NIPASHE

09Mar 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Hilo lipo na si geni hasa ikishuhudiwa dhana ya Mfumo Dume katika jamii, Mfumo dume ni nini? Hilo msingi wake ni kitendo cha mwanaume kujipa madaraka makubwa katika jamii, akihisi mwanamke hana haki...
09Mar 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Aina ya matatizo yanayoangaliwa kwa ajili ya tiba, ni pamoja na kuona uwezekano katika siku za baadaye kama wanaweza kuwa watumiaji wa dawa za kulevya, ambazo kwa sasa zinapigwa vita duniani kote...
09Mar 2017
Cynthia Mwilolezi
Nipashe
Akiongea na waandishi wa habari jana jijini hapa, Kamishna Msaidizi wa Madini anayeshughulikia wachimbaji wadogo, Benjamin Mchompaka, alisema migogoro mingi Mererani, inasababishwa na mitobozano...

Meya wa manispaa hiyo, Raymond Mboya.

09Mar 2017
Godfrey Mushi
Nipashe
Hayo yalielezwa jana na Meya wa manispaa hiyo, Raymond Mboya, wakati akizungumza na Nipashe kuhusiana na mchakato huo. “Mchakato wa ujenzi wa stendi mpya ya kimataifa, kwa ajili ya mabasi makubwa...

MBUNGE wa Jimbo la Busega, mkoani Simiyu, Raphael Chegeni.

09Mar 2017
Happy Severine
Nipashe
Aliyasema hayo jana katika baraza la halmashauri hiyo, lililokuwa likipitia na kupitisha Rasimu ya Bajeti ya mwaka 2017/2018, mjini humo. Alisema kuwapo na vyanzo vichache vya kukusanya mapato...

Kocha Msaidizi wa Yanga, Juma Mwambusi.

09Mar 2017
Somoe Ng'itu
Nipashe
Akizungumza na gazeti hili, Kocha Msaidizi wa Yanga, Juma Mwambusi, alisema kuwa majeruhi hao wameongezeka kutokana na 'ubovu' wa Uwanja wa Uhuru ambao juzi waliutumia katika mechi yao ya Kombe la FA...

KOCHA wa Mbeya City, Kinnah Phiri.

09Mar 2017
Faustine Feliciane
Nipashe
Mbeya City wataikaribisha Ruvu Shooting keshokutwa kwenye Uwanja wa Sokoine ukiwa ni mchezo wao wa kwanza tangu walipoibana mbavu Simba na kutoka nayo sare ya bao 2-2 kwenye Uwanja wa taifa Jumamosi...

KOCHA wa Azam FC, Aristica Cioaba.

09Mar 2017
Faustine Feliciane
Nipashe
Kikosi cha Azam kinaendelea na maandalizi ya mchezo huo utakaofanyika Jumapili usiku kwenye Uwanja wa Azam Complex. Akizungumza na gazeti hili jana, Cioaba, alisema hana sababu ya kuwaogopa...

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma, Zubery Mwombeji.

09Mar 2017
Stephen Chidiye
Nipashe
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Ruvuma, Zubery Mwombeji aliiambia Nipashe jana kuwa wanamshikilia dereva wa lori lenye namba za usajili T749 BCF, iliyokuwa inavuta tela namba T785 BCT mali ya Dangote...

KAMISHNA Jenerali wa Magereza, Dk. Juma Malewa.

09Mar 2017
Idda Mushi
Nipashe
Dk. Malewa alisema hayo jana wakati akifunga mafunzo ya udereva wa magari kwa askari Magereza na Uhamiaji, yaliyomalizika katika chuo cha udereva na ufundi kinachomilikiwa na jeshi hilo. Alisema...
09Mar 2017
Samson Chacha
Nipashe
Ilidaiwa mahakamani hapo kuwa Okwalo alitoa rushwa hiyo kwa ofisa huyo, Ezekel Gisunte ama kwa jina lingine Lyimo Phanuel Getangita kupitia kwenye akaunti yake yenye namba 0152282620401, katika Benki...

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu.

09Mar 2017
Renatha Msungu
Nipashe
Akizungumza na waandishi wa habari juzi mjini Dodoma, Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu, alisema katika takwimu hizo, kati ya wagonjwa 823 wa Januari, wagonjwa...
09Mar 2017
Mhariri
Nipashe
Waziri wa Afya,Ummy Mwalimu, ndiye aliyekumbushia jambo hilo na kukaririwa na gazeti hili jana, akisisitiza kuwa huduma kama za utoaji wa kadi za kliniki kwa wajawazito hazipaswi kutozwa fedha bali...
09Mar 2017
Christina Mwakangale
Nipashe
Pamoja na changamoto lukuki katika sekta hii, ikiwamo mtaji duni ili kukuza kilimo hadi kukifanya kuwa cha biashara, uwepo wa soko la uhakika unaweza kuwa chachu ya kuinua kilimo. Zao la nyanya...

Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja, Dk. Idrisa Muslim Hija.

09Mar 2017
Rahma Suleiman
Nipashe
Akizungumza katika maadhimisho ya siku hiyo, Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja, Dk. Idrisa Muslim Hija, alisema wanawake wa Zanzibar wanakabiliwa na changamoto nyingi, ikiwamo kunyimwa fursa za ajira...
09Mar 2017
Christina Mwakangale
Nipashe
Kufuatia mgawanyo wa halmashauri hiyo na kuanza kwa halmashauri mpya ya Ubungo mikopo hiyo ilisitishwa hivyo kuathiri wauza nafaka, mama na baba lishe miongoni mwa wajasiriamali. Meneja wa Mikopo...

Rais wa awamu ya nne Jakaya Kikwete.

09Mar 2017
Salome Kitomari
Nipashe
Kwa sababu hiyo, wanaharakati wa usawa wa kijinsia wamedai kuwa hali ya sasa inatishia ustawi wa wanawake katika nyanja mbalimbali za maendeleo endelevu. Mwenyekiti wa Bodi ya TGNP Mtandao,...

Pori Tengefu la Loliondo.

09Mar 2017
John Ngunge
Nipashe
Eneo la kilomita za mraba 1,500 linatarajiwa kutengwa ili liwe sehemu ya Pori Tengefu la Loliondo huku wananchi wakiachiwa eneo la kilomita za mraba 2,500. Baadhi wa wabunge, akiwamo Mbunge wa...
09Mar 2017
Faustine Feliciane
Nipashe
***Aanika udhaifu na mbinu zao, asema ni hatari lakini ataimaliza Jumamosi kwa...
Akizungumza na gazeti hili jana muda mfupi kabla timu hiyo haijaanza mazoezi ya jioni, Lwandamina alisema pamoja na uzuri wa wapinzani wao, bado timu hiyo ina udhaifu wake ambao atautumia kuhakikisha...
09Mar 2017
Hellen Mwango
Nipashe
Pia, shahidi huyo alidai mahakamani jana katika kesi hiyo kuwa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi (CUF) na Hassan Nassoro Moyo ni miongoni mwa waliohojiwa...

Pages