NIPASHE

Rais Dk. john magufuli.

25Mar 2016
Veronica Assenga
Nipashe
Maadhimisho hayo yatakayofanyika kwa siku tatu, yatafunguliwa na Rais Dk. Magufuli Machi 30, mwaka huu na kufungwa na Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan, Aprili mosi, mwaka huu. Akizungumza na...

Kaimu Mkurugenzi Rasilimali Watu na Utawala wa TRA, Victor Kimaro.

25Mar 2016
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Kaimu Mkurugenzi Rasilimali Watu na Utawala wa TRA, Victor Kimaro, aliyasema hayo juzi, wakati wa kumalizika kwa mkataba wa makubaliano wa miaka minne waliongia JICA na Tanzania wenye thamani ya dola...
25Mar 2016
Hellen Mwango
Nipashe
Katika kesi hiyo, Kubenea anashitakiwa kwa kutoa lugha ya matusi kwa aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda, ambaye sasa ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam. Mapema wiki iliyopita,...
25Mar 2016
Raphael Kibiriti
Nipashe
Na kwa leo tunaendelea kuangalia namna mfanyabiashara wa ngazi yoyote, kwa maana yule wa chini, wa kati na mkubwa, anavyoweza kushiriki kwenye uwekezaji wa dhamana za serikali za muda mrefu. Hii...

Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Anne Kilango Malecela.

25Mar 2016
Anceth Nyahore
Nipashe
Mbali na kutoa ahadi hiyo kwenye kikao cha Kamati ya Ushauri ya Mkoa (RCC), kilichofanyika juzi mjini hapa, Kilango alisema ataebndeleza mapambano ya rushwa na ufisadi na kuwaondolea kero wananchi...

Rais wa Sudan kusin, Salva Kiiir.

25Mar 2016
Nipashe
Hiyo ni mara pili kwa uanachama wa taifa hilo kujadiliwa, safari hii ikifanikiwa. Ni mabadiliko yaliyoendana na kupatikana mwenyekiti mpya wa EAC, Rais Dk. John Magufuli na Katibu Mkuu mpya kutoka...
25Mar 2016
Restuta James
Nipashe
Kwamba wanafunzi katika Shule ya Msingi Zawa, Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu, wanalazimika kusoma darasa moja kwa kupeana migongo. Shule hiyo ina vyumba vitatu vyenye wanafunzi 513, kuanzia darasa...

tangawizi.

25Mar 2016
Leonce Zimbandu
Nipashe
Hiyo ni baada ya kufanyika kwa mafunzo na warsha (maarufu kwa jina la mafunzo ya Post Osaka), kwa viongozi wa Wilaya na Halmashauri wa Mkoa wa Kilimanjaro mwaka 2006. Mafunzo hayo yalilenga...

Naibu Waziri, Seleman Jafo.

25Mar 2016
Augusta Njoji
Nipashe
Sambamba na kulifunga, imetoa siku tano kwa Manispaa ya Dodoma kuhakikisha ngozi na vitu vyote vilivyomo kwenye ghala hilo vinatolewa, kutokana na kuendeshwa kinyume cha kanuni za afya. Naibu...
24Mar 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mbali na matarajio hayo ya wananchi, kauli za viongozi wa Ukawa kusema kuwa kuna ufisadi kwenye mikataba mbalimbali ukiwamo ule wa Shirika la Usafirishaji Dar es Salaam (Uda), zabuni mbalimbali...
24Mar 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
“Exim tumekuwa tukipambana kila siku kuhakikisha tunatoa huduma bora, za haraka na kwa usalama zaidi ili kuwaunganisha wateja wetu na fursa za kimataifa. Kwenye hili tunawahakikishia...

rais wa tff, jamal malinzi.

24Mar 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Wanaotakiwa kufika mbele ya kamati hiyo ni Masoud Mkelemi (mwamuzi wa mchezo), Ferydiane Machunde (mwamuzi wa mezani), Mosi Juma (kamishina wa mechi) na Salehe Mangola (mwamuzi wa akiba). Wengine...
24Mar 2016
Mhariri
Nipashe
Mwita alishinda nafasi hiyo kwa kupata kura 84 dhidi ya mpinzani wake, Yusuph Yenga, wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), aliyepata kura 67. Uchaguzi huo umefanyika kutokana na busara za Rais Dk. John...

naibu waziri wa fedha na uchumi, dk. ashiatu kijaji.

24Mar 2016
Romana Mallya
Nipashe
Mkuu wa Kitengo cha Usimamizi wa Mashine za Kieletroniki na Kodi Mkoa wa Kodi Temeke, Kennedy Sawaya, aliyasema hayo wakati wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chemba ya Wafanyabiashara, Viwanda na Kilimo...

Meneja Mkuu wa Tigo, Diego Gutierrez kulia na mkurugenzi Mtendaji wa DTBi, Mhandisi George Mulamula.

24Mar 2016
Frank Monyo
Nipashe
Akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam, Meneja Mkuu wa Tigo, Diego Gutierrez, alisema fedha hizo zitagharamia ada ya chuo, gharama za utafiti, malazi na chakula kwa kipindi cha...

Mkurugenzi Mkuu wa SSRA, Irene Isaka.

24Mar 2016
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Hatua hiyo imetokana na kuwapo kwa mikataba yenye utata, ambayo mifuko hiyo imeingia na taasisi za umma na wafanyabiashara mbalimbali, hivyo kusababisha utata na hasara. Mkurugenzi Mkuu wa SSRA,...

Mwenyekiti wa Kitongoji cha Mvumili, Albilahi Njonjo, ambaye amekatika mkono, akieleza yaliyomkuta. (PICHA NA ABDUL MITUMBA)

24Mar 2016
Abdul Mitumba
Nipashe
Miongoni mwa maeneo ambayo uwepo wa hifadhi za taifa zimechangia kuwepo migogoro katika jamii husika ni Wilaya ya Liwale, mkoa wa Lindi, nayozingirwa na Hifadhi ya Pori la Akiba la Selous wilayani...

treni ya abira.

24Mar 2016
Efracia Massawe
Nipashe
Meneja Biashara Mwandamizi wa TRL, Paul Baregu, alisema jijini Dar es Salaam juzi kuwa huduma hizo zilisitishwa mapema Januari, mwaka huu kutokana na mvua zilizoharibu miundombinu ya reli kati ya...

Naibu Katibu Mkuu wa CUF, Nassor Ahmed Mazrui.

24Mar 2016
Rahma Suleiman
Nipashe
Naibu Katibu Mkuu wa CUF, Nassor Ahmed Mazrui, alisema jana kuwa wawakilishi na madiwani wa CCM waliotangazwa na Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) katika uchaguzi wa marudio, hawawatambui hivyo...

uso ulioharibika na vipodozi.

24Mar 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Pia utafiti uliofanywa nchini na Profesa Msaidizi wa Chuo Kikuu cha Georgia, Atlanta, Marekani, Kelly Lewis wa kitengo cha Sosiolojia, kuhusu matumizi ya ‘mkorogo’ kwa wanawake nchini Tanzania,...

Pages