NIPASHE

waziri, Nape Nnauye.

29Mar 2016
Daniel Mkate
Nipashe
Nnauye alitoa ahadi hiyo juzi kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, wakati alipokuwa mgeni rasmi kwenye Tamasha la Pasaka lililofanyika jijini Mwanza na kuhudhuriwa na waimbaji wa nyimbo za Injili kutoka...

Baadhi ya wakazi wa mji wa Zhangjiakou wakicheza ngoma wakati wa maadhimisho ya mwaka mpya wa Kichina. PICHA NA MTANDAO.

29Mar 2016
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Sikukuu ya mwaka mpya wa jadi wa Kichina ni kama sikukuu ya Krismas katika nchi za Magharibi, ingawa namna ya kusherehekea sikukuu hiyo inabadilika badilika kutokana na jinsi muda unavyokwenda,...

basi la Lupondije lililopata ajali.

29Mar 2016
George Tarimo
Nipashe
Mmoja wa abiria hao, Michael Christopher, alisema walitoka Mwanza na walipofika Iringa, dereva aligoma kuwashusha abiria waliokuwa wakiishia mjini Iringa. Badala yake alisema anawapeleka abiria...

Meneja wa NMB Kanda ya Ziwa, Abraham Augustino.

29Mar 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Hatua hiyo sasa inafanya jumla ya matawi ya NMB Kanda ya Ziwa kwa mikoa ya Mwanza, Geita, Kagera na Mara kufikia 24. Aidha, NMB imekuwa ikiongeza matawi mengi katika azma yake ya kuwafikia...
29Mar 2016
Nipashe
Fuatilia ufafanuzi kutoka kwa Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Hisabati, Dk. Saidi Sima, ambaye pia ni Mhadhiri katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, kama alivyohojiwa na mwandishi wa makala hii....

paroko Stephen Kaombe.

29Mar 2016
Veronica Assenga
Nipashe
Paroko Kaombe alitoa rai hiyo jana wakati wa Ibada ya Jumatatu ya Pasaka. Ibada hiyo iliambatana na ubatizo wa watoto wachanga ambapo zaidi ya 50 walibatizwa. Alisema mtoto ni tunu kutoka kwa...

Rose Muhando.

29Mar 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kutokana na kushindwa kushiriki tamasha hilo, mkurugezi wa kampuni hiyo, Msama alisema anafutaka rasmi mkataba na msanii huyo. “Sitafanya kazi tena na Muhando (Rose), nimekata mkataba na kampuni...

Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Jasson Rweikiza aliyeshika kipaza sauti.

29Mar 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Jasson Rweikiza, aliyasema hayo baada ya Kamati yake kupokea taarifa ya wakala huo na kufanya ziara ya kujionea miundombinu ya mradi jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki...

Mbunge wa Jimbo la Babati Mjini (Chadema), Pauline Gekul.

29Mar 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Vifaa hivyo vilitupwa nje ikiwa ni utekelezaji wa amri ya mahakama kwa kuwa mmiliki wa nyumba hiyo alikuwa akidaiwa. Akizungumza na Nipashe jana, Gekul alisema nyumba hiyo alikuwa...

Aliyekuwa askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk Alex Malasusa akimuingiza kazini Msaidizi wa askofu Mch. Chediel Lwiza.

29Mar 2016
Elizaberth Zaya
Nipashe
Mchungaji Lwiza alisema hayo alipozungumza na waandishi wa habari jana, muda mfupi baada ya ibada ya Jumatatu ya Pasaka, katika Kanisa la Kuu la Azania Front, Dar es Salaam. Alisema katika kipindi...
29Mar 2016
Restuta James
Nipashe
Ukisoma kitabu cha Mhubiri kwenye Biblia Takatifu kinaeleza kuwa 'jeuri hupumbaza mwenye hekima' na ukiendelea kusoma zaidi kinaeleza kwamba 'usiwe na haki kupita kiasi wala usijiongezee hekima mno...

Rais wa TFF jamal malinzi.

29Mar 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe
***Ni baada ya timu ya taifa kutangaza dakika za mwisho kujiondoa kwenye michuano ya kufuzu kucheza Kombe la Mataifa ya Afrika...
Chad ilijitoa dakika za mwisho kurudiana na Taifa Stars katika mechi iliyopangwa kuchezwa juzi kwenye Uwanja wa Taifa, huku maandalizi yote yakiwa yamekamilika. Leo, TFF inatarajia kutangaza...

maalim seif.

29Mar 2016
Mwinyi Sadallah
Nipashe
Wakizungumza na Nipashe, baadhi ya Wawakilishi katika ukumbi wa Baraza hilo, Chukwani mjini hapa, walisema jana kuwa upinzani una umuhimu katika kuharakisha maendeleo kwa kuisimamia serikali...

rais john magufuli akikabidhiwa mshale na ngao baada ya kuaapa.

29Mar 2016
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Na kwamba ni vyema akaanza kupimwa baada ya miaka mitatu. Tangu Rais Magufuli aingie madarakani, amekuwa akifanya mabadiliko kwa watendaji wake kwa staili ya kipekee, tofauti na utaratibu uliokuwa...

Balozi Adadi Rajabu.

29Mar 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mwenyekiti wa kamati hiyo, Balozi Adadi Rajabu, alitoa wito huo baada ya kikao cha kamati hiyo iliyokuwa ikipokea taarifa kutoka Jeshi la Uhamiaji. Adadi alisema wakati sasa umefika kwa jeshi...

Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Antony Mtaka.

29Mar 2016
Anceth Nyahore
Nipashe
Uamuzi huo umechukuliwa katika kikao cha dharura cha baraza la madiwani kilichofanyika jana katika ukumbi wa halmashauri hiyo, mjini Langangabilili, kutokana na madai kwamba mkurugenzi huyo...

mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Dk. Kebwe Stephen Kebwe.

29Mar 2016
Christina Haule
Nipashe
Aidha, Dk. Kebwe amewaasa wakazi wa jirani na vyanzo vya maji kutoyachafua ili kukabiliana na ugonjwa kipindupindu mkoani hapa. Dk. Kebwe alitoa wito huo wakati wa kikao cha Kamati ya Afya ya...
29Mar 2016
Charles Kayoka
Nipashe
Utunzi wa sheria, kama unavyoonekana wakati wote ni nadra sana kuwa jambo shirikishi, licha ya lugha ya kuwa wabunge wetu, wanaopaswa kutueleza sheria gani zinaenda kutungwa. Utekelezaji wa jambo...
29Mar 2016
Nipashe
Hata hivyo, wakati Watanzania wengi wakisubiri kauli ya Lowassa aliyegombea urais 2015, kwa tiketi cha Chadema chini ya mwavuli wa Ukawa, kuhusu uchaguzi wa Zanzibar, akiwa katika Kanisa Kuu la...

Naibu waziri mazingira, Luhaga Mpina.

29Mar 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
ZAIDI ya wafanyabiashara 5,000 wa soko na gulio katika kijiji cha Ntaba Halmashauri ya Busokelo Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya, wanajisaidia vichakani kutokana na vyoo vya soko hilo kujaa kwa zaidi ya...

Pages