NIPASHE

Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Luhanga Mpina.

13Mar 2017
Mwinyi Sadallah
Nipashe
Kauli hiyo ilitolewa na Mkurugenzi wa kiwanda cha mkaa poa asilia Zanzibar, Buheti Juma Suleiman, alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari baada ya Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Luhanga...
13Mar 2017
Cynthia Mwilolezi
Nipashe
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Ushauri juu ya Hifadhi ya Mazingira Same na Mwanga (Smecao), Ezekiel Massawe, aliyasema hayo wakati akizindua mradi wa awamu ya pili wa kujengea jamii uwezo katika...
13Mar 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Katika mazungumzo yaliyofanyika jijini Dar es Salaam kati ya wajumbe kutoka Serikali ya Tanzania na Uholanzi pamoja na maofisa wa Kituo cha Kuendeleza Kilimo Kusini mwa Tanzania (Sagcot Centre Ltd),...

MAKAMU wa Rais, Samia Suluhu Hassan.

13Mar 2017
Augusta Njoji
Nipashe
Akizungumza jana kuhusu uzinduzi huo, Mbunge wa Dodoma Mjini, Anthony Mavunde, alisema huo ni mwendelezo wa utekelezaji wa ahadi walizotoa wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 kwa...

Abdulrahman Kinana.

13Mar 2017
Sanula Athanas
Nipashe
Bashe na Musukuma ni wabunge na Malima aliyewahi kuwa mbunge pia katika awamu iliyopita, juzi walitiwa mbaroni na Jeshi la Polisi mkoani Dodoma wakituhumiwa kupanga njama mbaya dhidi ya chama hicho...
13Mar 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Aidha, Rais Magufuli alisema mabadiliko zaidi yanatarajiwa kufanyika baada ya marekebisho ya katiba ya chama ambayo yalipitishwa na mkutano mkuu wa dharura kwenye ukumbi wa Jakaya Kikwete mjini...
13Mar 2017
Augusta Njoji
Nipashe
Hata hivyo, Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, amesema mageuzi hayo hayamlengi mtu wala kikundi chochote bali yanalenga kutoa ufanisi ndani ya chama hicho. Akitoa maelezo kuhusu mageuzi hayo...
13Mar 2017
Faustine Feliciane
Nipashe
Ngasa ambaye kwa sasa anaichezea klabu hiyo akitokea nchini Oman, alisema hakuna timu ambayo anaipa asilimia zote za kutwaa ubingwa. “Kwangu mimi naona ligi bado, hakuna ambaye ana uhakika wa...
13Mar 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Ndemla ambaye kwa sasa amekuwa akipata nafasi kwenye kikosi cha kwanza cha kocha Joseph Omog, amesema pamoja na ugumu wa Ligi Kuu bado anaipa nafasi timu yao kutwaa ubingwa msimu huu. “Kuna...

KOCHA Mkuu wa timu ya Soka ya Taifa (Taifa Stars), Salum Mayanga.

13Mar 2017
Somoe Ng'itu
Nipashe
Stars inatarajia kujipima na wenzao wa Zambia na Rwanda na kati ya mechi hizo mbili, moja itachezwa nyumbani na nyingine ugenini. Akizungumza na gazeti hili mwishoni mwa wiki, Mayanga, alisema...
13Mar 2017
Augusta Njoji
Nipashe
Kikwete alitoa kauli hiyo alipopewa nafasi ya kuzungumza katika mkutano mkuu maalum wa chama hicho, ambao ulipitisha mabadiliko kadhaa, ikiwamo kupunguza idadi ya wajumbe wa Halmashauri Kuu (Nec) na...
13Mar 2017
Mhariri
Nipashe
Mchezo huo uliisha kwa timu hizo kutoka sare ya bao 1-1 huku Yanga wakiwa wa kwanza kupata goli kupitia kwa mshambuliaji wake nyota, Simon Msuva. Kwa ujumla, matokeo hayo yanaonekana kuibeba zaidi...
13Mar 2017
Na Waandishi Wetu
Nipashe
*** Msuva, Lwandamina watoa sababu za kushinda ugenini na kufafanua kuwa...
Makocha wa Yanga, Kocha Mkuu, George Lwandamina na msaidizi wake, Juma Mwambusi kwa nyakati tofauti wameliambia Nipashe jana kuwa hawajakata tamaa kwa matokeo waliyoyapata na wana uwezo wa kufanya...

Rais wa Vicoba, Devotha Likokola.

12Mar 2017
Christina Mwakangale
Nipashe
Baadhi ya sheria zenye mapungufu na kuwa kikwazo ni Sheria ya Ndoa ya Mwaka 1971, Sheria ya Kimila ya Mwaka 1963 na Sheria ya Mirathi. Mwakilishi wa mashirika ya kutetea haki za binadamu, Naemy...
11Mar 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Lema alitoa kauli hiyo jana alipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara katika shule ya Msingi Ngerenaro kwa ajili ya kusalimiana na wananchi pamoja na wapigakura wake, baada ya kuachiwa na mahakama kwa...
11Mar 2017
Nkwazi Mhango
Nipashe
Juzi nilistuka nusu ya kuacha kanywaji, baada ya kunyaka uchache niliombomu kigogo fulani anayeogopa nisimlipue akatumbuliwa si niliingia kwenye intanet kafé lau nionekane wa kisasa si wa kisasi...

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda.

11Mar 2017
J.M. Kibasso
Nipashe
Kama hiyo haitoshi baadhi ya watu waliotajwa na Makonda kwamba wamekuwa wakihusika na madawa ya kuelvya akiwemo Mchungaji Josephat Gwajima, amenukuliwa na vyombo vya habari akitangaza kuanzisha...
11Mar 2017
Abdul Mitumba
Nipashe
Pia, wakulima wametakiwa kujikita katika kilimo cha miti ya muda mfupi ya mbao ambayo ni rafiki kwa mazingira ili wavune kwa muda mrefu. Ushauri huo ulitolewa na mbunge wa Kasulu Mjini (CCM),...
11Mar 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Ofisa Maendeleo ya Jamii wa Halmashauri ya Wilaya ya Karagwe, Adeodata Peter, alisema wanafunzi 25 walipata mimba, wanne waliolewa na tisa walitoroshwa na kuacha masomo kwa mwaka 2016. Adeodata...

Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo, Scholastica Kevela.

11Mar 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Angalizo hilo limetolewa na Kampuni ya Udalali ya Yono, ambayo imetangaza operesheni ya kuwaondoa kwenye majengo wafanyabiashara ambao wamepanga kwenye majengo ya Wakala wa Majengo Tanzania (TBA)...

Pages