NIPASHE

Neema Wambura.

29Mar 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Neema Wambura, maarufu kama ‘Mgonjwa wa Magufuli’ alisema hayo jana alipotembelewa na waandishi wa habari katika Hospitali ya Taifa Muhimbili ambako alilazwa kwa ajili ya kupatiwa matibabu baada ya...
29Mar 2017
Hellen Mwango
Nipashe
Kutokana na madai hayo, Muhibu ambaye pia anashitakiwa na tuhuma mbalimbali za uhalifu, ameomba mahakama kutopokea maelezo hayo kwa madai kuwa askari polisi aliyemhoji hakumjulisha kama maelezo hayo...
28Mar 2017
Cynthia Mwilolezi
Nipashe
Ushauri huo aliutoa , mwishoni mwa wiki alipotembelea wodi ya akina mama waliojifungua katika Hospitali ya Mkoa wa Arusha ya Mount Meru. Alisema hali ya maisha kwa sasa ni ngumu sana, hivyo...
28Mar 2017
Cynthia Mwilolezi
Nipashe
Baadhi ya wakulima hao kutoka kata za Nkoarisambu, Mbuguni, Majengo, Shambarai Burka, Maroroni na Makiba, walisema hayo wakati wakitoa mrejesho wa mradi huo na jinsi walivyonufaika wakati...
28Mar 2017
Godfrey Mushi
Nipashe
Hali hiyo inatokana na amri ya mkuu wa wilaya hiyo, Gelasius Byakanwa ya kuagiza watuhumiwa hao wakamatwe kufikia ukomo wake Aprili 2, mwaka huu. Mkuu huyo wa wilaya alitoa amri ya kukamatwa kwa...

Ofisa Mahusiano na Habari wa TAS, Josephat Torner.

28Mar 2017
Marco Maduhu
Nipashe
Wito huo ulitolewa na Ofisa Mahusiano na Habari wa TAS, Josephat Torner, wakati wa ibada ya Jumapili katika kanisa la KKKT Usharika wa Ebenezer Kanisa Kuu Dayosisi ya Kusini Mashariki ya Ziwa...
28Mar 2017
Renatha Msungu
Nipashe
Akizungumza na Nipashe mwishoni mwa wiki, Mwenyekiti wa Wajasiriamali Mkoa wa Dodoma, Haruna Kifimbo, alisema uandikishaji wa wajasiriamali na taasisi zitakazoshiriki maonyesho hayo yanaendelea kwa...

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba.

28Mar 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mwigulu amesema kama Jeshi la Polisi litafanya kazi kwa uadilifu, litaongeza imani na ushirikiano katika kukomesha vitendo vya uhalifu nchini. Aliyasema hayo alipokuwa akifungua kikao kazi cha...

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi, Dk. Leonard Akwilapo.

28Mar 2017
Beatrice Shayo
Nipashe
Hayo yalisemwa na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi, Dk. Leonard Akwilapo, wakati wa kufunga kongamano la tano la masuala ya uongozi wa elimu lililoandaliwa na Chuo...

vifaa vinavyotumika kwa kukeketa.

28Mar 2017
Elizaberth Zaya
Nipashe
Akizungumza na katika mdahalo wa kutoa elimu kuhusu vitendo vya ukatili wa kijinsia katika Viwanja wa Mbigiri, Kata ya Yombo Wilaya ya Temeke Dar es Salaam juzi, Mwanasheria wa WLAC, Viviane...

Meya wa Manispaa ya Ilala, Charles Kuyeko.

28Mar 2017
Mary Geofrey
Nipashe
Huduma hiyo ilitolewa na CLubs ya Lion kwa kushirikiana na benki ya DTB katika Shule ya Msingi Chanika na madaktari bingwa tisa wa macho walitoa huduma hiyo. Meya wa Manispaa ya Ilala, Charles...
28Mar 2017
Christina Mwakangale
Nipashe
Kilichojitokeza siku hiyo ni mwitikio mzuri wa watu katika maeneo mengi nchini . Wananchi pamoja na viongozi kuanzia ngazi za mtaa, kijiji hadi taifa walishiriki kufanya usafi kikamilifu. Huo...
28Mar 2017
Mhariri
Nipashe
Idara hiyo ni muhimu sana kwa kuwa majukumu yake ya kusimamia shughuli zote za Idara ya Uhamiaji, zikiwamo za kutoa uraia, hati za kusafiria na vibali vya kazi zinazowagusa wengi. Hata hivyo,...

Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Salum Mayanga.

28Mar 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Salum Mayanga, alisema jana kuwa wachezaji wake wamejipanga kuendeleza jitihada walizozionyesha katika mechi iliyopita kwa lengo la kusaka ushindi wa pili mfululizo....
28Mar 2017
Somoe Ng'itu
Nipashe
***Ni katika kipindi hiki kigumu ikikabiliwa na mechi tatu ngumu ambazo...
Hata hivyo, nyota huyo alikuwa akifanya mazoezi mepesi 'maalum' kutokana na maelekezo ya daktari wake. Akizungumza na gazeti hili jana, Meneja wa Yanga, Hafidh Saleh, alisema kuwa mshambuliaji...

KIPA chaguo la kwanza katika kikosi cha Simba, Daniel Agyei.

28Mar 2017
Somoe Ng'itu
Nipashe
Akizungumza na gazeti hili jana, Agyei, alisema kuwa amejipanga kuhakikisha timu yake inatimiza malengo ya kukata tiketi ya kushiriki mashindano ya kimataifa mwakani. Agyei alisema kuwa changamoto...

KOCHA Mkuu wa Kagera Sugar, Mecky Maxime.

28Mar 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kagera Sugar inatarajia kuwakaribisha Simba katika mechi ya Ligi Kuu Tanzania Bara itakayofanyika Jumapili kwenye Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba. Maxime aliliambia gazeti hili jana kuwa lengo la...
28Mar 2017
Idda Mushi
Nipashe
Mwenyekiti wa kamati hiyo, Atashasta Nditiye, alisema mikataba imeonekana kutokuwa wazi kuhusiana na mambo mbalimbali yaliyoelezwa na uongozi wa kampuni hiyo. Akizungumza baada ya kamati...
28Mar 2017
Charles Kayoka
Nipashe
Baadhi yao wanatoa taarifa za uwongo, na hasa katika kipindi hiki cha uchaguzi. Makala yangu ya awali niliuliza Wasomaji ni wapi tulikosewa na Serikali na baadaye Bunge katika kupitisha sheria ya...
28Mar 2017
Barnabas Maro
Nipashe
Kuna makala niliyoandika kuwasahihisha waandishi wanaomwandika Edward Lowassa kuwa Waziri Mkuu ‘mstaafu.’ Niliandika kuwa yeye hakustaafu bali alijiuzulu; kwamba iandikwe Waziri Mkuu aliyejiuzulu...

Pages