NIPASHE

Waziri wa Elimu Prof. Joyce Ndalichako

29Jun 2016
Paul Mabeja
Nipashe
Hayo yalibanishwa jana katika taarifa iliyotolewa jana kwa vyombo vya habari mjini hapa na Msemaji wa Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Rebecca Kwandu. Kwandu alisema...

Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Khalid Salum Mohamed

29Jun 2016
Rahma Suleiman
Nipashe
Akizungumza na waandishi wa habari visiwani hapa jana, Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Khalid Salum Mohamed, alisema kati ya watendaji hao wamo wahasibu wakuu wa wizara sita wanaohusika na upotevu...
29Jun 2016
Hellen Mwango
Nipashe
Uamuzi huo ulitolewa jana baada ya Wakili wa Serikali, Paul Kadushi, kuomba mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba, kwamba upande wa Jamhuri unataka kufuta shtaka la kwanza na la tano dhidi ya...
29Jun 2016
Beatrice Shayo
Nipashe
Katika vijiji vya Katumbi na Nkonkwa, kata ya Buhingu, kuna zahanati mbili ambazo kila moja ina mtumishi mmoja na kusababishia kufanya kazi katika mazingira magumu na wakati mwingine kutibu wagonjwa...

Rais John Magufuli

29Jun 2016
Fredy Azzah
Nipashe
Baada ya watafiti kutoka Uingereza na Norway, kutangaza kugundua kiasi kikubwa cha gesi aina ya Helium, inayotumika kwenye mashine za uchunguzi wa binadamu za MRI, nyukilia na elektroniki. Kwa...
29Jun 2016
Godfrey Mushi
Nipashe
Akyoo, anadaiwa kuchapwa zaidi ya viboko 70 na kundi la vijana wa rika wa kabila la Wameru, baada ya mwenyekiti wa kijiji hicho, aliyetajwa kwa jina la Augusti Kawau (49), kudaiwa kutoa amri ya...
29Jun 2016
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Kipigo hicho, ambacho siyo tu kiliporomosha huzuni kwa mashabiki wa Yanga, lakini pia kimeiweka kwenye wakati mgumu ndani ya kundi lake. Mazembe sasa wamefikisha pointi sita baada ya kushinda...
29Jun 2016
Na Waandishi Wetu
Nipashe
*Ni maumivu ya bajeti ya 2016/17, wachumi waonya jasho litawatoka wengi, watoa sababu., Wanaoishi kama malaika kuanza maisha ya kishetani"
Wachumi hao wamesema wananchi watalazimika kuingia zaidi mfukoni kulipa kodi mpya zilizoanzishwa na kugharamia huduma ama kununua bidhaa ambazo bei zake zitaenda juu kutoka ongezeko la kodi....
28Jun 2016
Barnabas Maro
Nipashe
Ni nasaha ya kutowadharau wazee kwa kuwa wana busara inayotokana na uzoefu wa miaka mingi maishani. Sijisifu, ila kwa umri nilio nao, Alhamdulillahi! (tamko la kuonesha shukurani kwa Mwenyezi Mungu)...
28Jun 2016
Charles Kayoka
Nipashe
Madini ni sekta inayoweza kuwadanganya watu na kuwafanya waache kufanyia kazi katika sekta zingine kwa sababu shughuli hii huleta fedha za harakaharaka. Lakini wakazi hao hao walikuwa...
28Jun 2016
Francis Kajubi
Nipashe
Hayo yalibainishwa na wadau kuwa, nchi nyingi za Kiafrika hazina sensa sahihi ili kuwabaini watu wenye ualbino iwe katika ngazi ya mikoa ama kitaifa. Pia hakuna takwimu za kiutafiti kubaini ni...

tabora high-school

28Jun 2016
Halima Ikunji
Nipashe
Rais, mawaziri wakuu,viongozi wa mihimili yote ya serikali na gavana wa BoT
Mbali na kugongana kwa mwaka huo wa kuzaliwa, ndiko Mwalimu Nyerere alikopata elimu yake ya sekondari, ambayo ina mchango mkubwa wa kumfikisha kwenye Chuo Kikuu cha Afrika Mashariki wakati huo-...
28Jun 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Akizungumza na waandishi wa habari baada ya kusomwa kwa hukumu hiyo, hakimu aliyesikiliza kesi hiyo aliyeomba jina lake lisitajwe, alisema mbali na adhabu hiyo pia mahakama imemwamuru askari huyo...
28Jun 2016
John Ngunge
Nipashe
Changamoto hiyo imetolewa na Katibu Tawala wa Mkoa wa Ausha, Richard Kwitega, wakati akifungua mafunzo ya uelimishaji, wazalishaji wa vyakula, kuhusu umuhimu wa kuzalisha bidhaa bora zenye viwango na...
28Jun 2016
Beatrice Shayo
Nipashe
Wananchi hao wanaotoka katika vijiji vya Katumbi, Nkonkwa na Rukungwe, vinavyopakana na Hifadhi ya Taifa ya Milima ya Mahale, wamesema vikundi vyao vinaweka fedha nyingi kwenye masanduku ya mbao,...

Daraja la Mungu lililopo rungwe.

28Jun 2016
Emanuel Legwa
Nipashe
Hayo yalisemwa jana na Ofisa Utalii wa Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe, Witilwa Nkondora, wakati akisoma risala mbele ya kiongozi wa mbio za Mwenge kitaifa, George Mbijima. Mwenge huo ulizindua...

jiji la paris ufaransa

28Jun 2016
Faustine Feliciane
Nipashe
Bakati, mwanafunzi wa kidato cha tatu katika Shule ya Sekondari Kibasila, amepata nafasi hiyo baada ya kuonyesha uwezo mkubwa kwenye michezo hiyo ya Umisseta iliyofanyika kwa ushirikiano wa Kampuni...

Patrick Kahemela

28Jun 2016
Faustine Feliciane
Nipashe
Mwenyekiti wa tawi maarufu la Simba, Mpira pesa, Ustadhi Masoud alisema kuwa hawana shaka na uwezo wa kahemela na wanaamini atasaidia kuipa mafanikio timu hiyo. "Unajua nafasi ya katibu mkuu...

Simon Msuva.

28Jun 2016
Faustine Feliciane
Nipashe
Msuva ambaye pia hakuvaa jezi kwenye mchezo wa kwanza dhidi ya Mo Bejaia nchini Algeria na kulala bao 1-0, anaukosa mchezo wa leo kutokana na kusumbuliwa na homa ya malaria. Meneja wa timu hiyo,...
28Jun 2016
Faustine Feliciane
Nipashe
***Ni mechi ya kuwania Kombe la Shirikisho Afrika kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam...
Hata hivyo, kujazana kwao uwanjani hakutakuwa na maana iwapo kikosi hicho cha Kocha Hans van der Pluijm kitashindwa kuondoka na pointi tatu. Katika mchezo wa kwanza wa mashindano hayo dhidi ya Mo...

Pages