NIPASHE

Bibi Nuru Khalfan Kikwete .

08Mar 2017
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Taarifa iliyosambazwa jana majira ya asubuhi na Mbunge wa Chalinze, Ridhiwan Kikwete (mjukuu wa marehemu), ilieleza kuwa mama huyo wa Kikwete aitwaye Nuru Khalfan Kikwete, alifariki dunia majira ya...
08Mar 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Sherehe ya uzinduzi wa uwanja huo, kwa mujibu wa taarifa ya Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu, ya jana zilifanyika uwanjani hapo na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali, akiwamo mke wa Rais,...

waziri wa afya. ummy mwalimu.

08Mar 2017
Renatha Msungu
Nipashe
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu, ndiye aliyesisitiza jambo hilo wakati akizungumza na waandishi wa habari mjini Dodoma jana, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho...
08Mar 2017
Elizaberth Zaya
Nipashe
Prof. Ndalichako 'aliishukia' Tea jana wakati akizindua bodi mpya ya Mamlaka hiyo jijini Dar es Salaam na kutoa muda wa miezi mitatu kuhakikisha miradi ya kuanzia mwaka wa fedha 2013/14 hadi 2015/16...

Tundu Lissu.

07Mar 2017
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Simon Sirro alithibitisha kukamatwa kwa Lissu na kueleza kwamba alikamatwa kwa kosa la kutoa kauli za uchochezi. Alisema Jeshi la Polisi lilimhoji...
07Mar 2017
Charles Kayoka
Nipashe
Ninataka kujiuliza kama elimu yetu inatoa maarifa na ujuzi unaowezesha wahitimu wetu kujiajiri?. Na kama mazingira yetu ya kiuchumi yanawezesha kila mhitimu kujiajiri?. Lengo la mtu akimaliza...
07Mar 2017
Barnabas Maro
Nipashe
Najitahidi kuwabidiisha (tia hamu au ongeza utashi wa kufanya jambo; kitendo cha kumhimiza mtu kufanya jambo kwa juhudi) wenzangu umuhimu wa kuzingatia uandishi bora na matumizi sahihi ya maneno ya...

wanafunzi wa shule ya sekondari St. Amedeus.

07Mar 2017
James Lanka
Nipashe
Mlezi Askofu Amani aeleza walivyojipanga
Serikali kupitia Wizara yake ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi imefanikiwa kwa kiasi kikubwa, kutokana na mchango unaotolewa na taasisi mbalimbali za kidini na zile asasi za kiraia, au maarufu kama ‘NGO...

Paduol Ater.

07Mar 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
*Ndege zilizorusha mabomu zilimhamasisha , *Wazazi, ndugu zake wameyeyuka
Amenusurika kuuawa kwa risasi na mabomu ya nege mara kadhaa, kama hiyo haitoshi amevuka mto Nile akipigana vikumbo na mamba kimiujiza. Sasa ni rubani wa daraja lake.Anakata mawingu...
07Mar 2017
Woinde Shizza
Nipashe
Mtaalamu wa magonjwa ya yasiyoambukizwa kutoka Hospitali ya Mkoa wa Arusha ya Mt. Meru, Dk. Beatrice Ngogi alibainisha hilo wakati wa zoezi la upimaji wa afya bure lililofanyika juzi katika uwanja wa...
07Mar 2017
George Tarimo
Nipashe
Rai hiyo imetolewa mwishoni mwa wiki na Naibu Meya wa Manispaa ya Iringa, Joseph Lyata wakati akizungumza na Nipashe. Lyata alikuwa akizungumza na Nipashe baada ya kumalizika kwa mahafali ya...
07Mar 2017
Idda Mushi
Nipashe
Aidha, imeelezwa kuwa saba kati ya wazee 25 hao walifariki mwaka huu kutokana na njaa na ukosefu wa matibabu stahiki, baada ya ajira zao katika mashamba hayo ya mkonge kukoma, huku wakiwa hawana...

Katibu wa Idara ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Hamad Yussuf Masauni.

07Mar 2017
Rahma Suleiman
Nipashe
Wanachama hao walisema hayo katika vikao vya ndani vya chama hicho na Katibu wa Idara ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Hamad Yussuf Masauni. Walisema mfumo wa jeshi hilo uliopo umekuwa ni wa...

Kaimu Kamanda wa Polisi mkoani humo, Emmanuel Lukula.

07Mar 2017
Nebart Msokwa
Nipashe
Akizungumza na waandishi wa Habari ofisini kwake, Kaimu Kamanda wa Polisi mkoani humo, Emmanuel Lukula, alisema tukio hilo lilitokea juzi majira ya saa 3:30 usiku katika eneo la mteremko wa Mlima...
07Mar 2017
Mhariri
Nipashe
Eneo hilo litakabidhiwa kwa kampuni hiyo ili ichimbe yenyewe makaa ya mawe kwa ajili ya kiwanda chake cha saruji kilichopo mkoani Mtwara. Aidha, Rais Magufuli alitoa agizo mbele ya Waziri wa...
07Mar 2017
Daniel Limbe
Nipashe
Amri hiyo imetokana na mahakama kujiridhisha kwa kina kuwa marehemu alikuwa muislamu, baada ya kupitia nyaraka mbalimbali ikiwemo cheti cha ndoa kilichowasilishwa na mume wa marehemu huyo. Mume...

Kaimu Mkurugenzi Mkuu Cosmas Mwafwani.

07Mar 2017
Hellen Mwango
Nipashe
Mbali na Mwafwani, mshtakiwa mwingine ni Kaimu Meneja Manunuzi, Fredrick Rubanga ambao kwa pamoja jana saa 6:57 mchana walisomewa mashtaka yao kwa Hakimu Mkazi Mkuu, Respicius Mwijage. Upande wa...

uhakiki wa wastaafu wanaolipwa pensheni na Wizara ya Fedha na Mipango.

07Mar 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mpango huo umekuja baada ya Mkaguzi Mkuu wa Ndani wa Serikali, Mohamed Mtonga kutoa wito kwa wastaafu walio wagonjwa kutoa namba za simu na majina yao ili waweze kuhakikiwa hospitalini au nyumbani...

George Simbachawene.

07Mar 2017
Daniel Mkate
Nipashe
Akizungumza na Nipashe jana, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Tamisemi), George Simbachawene, alisema viongozi hao wanatakiwa kutumia busara zaidi kuliko kuwakomoa watumishi pale wanapokosea kwa...

Mkurugenzi wa Huduma za Kisheria kwa Umma wa Wizara hiyo, Justus Mulokozi.

07Mar 2017
Elizaberth Zaya
Nipashe
Kauli hiyo ilitolewa jana jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi wa Huduma za Kisheria kwa Umma wa Wizara hiyo, Justus Mulokozi, wakati akifungua mkutano wa wadau wa utetezi wa haki za wanawake...

Pages