NIPASHE

Rais Donald Trump .

29Mar 2017
Joseph Mwendapole
Nipashe
Trump na chama chake cha Republican walionekana tangu mwanzo wakipania kuufuta kabisa mpango huo maarufu kama ObamaCare, lakini maandamano ya wananchi kutaka mpango huo uendelee yamekuwa yakiendelea...

aliyekuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye.

29Mar 2017
Michael Eneza
Nipashe
Alisema kuwa kujiuzulu kwake kwa shinikizo la Bunge ni ajali ya kisiasa na kwa maana hiyo akamhitaji swahiba wake huyo wa kisiasa kuielewa hali hiyo. Ndiyo baadhi wanavyomwambia Nape, sasa. Dhana...
29Mar 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mwandishi wa makala haya ameshawishika kuurejea mjadala mzima wa katiba mpya kwa maslahi ya taifa letu la Tanzania hasa kwa yale yanayojiri sasa ambayo ni kiashiria cha kuwapo kwa katiba mbaya...

Naibu katibu mkuu wa chama hicho Zanzibar Vuai Ali Vuai.

29Mar 2017
Rahma Suleiman
Nipashe
Kwa kuwa Ofisi Kuu ya Chama hicho ipo katika eneo la Barabara kuu inayotoka Micheza kuelekea Darajani,waendashaji wa vyombo vya usafiri barabarani na wale waenda kwa miguu katika eneo hilo walikuwa...

MSAJILI wa Hazina, Dk. Oswald Mashindano.

29Mar 2017
Augusta Njoji
Nipashe
Kauli hiyo aliitoa katika kikao cha kamati ya Bunge ya Uwekezaji na Mitaji ya Umma (PIC), cha kupokea, kujadili na kuchambua taarifa ya Msajili wa Hazina kuhusu Uwekezaji na utendaji wa Mamlaka ya...
29Mar 2017
Peter Mkwavila
Nipashe
Wakizungumza kwa nyakati tofauti na Nipashe jana, Mwenyeviti wa mtaa ya Muugano, Athanas Sajilo, na wa mtaa wa Mbalawala, Charles Nghambi, alisema kumekuwapo na walanguzi wakipita shambani kuwahadaa...
29Mar 2017
Augusta Njoji
Nipashe
Kauli hiyo waliitoa walipokuwa wakijadili taarifa ya utekelezaji wa bajeti ya mwaka 2016/17, kwa taasisi za Wizara ya Nishati na Madini ikiwa ni pamoja Wakala wa madini nchini (TMAA), Shirika la...
29Mar 2017
Mwinyi Sadallah
Nipashe
Ushauri huo umetolewa na Meneja wa hoteli ya Marumaru, Hemantha Welaratne, baada ya Zanzibar kufanikiwa kutoa tuzo ya dhahabu ya huduma bora kati ya nchi 40 zilizoshirikishwa katika utoaji wa huduma...
29Mar 2017
Faustine Feliciane
Nipashe
Morris ambaye alikuwa nje kwa wiki mbili kutokana na kuwa majeruhi wa paja, juzi alianza mazoezi na timu hiyo kuashiria kupona maumivu yaliyokuwa yakimkabili. Akizungumza na Nipashe jana, Morris,...

Nadir Haroub 'Cannavaro',.

29Mar 2017
Faustine Feliciane
Nipashe
Cannavaro, alilimbia Nipashe jana kuwa, wanataka kubaki kwenye mbio za ubingwa na wanafahamu kupoteza mchezo huo watakuwa wamejiweka katika wakati mgumu kutetea ubingwa wao. Alisema anafahamu Azam...

MKUU wa Wilaya ya Mbozi mkoani Songwe, John Palingo.

29Mar 2017
Ibrahim Yassin
Nipashe
Viongozi hao, Charles Mwawalo, Frankson Hayola, Karoraiti Shombe na Kawawa Sichone, wanatuhumiwa kutumia Sh. milioni moja na mbao 20 za ujenzi wa zahanati kwa matumizi binafsi. Palingo alisema...
29Mar 2017
Gurian Adolf
Nipashe
Ng’ombe hao wakiwa katika makundi tofauti, walivamia msitu huo katika jitihada za kutafuta malisho na kuuharibu kabisa msitu huo unaohifadhiwa na Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi. Mkuu wa Wilaya ya...

NAIBU Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, anayeshughulikia Nishati, Dk. Juliana Pallangyo.

29Mar 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Watalaam hao wanatoka katika wizara na taasisi mbalimbali za serikali kwa lengo la kuwajengea uwezo wa kukabiliana na changamoto zinazojitokeza wakati wa ufungaji wa migodi nchini. Mafunzo hayo...
29Mar 2017
Kanani Julianusi
Nipashe
Waliohukumiwa kutumikia kifungo hicho ni Michael Machiya (25) mkazi wa kijiji cha Itagata, Manyoni mkoani Singida na Sanyiwa Mbulu (25) mkazi wa kijiji cha Mgoroka, Mpanda mkoani katavi. Akitoa...
29Mar 2017
Ibrahim Yassin
Nipashe
Kwa kiasi kikubwa, mauaji hayo yanatokana na kuwapo kwa imani za kishirikina kwa baadhi ya watu kufanya hivyo kwa matumaini ya kupata mafanikio baada ya kupigiwa ramli na waganga wa vienyeji....

Mtendaji Mkuu wa TBA, Mhandisi Elius Mwakalinga.

29Mar 2017
Mary Geofrey
Nipashe
TBA imekuwa ikigharamia huduma za umeme na maji maeneo ambako wanajenga nyumba za serikali kutokana na taasisi hizo za umma kudai hazina bajeti ya miradi yao. Mwenyekiti wa PAC, Japheth Hasunga,...
29Mar 2017
Halfani Chusi
Nipashe
Mwanafalsafa mmoja aliwahi kusema siasa ni vita ya maneno bila bunduki, pia akaongeza mambo ya kisisa isiwe chanzo cha chuki mitaani au kuwa chambo cha uchochezi wa migogoro baina ya mtu na watu....
29Mar 2017
Mhariri
Nipashe
Kamati hiyo iliyoundwa na Majaliwa kuchunguza utaratibu uliotumika kumhamisha Faru John kutoka Hifadhi ya Ngorongoro kwenda Sasakwa Black Rhino Sanctuary iliyoko kwenye Hifadhi ya Grumeti Serengeti,...

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akiangalia ‘mchanga’ wa dhahabu (concentrate) katika mgodi wa Buzwagi, uliopo Kahama mkoani Shinyanga juzi.

29Mar 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Majaliwa alisema wanataka kujua mchanga (concentrate) unaosafirishwa na mwekezaji huyo una kiasi gani cha dhahabu na pia serikali inataka kufahamu kama kodi inayolipwa ni sahihi. Tayari Rais John...

Neema Wambura.

29Mar 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Neema Wambura, maarufu kama ‘Mgonjwa wa Magufuli’ alisema hayo jana alipotembelewa na waandishi wa habari katika Hospitali ya Taifa Muhimbili ambako alilazwa kwa ajili ya kupatiwa matibabu baada ya...

Pages