NIPASHE

Sophia Simba.

13Mar 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Sophia na viongozi hao wa CCM, walifukuzwa uanachama juzi na Halmashauri Kuu (NEC) ya CCM. Katika taarifa yake kwa vyombo vya habari jana, Lowassa ambaye pia ni Waziri Mkuu wa zamani aliyejiuzulu...

Shiza Kichuya.

13Mar 2017
Adam Fungamwango
Nipashe
Katika hali inayoonyesha kuwa wachezaji wanaocheza Ligi Kuu wamekuwa vizuri kwenye upigaji wa penalti, kati ya matuta hayo ni sita tu ambayo yameota mbawa, huku 31 yakitinga wavuni. Huwezi...

Obrey Chirwa.

13Mar 2017
Adam Fungamwango
Nipashe
Ni kwa sababu hakuweza kutuliza kiu ya wanachama na mashabiki wa Yanga kutokana na kiwango chake cha chini alichoonyesha tangu atue katika klabu hiyo mwanzoni mwa msimu, huyo si mwingine bali ni...
13Mar 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
***Ni utamu wa Chelsea ya Conte, Ancelotti na Mourinho...
Tayari Chelsea inapewa nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa huo msimu huu, lakini hapa wachambuzi Jamie Carragher na Frank Lampard wanalinganisha namna wakati timu hiyo ikiwa chini ya Muitaliano Carlo...
13Mar 2017
Adam Fungamwango
Nipashe
Mechi ilimalizika kwa mabao 2-2, Simba ikilazimika kutokea nyuma kusawazisha mara mbili. Ilikuwa ni mechi ya nane kwa timu hizo kukutaka kwenye Ligi Kuu, tangu Mbeya City ilipopanda daraja msimu...
13Mar 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Si mara zote, hata hivyo, kwani kuna mifano ya timu ndogo zilizopata matokeo ya kushangaza dhidi ya wapinzani wenye majina makubwa, kuthibitisha msemo wa miaka mingi kwamba lolote linaweza kutokea...
13Mar 2017
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Kauli hiyo ilitolewa jana wilayani Kondoa mkoani Dodoma na Meneja wa Nssf Kanda ya Kati, Rehema Chuma, kwenye kikao cha wakulima wadogo wilayani humo, walioko kwenye ushiriki wao wa vyao...

mkurugenzi wa tanesco dk. tito mwinuka.

13Mar 2017
Mwinyi Sadallah
Nipashe
Ushauri huo umetolewa na mbunge wa zamani wa Kikwajuni Parmukh Singh Hoogani, alipokuwa akizungumzia hatua ya Shirika la Umeme (Tanesco), kutoa siku 14 wadaiwa kulipa kabla ya kukata huduma wakiwamo...

Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Luhanga Mpina.

13Mar 2017
Mwinyi Sadallah
Nipashe
Kauli hiyo ilitolewa na Mkurugenzi wa kiwanda cha mkaa poa asilia Zanzibar, Buheti Juma Suleiman, alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari baada ya Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Luhanga...
13Mar 2017
Cynthia Mwilolezi
Nipashe
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Ushauri juu ya Hifadhi ya Mazingira Same na Mwanga (Smecao), Ezekiel Massawe, aliyasema hayo wakati akizindua mradi wa awamu ya pili wa kujengea jamii uwezo katika...
13Mar 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Katika mazungumzo yaliyofanyika jijini Dar es Salaam kati ya wajumbe kutoka Serikali ya Tanzania na Uholanzi pamoja na maofisa wa Kituo cha Kuendeleza Kilimo Kusini mwa Tanzania (Sagcot Centre Ltd),...

MAKAMU wa Rais, Samia Suluhu Hassan.

13Mar 2017
Augusta Njoji
Nipashe
Akizungumza jana kuhusu uzinduzi huo, Mbunge wa Dodoma Mjini, Anthony Mavunde, alisema huo ni mwendelezo wa utekelezaji wa ahadi walizotoa wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 kwa...

Abdulrahman Kinana.

13Mar 2017
Sanula Athanas
Nipashe
Bashe na Musukuma ni wabunge na Malima aliyewahi kuwa mbunge pia katika awamu iliyopita, juzi walitiwa mbaroni na Jeshi la Polisi mkoani Dodoma wakituhumiwa kupanga njama mbaya dhidi ya chama hicho...
13Mar 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Aidha, Rais Magufuli alisema mabadiliko zaidi yanatarajiwa kufanyika baada ya marekebisho ya katiba ya chama ambayo yalipitishwa na mkutano mkuu wa dharura kwenye ukumbi wa Jakaya Kikwete mjini...
13Mar 2017
Augusta Njoji
Nipashe
Hata hivyo, Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, amesema mageuzi hayo hayamlengi mtu wala kikundi chochote bali yanalenga kutoa ufanisi ndani ya chama hicho. Akitoa maelezo kuhusu mageuzi hayo...
13Mar 2017
Faustine Feliciane
Nipashe
Ngasa ambaye kwa sasa anaichezea klabu hiyo akitokea nchini Oman, alisema hakuna timu ambayo anaipa asilimia zote za kutwaa ubingwa. “Kwangu mimi naona ligi bado, hakuna ambaye ana uhakika wa...
13Mar 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Ndemla ambaye kwa sasa amekuwa akipata nafasi kwenye kikosi cha kwanza cha kocha Joseph Omog, amesema pamoja na ugumu wa Ligi Kuu bado anaipa nafasi timu yao kutwaa ubingwa msimu huu. “Kuna...

KOCHA Mkuu wa timu ya Soka ya Taifa (Taifa Stars), Salum Mayanga.

13Mar 2017
Somoe Ng'itu
Nipashe
Stars inatarajia kujipima na wenzao wa Zambia na Rwanda na kati ya mechi hizo mbili, moja itachezwa nyumbani na nyingine ugenini. Akizungumza na gazeti hili mwishoni mwa wiki, Mayanga, alisema...
13Mar 2017
Augusta Njoji
Nipashe
Kikwete alitoa kauli hiyo alipopewa nafasi ya kuzungumza katika mkutano mkuu maalum wa chama hicho, ambao ulipitisha mabadiliko kadhaa, ikiwamo kupunguza idadi ya wajumbe wa Halmashauri Kuu (Nec) na...
13Mar 2017
Mhariri
Nipashe
Mchezo huo uliisha kwa timu hizo kutoka sare ya bao 1-1 huku Yanga wakiwa wa kwanza kupata goli kupitia kwa mshambuliaji wake nyota, Simon Msuva. Kwa ujumla, matokeo hayo yanaonekana kuibeba zaidi...

Pages