NIPASHE

22Nov 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari jana na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu, viongozi hao walizungumzia uhusiano na ushirikiano wa muda mrefu uliopo kati ya Tanzania na...
22Nov 2016
Mahmoud Zubeiry
Nipashe
***MO ajiandaa kuibadili kuwa ya kisasa zaidi baada ya kuamilika kwa mchakato...
Taarifa ya Simba kwa vyombo vya habari jana, imeeleza kuwa mkutano huo utafanyika Desemba 11, mwaka huu katika Ukumbi wa Bwalo la Maofisa wa Jeshi la Polisi, Oysterbay, Dar es Salaam. “Kamati ya...

Mzambia George Lwandamina.

22Nov 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Akizungumza na Waandishi wa Habari jana, Makamu Mwenyekiti wa Yanga, Clement Sanga amesema Lwandamina ataanza kazi rasmi mwishoni mwa mwezi. "Ni kweli tumeingia mkataba na George Lwandamina...

MAKAMU Mwenyekiti wa zamani wa Yanga, Isaac Shekiondo ‘Clinton’

22Nov 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Taarifa ya familia ilisema jana kwamba, msiba wa marehemu aliyefariki dunia baada ya kuugua kwa muda kwa sasa upo nyumbani kwake, Ilala Mchikichini Kota. Taarifa hiyo imesema shughuli za kuuaga...

Toto Africans.

22Nov 2016
Mahmoud Zubeiry
Nipashe
Akizungumza na Nipashe kwa simu jana kutoka Mwanza, Ngassa alisema baada ya mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu, waligundua kasoro kadhaa kwenye kikosi chao na sasa wanajaribu kuzifanyia kazi. “...

Mkuu wa Mkoa, Meja Jeneral mstaafu Salim Kijuu.

22Nov 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Akizungumza na Nipashe kwenye kata ya Hamgembe, Manispaa ya Bukoba jana, Sarah alisema amekuwa akiishi kwenye hema ambalo alipewa msaada siku tatu baada ya tetemeko la ardhi la Septemba 10, ambalo...
21Nov 2016
Sanula Athanas
Nipashe
Rais Magufuli, pasi na kutaja sababu, alitengua uteuzi wa Mwenyekiti wa bodi hiyo, Bernard Mchomvu na kuivunja. Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais,...
21Nov 2016
Daniel Mkate
Nipashe
Wananchi walitaka kumsalimia Lowassa baada ya kugundua ni mmoja wa viongozi wa chama hicho walio kikaoni, katika mji mdogo wa Kibaigwa, wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma. Akizungumza na Nipashe jana...
21Nov 2016
Christina Mwakangale
Nipashe
Mchakato wa upatikanani wa katiba mpya upo katika hatua ya kupigiwa kura ya maoni, hata hivyo, na msimamizi wa zoezi hilo, Tume ya Uchaguzi (NEC) inasubiri fedha za kuiendesha. Wakati wa mazungumo...
21Nov 2016
Frank Monyo
Nipashe
Akizungumza jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki, Mwenyekiti wa Taasisi hiyo, Ras Mabondo Makonnen, alisema kuwa wanahitaji msaada wa kuwezeshwa kutoka Serikalini ili kuweza kutengeneza ajira...
21Nov 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kwa ujumla Taifa Stars, inayofundishwa na Nahodha wake wa zamani, Boniface Mkwasa ilicheza ovyo siku hiyo na ilistahili kipigo hicho. Mshambuliaji wa K.V. Oostende ya Ubelgiji, Knowledge Musona...
21Nov 2016
Abdul Mitumba
Nipashe
Ligi hizo ni Ligi Kuu Tanzania Bara (VPL), Ligi Daraja la Kwanza (FDL), Ligi ya Taifa ya Wanawake (WNL) na Ligi ya Vijana wenye umri chini ya miaka 20. Katika ligi zote hizo, jumla ya timu 62...
21Nov 2016
Adam Fungamwango
Nipashe
Timu ya Azam FC, imekuwa kinara wa kushinda mechi nyingi za ugenini hadi kumalizika kwa mzunguko huo ikizipiku Simba na Yanga zilizopo juu katika msimamo wa ligi hiyo. Simba inaongoza ligi ikiwa...
21Nov 2016
Adam Fungamwango
Nipashe
Hii ni baada ya beki Paschal Serge Wawa kumaliza mkataba na klabu hiyo na kutoongezwa tena mwingine. Kocha Mkuu wa Azam FC, Zeben Hernandez anaonekana kutomkubali beki huyo. Labda ni kwa sababu...
21Nov 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Azam inataka kuboresha zaidi kikosi chake kwa kumsajili winga huyo wa Mwadui FC ya Shinyanga, Kabunda. Kocha wa Mwadui FC, Khalid Adam, aliiambia Nipashe juzi kwamba Azam FC wanapaswa kufuata...

Bondia Nasibu Ramadhani Kushoto akitunishiana misuli na Mohamed Matumla.

21Nov 2016
Mahmoud Zubeiry
Nipashe
Mtoto huyo wa Bingwa wa zamani wa Dunia wa WBU uzito wa Light-Middle, Rashid Matumla, atapanda ulingoni Novemba 27, mwaka huu kwenye ukumbi wa Musoma Bar, Dar es Salaam kupigana na Abdallah Zamba,...
21Nov 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Samatta aliingia uwanjani dakika ya 84 kuchukua nafasi ya mshambuliaji Mgiriki, Nikolaos Karelis, katika mchezo ambao magoli ya Genk yalifungwa na beki wa Mali, Ibrahim Diallo dakika ya 20 na...
21Nov 2016
Mahmoud Zubeiry
Nipashe
***Busungu apata ajali, mwenyekiti wa zamani wa klabu hiyo afariki dunia baada ya kuugua…
Hata hivyo, bahati nzuri mchezaji huyo hakuumia zaidi ya gari lake aina ya Subaru kuharibika vibaya eneo lote la mbele. Meneja wa Busungu, Mohammed Yahya ‘Tostao’ aliliambia Nipashe jana kwamba,...
21Nov 2016
Idda Mushi
Nipashe
Kaimu Kamanda wa kikosi hicho, Vedasto Ayo, alitoa takwimu hizo wakati wa kufunga maadhimisho ya wiki ya nenda kwa usalama barabarani Mkoa wa Morogoro, yaliyofanyika kimkoa wilayani Kilosa na kusema...
21Nov 2016
Stephen Chidiye
Nipashe
Hayo yalibainishwa na Meneja wa Bodi ya Korosho Tawi la Tunduru, Jafari Matata, wakati akitoa maelekezo yanayotakiwa kufuatwa na wanunuzi wa zao hilo katika mnada wa pili wa kuuza korosho za wakulima...

Pages