NIPASHE

07Mar 2017
Nebart Msokwa
Nipashe
Akizungumza na wandishi wa Habari jana kuhusu maandalizi ya mbio hizo, Katibu wa Chama cha Riadha Mkoa wa Mbeya, Lwiza John, alisema mashindano hayo yatafanyika Machi 11 mwaka huu jijini Mbeya....
07Mar 2017
Asraji Mvungi
Nipashe
Akizungumza katika hafla ya kupokea awamu ya kwanza ya msaada huo wa madawati hayo kutoka kampuni hiyo, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Karatu, Waziri Mouris,...
07Mar 2017
Asraji Mvungi
Nipashe
Kundi moja kati ya hayo linataka wananchi waliowekeza mitaji yao kwenye biashara hiyo waongezewe muda ili waepuke hasara isiyo ya lazima na lingine likipinga kwa madai kuwa muda wa...
07Mar 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Aidha, ameliagiza jeshi la polisi kukamilisha upelelezi wa tuhuma hizo ndani ya siku 30 na ihakikishe viongozi hao wanaburuzwa kortini kwa kusababisha wanachama 1,500 kukosa huduma hiyo. Byakanwa...
07Mar 2017
Mohab Dominick
Nipashe
Makamba alitoa kauli hiyo hivi karibuni wakati akizungumza na wachimbaji hao baada ya kufanya ziara katika maeneo yao ya uchimbaji na kubaini kasoro nyingi katika shughuli za uchimbaji. “Katika...
06Mar 2017
Frank Monyo
Nipashe
Ni katika ibada ya maombezi ya vyeti na mikataba ya ajira kwa waumini ...
Mkuu huyo wa Mkoa ambaye alikuwa ni mmoja wa watu waliohudhuria ibada ya siku hiyo, alijikuta akibubujikwa na machozi baada ya kupewa nafasi ya kuwasalimia waumini wa kanisa hilo. Kabla ya kuanza...

Meneja wa DAWASCO Mkoa wa Ilala, Christian Kaoneka akiongea na waandishi wa habari juu Mpango huo.

06Mar 2017
Frank Monyo
Nipashe
Hivyo limewataka wamiliki hao ambao awali wengi walikuwa wakiiba maji ya DAWASCO na kuyaelekeza kwenye visima vyao kuacha mara moja tabia hiyo, ambayo iko kinyume cha sheria. Limesema limeamua...
06Mar 2017
Yasmine Protace
Nipashe
Hata hivyo, kitendo hicho kimemsikitisha Mwenyekiti wa halmashauri hiyo, Khatib Chaurembo hasa kwa kuzingatia kuwa walichukua uamuzi huo baada ya kujisajili na kusaini posho. Madiwani hao wa...
06Mar 2017
Hamisi Nasiri
Nipashe
Kamanda wa Polisi mkoani Mtwara, Neema Mwanga, alisema jeshi hilo linaendelea na operesheni dhidi ya dawa za kulevya na kwamba mpaka sasa watu 56 wamekamatwa kwa tuhuma za matumizi na biashara ya...

Jenista Mhagama.

06Mar 2017
Daniel Mkate
Nipashe
Mwenyekiti wa shirikisho hilo, Eliud Sanga, aliyasema hayo mwishoni mwa wiki baada ya kumalizika kwa kikao cha kupokea taarifa kufuatia agizo la Rais John Magufuli alilolitoa Septemba 3, mwaka jana,...
06Mar 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kati ya vijana hao, milioni 2.5 wanahitaji elimu ya sekondari na milioni moja, wanahitaji elimu ya msingi. Naibu Mkurugenzi wa TEWW, Dk. Kassim Nihuka, takwimu za taasisi hiyo ni za mwaka 2012...
06Mar 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Hayo yalisemwa jijini Dar es Salaam jana na Mwenyekiti wa chama hicho wilayani Ilala, Emmanuel Kihako, wakati akizungumza na Nipashe kuhusu kero mbalimbali za walimu katika wilaya yake. Kihako...
06Mar 2017
Hamisi Nasiri
Nipashe
Tukio hilo lilitokea wakati wa kikao cha siku mbili cha Baraza la Madiwani na kikao cha kazi katika halmashauri hiyo katika kipindi cha robo ya pili cha kupokea taarifa za kata katika utekelezaji...
06Mar 2017
Elisante John
Nipashe
Kaimu Kamanda wa Polisi mkoani humu, Isaya Mbughi, alisema tukio hilo lilitokea juzi saa 1:30 usiku baada ya mtuhumiwa huyo kuingia ndani ya nyumba ya Juma Rashid, mkazi wa Kijiji Tupendane, katika...
06Mar 2017
Adam Fungamwango
Nipashe
Kwenye mechi hiyo iliyiochezwa Uwanja wa Taifa na Yanga kupata ushindi wa mabao 2-0, Chirwa alifunga goli lililoonekana halina dosari yoyote, lakini mwamuzi Ahmed Simba akalikataa. Kwa mawazo yake...
06Mar 2017
Faustine Feliciane
Nipashe
Yapo maandalizi yanayoendelea ya timu hii kwa ajili ya mashindano haya yanayoandaliwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF). Tayari hivi karibuni imeundwa kamati maalum kwa ajili ya kuisaidia timu...
06Mar 2017
Mhariri
Nipashe
Katika michezo ya mwisho mwa wiki iliyopita kuna mambo mengi yamejionyesha ambayo yanatoa taswira kuwa klabu zetu zenyewe ndizo zenye maamuzi ya kuifanya ligi yetu kuwa ya namna gani. Ni wazi...
06Mar 2017
Said Hamdani
Nipashe
Badala yake, Rais Magufuli ameagiza zilipwe fidia kaya nne tu ambazo zilikuwapo kabla ya kuwapo kwa mpango wa ujenzi wa kituo hicho. Alitoa agizo hilo alipokuwa akizungumza na baadhi ya wananchi...

Rais John Magufuli akiwa na mkoani Mtwara.

06Mar 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Eneo hilo, taarifa ya Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu, jana ilisema, litakabidhiwa kwa kampuni hiyo ili ichimbe yenyewe makaa ya mawe kwa ajili ya kiwanda chake cha saruji kilichopo mkoani...

Waziri Prof. Joyce Ndalichako.

06Mar 2017
Sanula Athanas
Nipashe
Zikiwa zimebaki siku 116 kabla ya kufika kikomo kwa mwaka wa fedha 2016/17 na siku 29 kabla ya kuanza kwa Bunge la Bajeti ya serikali kwa mwaka ujao wa fedha, leo katika mwendelezo wa uchambuzi huu...

Pages