NIPASHE

Mkurugenzi wa Sera Utafiti na Ushauri wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF), Gili Teri.

31Mar 2017
Romana Mallya
Nipashe
Mkurugenzi wa Sera Utafiti na Ushauri wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF), Giliad Teri, aliyasema hayo jana wakati wadau wa sekta binafsi walipokutana kuangalia maendeleo ya utekelezaji wa...

Katibu Mkuu wa Chadema Bara, John Mnyika.

31Mar 2017
Dege Masoli
Nipashe
Kwa mujibu wa Chadema, mgogoro huo ndani ya CUF, lengo ni serikali kudhoofisha Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) ili kuvigawa vyama vinavyoiunda. Akizungumza katika kikao maalumu cha Baraza la...
31Mar 2017
Elizaberth Zaya
Nipashe
Kiasi hicho cha fedha kingetumika kama wagonjwa hao wangesafirishwa nje ya nchi kutibiwa. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Mkurugenzi wa Huduma ya Upasuaji wa taasisi...

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa.

31Mar 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Majaliwa alitoa kauli hiyo jana wakati akizungumza na watumishi wa Halmamshauri ya Chalinze na wa Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira (Chaliwasa) katika ofisi zao, karibu na daraja la Mto Wami...
31Mar 2017
Raphael Kibiriti
Nipashe
Na kutambua afya ya wananchi wake, kuna njia nyingi, lakini moja iliyo ya uhakika ni ya kuzitalii takwimu za afya za makundi mbalimbali ya wananchi wake. Kwa mfano unaweza ukaangalia takwimu za...
31Mar 2017
Mhariri
Nipashe
Kamati hiyo iliyojaa maprofesa na madaktari, iliundwa juzi na Rais John Magufuli kufanya uchunguzi kwa lengo la kubaini kiwango cha madini yaliyomo katika makontena yenye mchanga wa madini...
31Mar 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa jana kwa vyombo vya habari na Ofisa Uhusiano na Habari wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Makao Makuu, Mussa Misalaba, hukumu hiyo ilitolewa na...

George Simbachawene.

31Mar 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kwa mujibu wa tangazo lililotolewa Machi 20, mwaka huu na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dk. Laurian Ndumbaro, uhakiki wa vyeti vya elimu na taaluma...
31Mar 2017
Hellen Mwango
Nipashe
Jaji Ama-Isaria Munisi alitengua hukumu hiyo dhidi ya Lijualikali wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) baada ya kukubaliana na warufani kwamba hati ya mashtaka iliyomtia hatiani ilikuwa na...
30Mar 2017
Christina Mwakangale
Nipashe
Inatumika katika maeneo mengi kila siku na watu toka enzi na enzi. Miongoni mwa matumizi yake ni kupakwa kwenye majengo mbalimbali ikiwamo makazi ya watu ama ofisi, majengo ya kibiashara na maeneo...
30Mar 2017
Raphael Kibiriti
Nipashe
Mada hii imepewa kipaumbele katika ngazi zote za kiutawala miongoni mwa mataifa yaliyoendelea na yanayoendelea kuwa ni mojawapo ya suala lenye uzito stahiki kwenye mikono ya Umoja wa Mataifa (UN...

Mojawapo ya makongamano yaliyofanyika kuzungumzia Kifua Kikuu Zanzibar, kama sehemu ya maadhimisho ya siku ya Kifua Kikuu Duniani.PICHA: MTANDAO

30Mar 2017
Rahma Suleiman
Nipashe
Licha ya WHO kupambana na maradhi hayo, bado hali si ya kuridhisha kutokana na idadi kubwa ya wanaogua kifua kikuu. Tatizo la kifua kikuu Duniani, Bara la Afrika,Tanzania na kwa hali hiyo...
30Mar 2017
Frank Monyo
Nipashe
Hii inatokana na ukosefu wa elimu ya afya ya uzazi unaosababishwa na imani potofu na uelewa mdogo miongoni mwa jamii kwamba kumpatia elimu hiyo kijana, ni sawa na kumruhusu kufanya ngono. Uelewa...

MKUU wa Wilaya ya Mbulu, Chelestino Mofuga.

30Mar 2017
John Ngunge
Nipashe
Alimtaka Ofisa Mtendaji huyo kushirikiana na wazazi au walezi wa watoto hao ili waanze shule mara moja la sivyo wafikishwwe mahakamani. Alitoa agizo hilo baada ya ziara yake ya kushtukiza shuleni...
30Mar 2017
Godfrey Mushi
Nipashe
Kwa mujibu wa Mkuu wa Idara ya Watoto katika hospitali hiyo, Dk. Grace Kinabo, katika kipindi cha miaka mitano, jumla ya watoto 27 wametelekezwa na wazazi wao hospitalini hapo baada ya kuzaliwa. “...
30Mar 2017
Ahmed Makongo
Nipashe
Usiku wa kuamkia juzi amelazimika kuacha makazi yake na kwenda kulala kwa mwenyekiti wa kitongoji hicho kwa kuhofia kuuawa kwa kuchomwa kisu na mtu anayedaiwa kuwa mjomba wake. Akizungumza mjini...
30Mar 2017
Renatha Msungu
Nipashe
Juzi na jana wanachama wa umoja huo walisitisha kufanya kazi kwa kugomea kiwango hicho kipya na kuegesha malori yao katika uwanja wa Barafu mjini humo. Akizungumza na Nipashe jana, Katibu wa...

Jaji Mfawidhi Kanda ya Mwanza, Robert Makaramba.

30Mar 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Hatua hiyo imelenga kuendana na azma ya Mahakama ya Tanzania ya kutokuwa na mrundikano wa kesi katika mahakama za ngazi zote nchini. Hayo yalisemwa na Jaji Mfawidhi Kanda ya Mwanza, Robert...

Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Profesa Adolf Mkenda.

30Mar 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Akizungumza kwa niaba ya Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Profesa Adolf Mkenda, Mkurugenzi Msaidizi Sera na Utafiti wa wizara hiyo, Alfred Mapunda alisema kuna fursa nyingi...

Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango.

30Mar 2017
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Akiwasilisha mapendekeza hayo ya serikali kuhusu mpango wa maendeleo ya taifa na kiwango cha ukomo wa bajeti kwa mwaka ujao wa fedha, Dk. Mpango alibainisha changamoto tano zinazowakabili katika...

Pages