NIPASHE

zao la soya.

14Mar 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Waziri wa Kilimo, Chakula, Mifugo na Uvuvi, Dk. Charles Tizeba, amesema serikali imeamua kutoa kipaumbele katika uzalishaji wa soya kwa kuwa lina protini nyingi na kwamba ni mara mbili ya nyama na...

MBUNGE wa Korogwe Vijijini, Steven Ngonyani (Professa Maji marefu.

14Mar 2017
Dege Masoli
Nipashe
Maeneo yaliyoathiriwa na hali hiyo ni Kijiji cha Pasilasi Kata ya Mkaramo ambako nyumba 29 ziliezuliwa na zaidi ya nyumba 50 za vijiji vya Madaha na Chepete vya Kata ya Chekelei jimboni humo....
14Mar 2017
Stephen Chidiye
Nipashe
Kamanda wa Polisi mkoani Ruvuma, Zubery Mwombeji alisema kuwa tukio hilo lilitokea Machi 9, mwaka huu saa 10 jioni. Kamanda Mwombeji alisema tukio hilo lilitokea wakati mtuhumiwa huyo alikuwa...

Katibu tawala msaidizi wa mkoa wa Morogoro anayeshughulikia miundombinu, Lucas Mwaisaka akipokea maelekezo toka kwa mwakilishi wa kampuni ya Off Grid.

14Mar 2017
Idda Mushi
Nipashe
Wito huo ulitolewa na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Dk. Stephen Kebwe katika hotuba iliyosomwa kwa niaba yake na Katibu Tawala Msaidizi anayeshughulikia miundombinu, Lucas Mwaisaka, wakati wa uzinduzi wa...
14Mar 2017
Sabato Kasika
Nipashe
Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Simon Sirro ndiye aliyepiga marufuku mtu yeyote au kikundi chochote kuuza mapanga, manati, pinde na mishale barabarani. Wote tunajua biashara ya...
14Mar 2017
Mhariri
Nipashe
Hatua hiyo ya mwisho ya kukamilisha mchakato wa kumuondoa kwenye mamlaka Askofu Mokiwa iliyoanza Januari 7, ilifikiwa kwenye Ibada Kuu ya Kiaskofu iliyoongozwa na Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikana...
14Mar 2017
Hellen Mwango
Nipashe
Mahakama hiyo ilitoa hati ya kukamatwa kwa Mahanga Machi 9, mwaka huu na kumtaka kufika mahakamani hapo jana. Amri ya hati ya kukamatwa kwa Mahanga, ilitolewa na Msajili wa Wilaya wa Mahakama Kuu...

Mbunge wa Kawe, Halima Mdee.

14Mar 2017
Hellen Mwango
Nipashe
Aidha, mahakama hiyo, imemweleza mbunge huyo kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kadi zake za onyo sasa zimekwisha. Mdee pamoja na wabunge wengine wawili wa Chadema, Mwita...

KATIBU Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad.

14Mar 2017
Rahma Suleiman
Nipashe
Akizungumza jana visiwani hapa, Maalim Seif alisema amepata taarifa kuwa Profesa Ibrahim Lipumba na kundi lake wanajiandaa kuvamia makao makuu ya chama hicho Zanzibar. Alitoa onyo kwa mtu yeyote...
14Mar 2017
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Mvua hiyo ilianza kunyesha majira ya saa moja asubuhi hadi saa sita mchana na kusababisha baadhi ya wafanyakazi kutumia muda mwingi barabarani kutokana na barabara nyingi kujaa maji. Meya wa Jiji...

Tundu Lissu.

14Mar 2017
Elizaberth Zaya
Nipashe
Zilianza kuzaa matunda bila jasho jana, baada ya Mahakama Kuu, Kanda ya Dar es Salaam, kutupilia mbali maombi ya kuuzuia. Maombi ya kuzuia uchaguzi wa TLS Jumamosi yaliwasilishwa mahakamani hapo...
14Mar 2017
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Lengo la muswada huo ni kutungwa kwa sheria kali dhidi ya madereva wanaokiuka sheria za usalama barabarani na hivyo kupunguza ajali za barabarani zinazosababisha vifo vya wananchi wengi kila mwaka...

Sophia Simba.

13Mar 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Sophia na viongozi hao wa CCM, walifukuzwa uanachama juzi na Halmashauri Kuu (NEC) ya CCM. Katika taarifa yake kwa vyombo vya habari jana, Lowassa ambaye pia ni Waziri Mkuu wa zamani aliyejiuzulu...

Shiza Kichuya.

13Mar 2017
Adam Fungamwango
Nipashe
Katika hali inayoonyesha kuwa wachezaji wanaocheza Ligi Kuu wamekuwa vizuri kwenye upigaji wa penalti, kati ya matuta hayo ni sita tu ambayo yameota mbawa, huku 31 yakitinga wavuni. Huwezi...

Obrey Chirwa.

13Mar 2017
Adam Fungamwango
Nipashe
Ni kwa sababu hakuweza kutuliza kiu ya wanachama na mashabiki wa Yanga kutokana na kiwango chake cha chini alichoonyesha tangu atue katika klabu hiyo mwanzoni mwa msimu, huyo si mwingine bali ni...
13Mar 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
***Ni utamu wa Chelsea ya Conte, Ancelotti na Mourinho...
Tayari Chelsea inapewa nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa huo msimu huu, lakini hapa wachambuzi Jamie Carragher na Frank Lampard wanalinganisha namna wakati timu hiyo ikiwa chini ya Muitaliano Carlo...
13Mar 2017
Adam Fungamwango
Nipashe
Mechi ilimalizika kwa mabao 2-2, Simba ikilazimika kutokea nyuma kusawazisha mara mbili. Ilikuwa ni mechi ya nane kwa timu hizo kukutaka kwenye Ligi Kuu, tangu Mbeya City ilipopanda daraja msimu...
13Mar 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Si mara zote, hata hivyo, kwani kuna mifano ya timu ndogo zilizopata matokeo ya kushangaza dhidi ya wapinzani wenye majina makubwa, kuthibitisha msemo wa miaka mingi kwamba lolote linaweza kutokea...
13Mar 2017
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Kauli hiyo ilitolewa jana wilayani Kondoa mkoani Dodoma na Meneja wa Nssf Kanda ya Kati, Rehema Chuma, kwenye kikao cha wakulima wadogo wilayani humo, walioko kwenye ushiriki wao wa vyao...

mkurugenzi wa tanesco dk. tito mwinuka.

13Mar 2017
Mwinyi Sadallah
Nipashe
Ushauri huo umetolewa na mbunge wa zamani wa Kikwajuni Parmukh Singh Hoogani, alipokuwa akizungumzia hatua ya Shirika la Umeme (Tanesco), kutoa siku 14 wadaiwa kulipa kabla ya kukata huduma wakiwamo...

Pages