NIPASHE

11Mar 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Ofisa Maendeleo ya Jamii wa Halmashauri ya Wilaya ya Karagwe, Adeodata Peter, alisema wanafunzi 25 walipata mimba, wanne waliolewa na tisa walitoroshwa na kuacha masomo kwa mwaka 2016. Adeodata...

Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo, Scholastica Kevela.

11Mar 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Angalizo hilo limetolewa na Kampuni ya Udalali ya Yono, ambayo imetangaza operesheni ya kuwaondoa kwenye majengo wafanyabiashara ambao wamepanga kwenye majengo ya Wakala wa Majengo Tanzania (TBA)...

Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Kimataifa la Maendeleo la Land O’ Lakes nchini, Dk. Rose Kingamkono.

11Mar 2017
Raphael Kibiriti
Nipashe
Kauli kuhusu hilo ilitolewa na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Kimataifa la Maendeleo la Land O’ Lakes nchini, Dk. Rose Kingamkono, kwenye mkutano wa kuelezea utendaji wa shirika hilo, uliohusisha...

MKURUGENZI wa Mashtaka Zanzibar, Mzee Ibrahim Mzee.

11Mar 2017
Rahma Suleiman
Nipashe
Akizungumza na Nipashe, alisema takwimu za vitendo hivyo vinaonesha kuwa hali inazidi kuwa mbaya na kueleza kuwa tayari vyombo vinavyohusika vimeshakaa na kutafakari kwa kina kuhusu ongezeko hilo na...
11Mar 2017
Mary Geofrey
Nipashe
Wawekezaji hao wanadaiwa kupewa migodi, sehemu za ranchi za kufugia na mashamba makubwa. Msomi Maarufu wa Afrika na Duniani, Profesa Samir Amin, amesema nguvu ya uchumi wa Afrika ipo mikononi mwa...
11Mar 2017
Barnabas Maro
Nipashe
Methali hii hutumiwa kumtia mtu moyo anapokabiliana na hali ngumu kumshajiisha kuwa ni lazima atauona mwisho wa hali hiyo. Yanazungumzwa mengi kuhusu mechi ya leo kati ya Yanga na Zanaco ya...
11Mar 2017
Mhariri
Nipashe
Wawakilishi hao kwa sasa wapo hapa nchini kucheza na wawakilishi wa Tanzania Yanga kwenye michuano ya Ligi ya mabingwa Afrika. Mchezo huo wa kwanza unachezwa leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar...

waziri wa elimu, profesa joyce ndalichako.

11Mar 2017
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Shule hiyo ina vifaa vya kisasa vya sayansi kwenye maabara zake za Fizikia, Kemia na Baiolojia. Pia vifaa vya maabara ya somo la kompyuta, nyumba za walimu 36, maji na ukuta mkubwa wa kuzunguza eneo...
11Mar 2017
Renatha Msungu
Nipashe
Polisi walikamata shehena hiyo ya viroba kwa kushirikiana na Mamlaka ya Udhibiti wa Chakula na Dawa (TFDA) na Mamlaka ya Mapato Tanzani (TRA). Kamanda wa Polisi mkoani hapa, Lazaro Mambosasa,...
11Mar 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Wafanyabiashara watakaokutwa na zahama hiyo ni mamalishe 300 na mafundi cherehani 330 huku jengo hilo likikosa madirisha, kutanda giza na wanatumia vibatari mchana kutokana na mfumo wa umeme...
11Mar 2017
Christina Mwakangale
Nipashe
Mwanasiasa huyo ambaye aliwahi kushika nafasi mbalimbali katika serikali ukiwamo ubunge, ukuu wa wilaya, ukuu wa mkoa na uwaziri pamoja na Chama Cha Mapinduzi (CCM), alisema mambo yote mazuri...

Kamishna wa Sekretarieti hiyo, Jaji Mstaafu Harold Nsekela.

11Mar 2017
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Chini ya mfumo huo, viongozi wa umma wametakiwa kuorodhesha mali zao pasipo kudanganya wala woga katika Sekretarieti ya Maadili ya Viogozi wa Umma. Kamishna wa Sekretarieti hiyo, Jaji Mstaafu...

WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye.

11Mar 2017
Nebart Msokwa
Nipashe
Akizungumza na gazeti hili jana, Mratibu wa mbio hizo ambaye ni Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Tulia Akson alisema kuwa mbio hizo zitahusisha wanariadha maarufu, viongozi wa...
11Mar 2017
Somoe Ng'itu
Nipashe
Kocha Mkuu wa Simba, Joseph Omog, aliomba mechi hiyo ya kirafiki ili kuwafanya wachezaji wake waendelee kuwa na 'joto' la mashindano wakati michezo ya Ligi Kuu Bara imesimama kwa muda. Omog...

Mbwana Samatta.

11Mar 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Katika mchezo huo uliofika juzi usiku kwenye Uwanja wa Ghelamco- Arena mjini Gent, nahodha huyo wa timu ya Taifa ya Tanzania, Samatta alifunga mabao katika dakika ya 41 na 72. Magoli mengine ya...
11Mar 2017
Faustine Feliciane
Nipashe
***Nyota hao wamekuwa kwenye kiwango kikubwa msimu huu, Azam kushuka Uwanjani kesho...
Yanga inacheza na Zanaco leo kwenye Uwanja wa Taifa kuanzia saa 10:00 jioni ukiwa ni mchezo wa kwanza wa Ligi ya Mabingwa Afrika. Msuva na Chirwa wamekuwa kwenye kiwango cha juu huku wakiisaidia...
11Mar 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Matumizi ya pambo hili ni pamoja na kupamba nyumba kwa kuweka ukutani,kufunika na kuhifadhi chakula kikishapakuliwa, kiendelee kuwa cha moto. Lakini raha ya kawa ni ujumbe wa maneno na maua...

Ramadhan Omary au Ramson.

11Mar 2017
Romana Mallya
Nipashe
Huyu ni Ramadhan Omary au Ramson, mkazi wa Manzese Dar es Salaam, anayeamini kuwa kusudio lake la kurusha helkopta aliyoitengeneza kwa mikono yake litatimia mwaka 2020 ikiwa anafikia miaka 49 ,...
11Mar 2017
Abdul Mitumba
Nipashe
Hayo ni miongoni mwa mambo yanayokwamisha jitihada za wanawake kujiletea maendeleo kwa wakati. Japo mabadiliko ya tabianchi ni la hoja ya kisayansi zaidi, lakini athari zake zimeonekana kwenye...
11Mar 2017
Hellen Mwango
Nipashe
Uamuzi huo ulitolewa jana na Hakimu Mkazi Mkuu, Mfawidhi, Cyprian Mkeha anayesikiliza kesi hiyo katika Mahakama Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam. Awali, Gire anayedaiwa kuwa wakala wa...

Pages