri kwa watalii wanaopenda kutembelea hifadhi hiyo. Uzinduzi huo ulifanyika katika uwanja mdogo wa ndege wa Seronera, uliopo ndani ya Hifadhi ya...
23Nov 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
kuwawezesha wananchi kununua hisa hizo na kuwa sehemu ya wamiliki wa kampuni. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Katibu Mtendaji wa Baraza hilo, Beng’i Issa, alisema...

Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema, akipelekwa mahabusu na askari wa Magereza, baada ya kukwama kupata dhamana mahakamani jana

23Nov 2016
Cynthia Mwilolezi
Nipashe
Kaimu Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Kanda ya Arusha, Sekela Moshi alitoa uamuzi huo mbele ya kundi la wafuasi wa Lema waliofika kusikiliza shauri hilo mahakamani, wakiwemo wabunge kadhaa. Wabunge...

Prof. Joyce Ndalichako

23Nov 2016
Mary Geofrey
Nipashe
Viboko shuleni vinaongozwa na Sheria ya Elimu Sura ya 353, ambapo adhabu hiyo hutolewa kwa ruhusa ya mwalimu mkuu pekee ama kuwepo kwa ruhusa ya mkuu huyo wa shule kwa wasaidizi wake. Aidha, idadi ya...
23Nov 2016
Hellen Mwango
Nipashe
Katika kesi hiyo, iliyokuwa inawakabili raia wawili wa China Hsu Tai na Zhao Hanquing ya kuvua samaki katika Ukanda wa Kiuchumi wa Bahari ya Tanzania bila kibali, utetezi uliwasilisha barua ya maombi...

Idd Azzan

23Nov 2016
Beatrice Shayo
Nipashe
Azzan aliyasema hayo mwishoni mwa wiki wakati akifunga mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Vijana Wilaya ya Kinondoni wa kujadili masuala mbalimbali. Alisema upo umuhimu kwa viongozi hao kutumbuliwa...

Mhandisi Deusdedit Kakoko

23Nov 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na TPA kwa vyombo vya habari, zaidi ya watumishi 20 wanahudhuria mafunzo hayo ambayo yalianza rasmi jana jijini yakilenga kuwajengea uwezo wafanyakazi wa taasisi...

Evans Aveva

23Nov 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Jana, Nipashe ilifika katika ofisi za Takukuru jijini Dar es Salaam na kuzungumza na Ofisa Habari wa taasisi hiyo, Mussa Misalaba, ambaye alisema maofisa wao wanaendelea na kazi ya kuichunguza...

Ester Bulaya

23Nov 2016
Sabato Kasika
Nipashe
Awali, alikuwa ni Mbunge wa Viti Maalumu kundi la vijana wa CCM akiwakilisha Mkoa wa Mara, (2010-2015), lakini mwaka jana kabla ya Uchaguzi Mkuu alihama chama hicho kikongwe an kujiunga Chadema na...

Jaafar Muhammad Nimeiry

23Nov 2016
Owden Kyambile
Nipashe
*Alikuwa Rais wa tano wa Sudan *Aliongoza chama cha Sudanese Socialist Union.
Kwa miongo zaidi ya miwili Sudan iliandamwa na vita vya ndani kati ya wananchi wa Kaskazini ambao wengi wao wana asili ya Kiarabu wakati wale wa Kusini wana asili ya Kiafrika. Tofauti nyingi...

Nkosazana Dlamini- Zuma

23Nov 2016
Theodatus Muchunguzi
Nipashe
Kuna kampeni za nguvu miongoni mwa wanaoisaka nafasi hiyo wakiungwa mkono na nchi zao. Mbali na kampeni hizo, suala la jinsia linaonekana kuchanua zaidi. Ninasema hivyo kwa kuwa katika orodha ya...

SPIKA WA BUNGE JOB NDUGAI

23Nov 2016
Augusta Njoji
Nipashe
Kamati hizo ni Kamati ya Bunge Hesabu za Serikali(PAC) na Kamati ya Hesabu za Serikali za Mitaa(LAAC).Kamati hizi zimekuwa zikijulikana kwa kuibua ufisadi kwenye Halmashauri mbalimbali nchini na...

Kutoka kulia ni Katibu mkuu wa Simba Patrick Kahemele akiwa na Rais wa klabu ya Simba Evance Aveva

23Nov 2016
Faustine Feliciane
Nipashe
*** Mkutano wa mabadiliko ya katiba hautambuliki, wenyewe wasema klabu si taasisi ya serikali na hailazimishwi...
Simba imepanga kukutana Desemba 11, mwaka huu katika Ukumbi wa Bwalo la Maofisa wa Jeshi la Polisi, Oysterbay, Dar es Salaam lengo likiwa ni kufanya marekebisho ya katiba yao ili waweze kuiendesha...

Hans van der Pluijm

23Nov 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Pluijm aliliambia Nipashe jana kuwa atafanya majukumu yake kwa kuzingatia mipaka na kubwa likiwa ni kusimamia programu mbalimbali za maendeleo ya klabu hiyo. Alisema mbali na kufanya mazungumzo...

kocha kinnah phiri

23Nov 2016
Faustine Feliciane
Nipashe
Wachezaji wa timu hiyo kwa sasa wapo kwenye mapumziko mafupi kabla hawajaingia kambini kujiandaa na mzunguko wa pili uliopangwa kuanza Desemba 17, mwaka huu. Akizungumza jana na gazeti hili, Ofisa...

Diana Edward

23Nov 2016
Faustine Feliciane
Nipashe
Akizungumza na gazeti hili jana, Diana, alisema anakwenda kwenye mashindano hayo kuiwakilisha nchi na anategemea kufanya vizuri. "Sapoti na maombi ya Watanzania yana nafasi kubwa kwangu kufanya...

Pages